Hii tabia acheni. Mtu anakuomba salio na Bado unamuona Yuko online muda wote. Salio la kazi gani sasa?

KIjanja huyo anakuomba dyudyu! Jiongeze.
Huu Ni utapeli bhna mtu ankusumbua naomba salio either vocha lkn ajabu Bado Yuko online na Yuko Muda wote Sasa salio la Kaz gani

Kuna bint kaniudh San Jana kaomba nikampoteza asbh Tena anataka nimtumie vocha na bado Yuko active Hadi HV Sasa

Nahisi huyo bint Yuko humu maana Ni member wa muda mrefu kuliko mm
 
Back
Top Bottom