Iran yageuza gia angani, yasema haitalipa kisasi kwa Israel kama wakisitisha vita Gaza

MK254

JF-Expert Member
May 11, 2013
31,801
48,781
Tuliambiwa watapiga ndani ya masaa 48, Israel ikasema thubutu. Sasa naona wameufyata na kuja na mengine.

Msichokijua nyie wavaa makobaz ni kwamba Israel ilipiga hao makamanda wa Iran ikijua inachokifanya na huyo kubwa gaidi lenu Iran amekua makini sana kutonasa kwenye huo mtego.

===============

Iran informed the US that it would refrain from responding to the airstrike in which senior Islamic Revolutionary Guard Corps (IRGC) commanders were killed in Damascus if a ceasefire in Gaza is reached, Jadeh Iran reported on Sunday.

The news outlet cited an anonymous Arab diplomatic source, saying the source spoke to the news outlet two days ago. The source added that "If America succeeds in containing the situation, it will be a great success for the Biden administration and we can build on that."

The report comes as negotiations for a ceasefire and hostage release deal resume between Israel and Hamas in Cairo and as Israel continues preparations for a possible response to the Damascus airstrike that Syria and Iran blamed on Israel.

The airstrike targeted the Iranian consulate in Damascus last Monday, killing IRGC commander Mohammad Reza Zahedi - the main Iranian official responsible for operations in Syria and Lebanon - as well as his deputy and several other IRGC officers.

Iran's Supreme Leader, Ayatollah Ali Khamenei looks at the coffins of members of the Islamic Revolutionary Guard Corps who were killed in the Israeli airstrike on the Iranian embassy complex in the Syrian capital Damascus, during a funeral ceremony in Tehran, Iran April 4, 2024 (credit: Office of the Iranian Supreme Leader/WANA/Handout via Reuters)

Iran threatens 'harsh response' to Damascus airstrike

Since the airstrike, Iran has made repeated threats of a "harsh response" against Israel. US media has reported that US and Israeli intelligence believe that Iran could target Israel directly with cruise missiles and kamikaze drones. The reports indicated that the response could come by the end of the month of Ramadan, which is expected to end on Tuesday or Wednesday, depending on the sighting of the moon.

IDF Chief of Staff Herzi Halevi stressed on Sunday that Israel knows "how to handle Iran."

"We are prepared for this; we have good defensive systems and know how to act forcefully against Iran in both near and distant places. We are operating in cooperation with the USA and strategic partners in the region," said Halevi.

Jerusalem Post
 
1712542149158.png
 
Isarael waliishindwa enzi hizo ikijikusanya watu wake kutoka mataifa mbalimbali, wasahau kabisa kuipiga kwa sasa, inauwezo wa kufanya chochote kwenye taifa lolote hapo mashariki ya kati!

Unajua, Mungu aliyewapa hiyo nchi na hilo jina Israel, nchi hiyo inautisho wa ajabu na kuogofya, jiulize Umoja wa mataifa mbali na veto yao, wamefanya nini sasa?

Bado Israel ameendelea kuwatandika warabu kama watoto

Mpaka sasa Israel na watu wake, ni watu wanaotegemewa mno duniani, DUNIA INAIHITAJI ISRAEL kwa mambo ya technology kuliko watu wowote duniani

Unapokuwa na taifa la watu dizaini hiyo, unategemea Iran afanye nini sasa?
 
Israel kutokana na malumbano yasioisha na Iran ,Imeifanya Israel kuichunguza na kuwa na data za mpaka Bedroom ya Iran.Yes wanaweza pigana vita Lakini Israel inaweza kuishinda Iran.Ikumbukwe kuwa Karibia all Electronics zinazotumika kwenye Telecom na Silaha za sasa, 90% zina Technology (uvumbuzi ,Haki Miliki,Source Code ni za Israel) Zipo Products, Solutions ukiambiwa ni za waisrael unaweza usiamini-So Kinyago ulichochonga mwenyewe akiwezi kukushinda

1. Wanajua vyema all intel za Jeshi la Iran
2. Location zote zenye vituo na Kambi za Jeshi na Silaha
3. Israel wameshafanya Iran -Israel war Digital Simulations za kutosha kwenye all War Scerious inclusing Biological Chemical and Nucleur Wars!!

4. Kuna wakati Israel waliweza pandikiza Electronics systems na Softwares kwenye mitambo yote ya Nyuklia Iran na baada ya kupata walichokuwa wanavitaka remotely waliiharibu yote..Kuna Mwaka walimuuwa Brigedia mmoka wa Iran kwa kutumia AL controled Bomb tena ndani ya Teheran City Center(walijua bomb ni from Israel ila liliingiaje no body knows- na mtandao wao wa simu wa Iran ndo ulitumika kuratibu hilo Bomu.
So Unaweza kukuta All Telecomunication Systems za Iran zile za Kiraia (4G Network) na zile za Kijeshi Israel anazisikiliza na pia kukusanya Intel 24/7.

Iran nae anauwezo wa kujipima na kujua athari ya Live Vita na Israel... Kwake ni kuwa Islam Government iliyopo itafutika na Machafuko yake yatakuwa sio powa kabisa.. Kwani ukifuatilia sana Akuna Mwisilam Makini amaependa kuishi nchi yenye Utawala unaongonzwa na Sharia Laws huo ndo Ukweli ! (Hapa pia kuna kitu akipo sawa- Waislam wanakimbia nchi zao zenye kuongozwa na Sharia Laws na kwenda ishi Ulaya na Kwengineko- wakifika huko wanapambana kuzifanya hizo nchi ziwe na Sharia Laws) Wairan walio wengi wanaishi tu basi kwakuwa awawezi kuondoa Sharia Law ila mwanya ukipatikana Ayatola atavua Delah
 
Israel kutokana na malumbano yasioisha na Iran ,Imeifanya Israel kuichunguza na kuwa na data za mpaka Bedroom ya Iran.Yes wanaweza pigana vita Lakini Israel inaweza kuishinda Iran.Ikumbukwe kuwa Karibia all Electronics zinazotumika kwenye Telecom na Silaha za sasa, 90% zina Technology (uvumbuzi ,Haki Miliki,Source Code ni za Israel) Zipo Products, Solutions ukiambiwa ni za waisrael unaweza usiamini-So Kinyago ulichochonga mwenyewe akiwezi kukushinda
1. Wanajua vyema all intel za Jeshi la Iran
2.Location zote zenye vituo na Kambi za Jeshi na Silaha
3.Israel wameshafanya Iran -Israel war Digital Simulations za kutosha kwenye all War Scerious inclusing Biological Chemical and Nucleur Wars!!
4. Kuna wakati Israel waliweza pandikiza Electronics systems na Softwares kwenye mitambo yote ya Nyuklia Iran na baada ya kupata walichokuwa wanavitaka remotely waliiharibu yote..Kuna Mwaka walimuuwa Brigedia mmoka wa Iran kwa kutumia AL controled Bomb tena ndani ya Teheran City Center(walijua bomb ni from Israel ila liliingiaje no body knows- na mtandao wao wa simu wa Iran ndo ulitumika kuratibu hilo Bomu.
So Unaweza kukuta All Telecomunication Systems za Iran zile za Kiraia (4G Network) na zile za Kijeshi Israel anazisikiliza na pia kukusanya Intel 24/7.
Iran nae anauwezo wa kujipima na kujua athari ya Live Vita na Israel... Kwake ni kuwa Islam Government iliyopo itafutika na Machafuko yake yatakuwa sio powa kabisa.. Kwani ukifuatilia sana Akuna Mwisilam Makini amaependa kuishi nchi yenye Utawala unaongonzwa na Sharia Laws huo ndo Ukweli ! (Hapa pia kuna kitu akipo sawa- Waislam wanakimbia nchi zao zenye kuongozwa na Sharia Laws na kwenda ishi Ulaya na Kwengineko- wakifika huko wanapambana kuzifanya hizo nchi ziwe na Sharia Laws) Wairan walio wengi wanaishi tu basi kwakuwa awawezi kuondoa Sharia Law ila mwanya ukipatikana Ayatola atavua Delah
Hayo yote uyajue wewe bila Iran kiyajua. Wabongo nyie mmeshindikana.
 
Cease fire ikitekelezwa, majeshi yakiondoka Gaza, Yeye atapitisha Silaha zake Hadi hmgaza karibu na Israel na kujibu siku nyingine kwa maumivu makali zaidi ya Massacre ile.

Ila hata mimi nineona waarabu wamejaa mikwara mingi kuliko wazungu. Wazungu hawaongei sana, wanakupa tu za uso utajua mwenyewe cha kufanya.
 
Huu mfano umenikumbusha kisa cha wakoma dhidi ya washami.
Pengine hawa Iran wanajipanga Kwa style nyingine maana Mipango Yao yote ya kupiga Israel ilikuwa monitoring
Washimi wakahisi jeshi kubwa linawafuata wakakimbia. Ila wale wakoma walijiuliza maswali muhimu sana. Tukikaa hapa tutakufa kwa njaa Basi tulifuate jeshi la washimi wakituacha hai tutaishi wakituua tutakufa tu Kama tutakavyokufa hapa. Mungu ni ajabu sana na matendo yake ni makuu mno.
 
Hayo yote uyajue wewe bila Iran kiyajua. Wabongo nyie mmeshindikana.
Du! Nimeelezea kama nadharia na jinsi nnavyojua na kusoma vitabu mbalimbali juu ya mataifa haya mawili.Iran anayajua na ndo maana ajakurupuka kama Hamas walichofanya 7th October. Wanajua mziki wa Wana wa Yakobo😁@Garincha ii kwenye hivi vitabu wewe umevisoma vingapi?? Au ni ule ubishi wa vijiwe vya kahawa baada ya kuvimbiwa Futari??
 
Attachments

  • IMG_6797.jpeg
    IMG_6797.jpeg
    34.5 KB · Views: 2
  • IMG_6796.jpeg
    IMG_6796.jpeg
    26.6 KB · Views: 2
  • IMG_6795.jpeg
    IMG_6795.jpeg
    25.9 KB · Views: 2
  • IMG_6792.jpeg
    IMG_6792.jpeg
    25.2 KB · Views: 2
  • IMG_6789.jpeg
    IMG_6789.jpeg
    27.6 KB · Views: 2
  • IMG_6786.png
    IMG_6786.png
    94.8 KB · Views: 2
  • IMG_6788.png
    IMG_6788.png
    100.5 KB · Views: 2
  • IMG_6790.jpeg
    IMG_6790.jpeg
    44.5 KB · Views: 2
  • IMG_6787.png
    IMG_6787.png
    75.9 KB · Views: 2
  • IMG_6794.jpeg
    IMG_6794.jpeg
    37.5 KB · Views: 2
  • IMG_6793.jpeg
    IMG_6793.jpeg
    41.8 KB · Views: 2
  • IMG_6791.jpeg
    IMG_6791.jpeg
    28.2 KB · Views: 2
  • IMG_6785.png
    IMG_6785.png
    110.4 KB · Views: 2
  • IMG_6782.jpeg
    IMG_6782.jpeg
    37.7 KB · Views: 2
  • IMG_6783.png
    IMG_6783.png
    78.4 KB · Views: 2
  • IMG_6784.png
    IMG_6784.png
    79.4 KB · Views: 2
Tuliambiwa watapiga ndani ya masaa 48, Israel ikasema thubutu. Sasa naona wameufyata na kuja na mengine.

Msichokijua nyie wavaa makobaz ni kwamba Israel ilipiga hao makamanda wa Iran ikijua inachokifanya na huyo kubwa gaidi lenu Iran amekua makini sana kutonasa kwenye huo mtego.
Busara lazima itawale katika mazingira kama haya!
 
Isarael waliishindwa enzi hizo ikijikusanya watu wake kutoka mataifa mbalimbali, wasahau kabisa kuipiga kwa sasa, inauwezo wa kufanya chochote kwenye taifa lolote hapo mashariki ya kati!

Unajua, Mungu aliyewapa hiyo nchi na hilo jina Israel, nchi hiyo inautisho wa ajabu na kuogofya, jiulize Umoja wa mataifa mbali na veto yao, wamefanya nini sasa?

Bado Israel ameendelea kuwatandika warabu kama watoto

Mpaka sasa Israel na watu wake, ni watu wanaotegemewa mno duniani, DUNIA INAIHITAJI ISRAEL kwa mambo ya technology kuliko watu wowote duniani

Unapokuwa na taifa la watu dizaini hiyo, unategemea Iran afanye nini sasa?
Wanapigana wakiwa kwenye nchi ya ahadi waliyopewa na Mungu mwenyewe...
 
Tuliambiwa watapiga ndani ya masaa 48, Israel ikasema thubutu. Sasa naona wameufyata na kuja na mengine.

Msichokijua nyie wavaa makobaz ni kwamba Israel ilipiga hao makamanda wa Iran ikijua inachokifanya na huyo kubwa gaidi lenu Iran amekua makini sana kutonasa kwenye huo mtego.
Vita ya Israel na Irani hata ikiahirishwa yenyewe ipo tu! hii vita imetabiriwa katika maandiko (Ezekiel 37-39).Ni vita itakayotumia silaha za kisasa zaidi kuliko vita iliyowahi kutokea,Urusi(gogu) itakuwa nyuma ya Irani na Marekani itakuwa nyuma ya Israel baada ya vita Marekani itafilisika kabisa dollar itaanguka na haitakuwa super power tena.Jumuia ya ulaya ndiyo itakayotawala Dunia kupitia mpinga kristo kimsingi chochoko zote zinalenga hapo.
 
Iran anafanya high level calculations regarding retaliation na yuko aware na outcomes za kuanzisha vita, sio tu Israel na yeyote.

Thus why anamiliki proxies kama Hezbollah, Housthis, etc

Kupitia proxy anaweza retaliate na sio direct form within Tehran.

The problem is due to internal pressure ya revolution.

Many times wa-Iran wanatafuta upenyo wakuondoa utawala wa Ayatolla wanashindwa. Rejea maandamano ya hivi karibuni.

Sasa once Iran akiwa busy na full combat war atakosa support, that would be end for Ayatollahs. Kuna wale separatist watapata upenyo hapo.

Ayatollah anaogopa kupoteza u-supreme.
 
Back
Top Bottom