Marekani yaruhusu Israel ipige Rafah kama itaihakikishia haitapiga Iran

MK254

JF-Expert Member
May 11, 2013
31,801
48,781
Marekani ilikua inatumia nguvu nyingi kuzuia operesheni ya kupiga Rafah, ila kwa sasa imelegeza kama njia ya kuzuia Israel kupiga Iran.
Ikumbukwe mojawapo wa sababu kuu kwanini inabidi Iran isisambaratishwe, lile taifa ni la kigaidi kwamba bora likabaki kama taifa kuliko kuacha magaidi ya kiislamu yasambaratike na kuzagaa kote, inaweza kuathiri pakubwa sana ikiwemo soko la mafuta.
Hata hivyo mpaka sasa
Iran majemedari saba wameuawa
Binti mmoja wa Israel amejeruhiwa

==============================

The US has approved a potential Israeli Rafah operation in exchange for the Jewish state not conducting counterstrikes on Iran, according to a Thursday report from the Qatari newspaper The New Arab.

A senior official told The New Arab that "Prime Minister Benjamin Netanyahu managed to obtain American approval for a military operation in Rafah, in exchange for [Israel] refraining from carrying out a wide military operation against Iran in response to its recent attack."

He claimed that "discourse of an Israeli response to Iran contradicts the desires of the American administration, and is not realistic, given the Israeli claims that the United States played the major role in repelling the Iranian attack and preventing its success."
 
Iran Ina ujinga mwingi sana ayatollah Khomeini my ass
 
Ilivyo ni hivi! Linapokuja swala la usalama wa Israel,huwa Israel haimsikilizi mtu yo yote au taifa lo lote mf.sijui US,sijui Uingereza au Russia,nk
Wala haipangiwi cha kufanya na mtu ye yoye au taifa lo lote.
Huwa inajiamlia yeyenyewe!
Kinachofanyika hapo ni kuibembeleza tu isilipize kisasi kwa Iran,kwa sababu nachoona US na Washirika wake wanahofia maslahi yao kuhujumiwa na Iran! Harafu gharama ya vita.
 
Maneno mengi sana, mlikiwa mnajazana kwenye nyuzi humu mkisema Iran ikirusha hata jiwe kuelekea Israel ndio mwisho wake, sasa wamerusha drones na missiles kwa masaa 6 mfululizo na myahudi katulia.

Ukweli usemwe tu, Israel haina uwezo kupambana na Iran, hapo kuna houthis, hezbollah, hamas na Iran wenyewe.

Israel inabidi awe mpole.

Israel lazima imsikilize US.
 
Israel haiogopi mtu Biden kaishaur nguv kubwa aelekeze rafah aipige iran kidogo Cha mkakati lakini yote kwa yote netenyau kasema wamewasikiliza marafiki zao wote kwa ushauri wao lakin watafanya maamuzi wao kuhusu kuipiga Irani
 
Hizo ni kauli tu kujionyesha wao ni miamba na ile kufuta aibu, ngoja uone kama watapiga ndani ya Iran.

Mambo ya kupiga kidogo ni kauli za uoga.
 
Ilivyo ni hivi! Linapokuja swala la usalama wa Israel,huwa Israel haimsikilizi mtu yo yote au taifa lo lote mf.sijui US,sijui Uingereza au Russia,nk
Wala haipangiwi cha kufanya na mtu ye yoye au taifa lo lote.
Huwa inajiamlia yeyenyewe!
Kinachofanyika hapo ni kuibembeleza tu isilipize kisasi kwa Iran,kwa sababu nachoona US na Washirika wake wanahofia maslahi yao kuhujumiwa na Iran! Harafu gharama ya vita.
Mataifa ya magharib hayataki vita kwa sasa ila Israel ni muda wa vita na ilivyo kwa Hawa democrat ni watu wa kuchokonoa ila hawapendi vitendo John Balton ameshauri Biden aipige Iran wakati ni sasa na sio badae maana uko mbeleni itakuw Ina nguv zaidi za nuclear
 
Marekani ilikua inatumia nguvu nyingi kuzuia operesheni ya kupiga Rafah, ila kwa sasa imelegeza kama njia ya kuzuia Israel kupiga Iran.
Ikumbukwe mojawapo wa sababu kuu kwanini inabidi Iran isisambaratishwe, lile taifa ni la kigaidi kwamba bora likabaki kama taifa kuliko kuacha magaidi ya kiislamu yasambaratike na kuzagaa kote, inaweza kuathiri pakubwa sana ikiwemo soko la mafuta.
Hata hivyo mpaka sasa
Iran majemedari saba wameuawa
Binti mmoja wa Israel amejeruhiwa

==============================

The US has approved a potential Israeli Rafah operation in exchange for the Jewish state not conducting counterstrikes on Iran, according to a Thursday report from the Qatari newspaper The New Arab.

A senior official told The New Arab that "Prime Minister Benjamin Netanyahu managed to obtain American approval for a military operation in Rafah, in exchange for [Israel] refraining from carrying out a wide military operation against Iran in response to its recent attack."

He claimed that "discourse of an Israeli response to Iran contradicts the desires of the American administration, and is not realistic, given the Israeli claims that the United States played the major role in repelling the Iranian attack and preventing its success."
Maskini wee.!
nI wewe ndio umeibuka na maelezo hayo baada ya kichapo cha Iran.
 
Mataifa ya magharib hayataki vita kwa sasa ila Israel ni muda wa vita na ilivyo kwa Hawa democrat ni watu wa kuchokonoa ila hawapendi vitendo John Balton ameshauri Biden aipige Iran wakati ni sasa na sio badae maana uko mbeleni itakuw Ina nguv zaidi za nuclear
US haina huo uwezo, hio vita itaiporomosha US kiuchumi si kidogo.

Wameshindwa kuipiga North Korea wataweza Iran.

US ina nguvu kijeshi kuliko Iran lakini kuingia vitani na Iran ni habari nyingine hata Trump hakuthubutu baada ya kambi za US kupigwa na missiles za Iran.
 
Iran anasubiria moto wa milele, na anajua, Israel inaenda kuipoteza Iran in a silent war and physical war..!! Ayatollaah siku ya 7 leo hajapata choo, tumbo limemjaa gesi linanguruma kama kavimbiwa mayai, maharage na karanga mbichi, sbb ni hofu ya Israel..!!
 
Huo ni ushabiki sasa!
 
Marekani ilikua inatumia nguvu nyingi kuzuia operesheni ya kupiga Rafah, ila kwa sasa imelegeza kama njia ya kuzuia Israel kupiga Iran.
Ikumbukwe mojawapo wa sababu kuu kwanini inabidi Iran isisambaratishwe, lile taifa ni la kigaidi kwamba bora likabaki kama taifa kuliko kuacha magaidi ya kiislamu yasambaratike na kuzagaa kote, inaweza kuathiri pakubwa sana ikiwemo soko la mafuta.
Hata hivyo mpaka sasa
Iran majemedari saba wameuawa
Binti mmoja wa Israel amejeruhiwa

==============================

The US has approved a potential Israeli Rafah operation in exchange for the Jewish state not conducting counterstrikes on Iran, according to a Thursday report from the Qatari newspaper The New Arab.

A senior official told The New Arab that "Prime Minister Benjamin Netanyahu managed to obtain American approval for a military operation in Rafah, in exchange for [Israel] refraining from carrying out a wide military operation against Iran in response to its recent attack."

He claimed that "discourse of an Israeli response to Iran contradicts the desires of the American administration, and is not realistic, given the Israeli claims that the United States played the major role in repelling the Iranian attack and preventing its success."
Uharo mtupu.

Iran ikirusha hata jiwe kuelekea Israel Ndiyo utakuwa mwisho wake bye bye Iran.

😅😅😅😅😅😅😅
 
Marekani ilikua inatumia nguvu nyingi kuzuia operesheni ya kupiga Rafah, ila kwa sasa imelegeza kama njia ya kuzuia Israel kupiga Iran.
Hongera, unajitahidi kwenye :

propaganda

habari zilizotiwa chumvi sana au za uongo zitolewazo kwa lengo la kushawishi watu kuamini au kukubali jambo fulani

Ila punguza :

mahaba

hali ya kuingiwa moyoni na mtu au kitu na kukithamini zaidi ya vingine

Kwani huleta :

chuki

1.tabia ya kutopenda, hasa watu au ya kuwa na roho mbaya

2.maneno ya kugombanisha watu

3.hali ya kukasirika

Ilivyo ni hivi! Linapokuja swala la usalama wa Israel,huwa Israel haimsikilizi mtu yo yote au taifa lo lote mf.sijui US,sijui Uingereza au Russia,nk
Wala haipangiwi cha kufanya na mtu ye yoye au taifa lo lote.
Huwa inajiamlia yeyenyewe!
Kinachofanyika hapo ni kuibembeleza tu isilipize kisasi kwa Iran,kwa sababu nachoona US na Washirika wake wanahofia maslahi yao kuhujumiwa na Iran! Harafu gharama ya vita.
Wajinga mpo wengi sana hapa Duniani Yani Hadi Leo hii haujui kuwa Israel hana lolote kama atasimsma yeye kama yeye

Hiyo vita na wanamgambo wa Hamasi tu na anasaidiwa na Marekani sembuse Iran
 
Back
Top Bottom