Hii tabia acheni. Mtu anakuomba salio na Bado unamuona Yuko online muda wote. Salio la kazi gani sasa?

Huu Ni utapeli bhna mtu ankusumbua naomba salio either vocha lkn ajabu Bado Yuko online na Yuko Muda wote Sasa salio la Kaz gani

Kuna bint kaniudh San Jana kaomba nikampoteza asbh Tena anataka nimtumie vocha na bado Yuko active Hadi HV Sasa

Nahisi huyo bint Yuko humu maana Ni member wa muda mrefu kuliko mm
Bando lake litakuwa mbs chache mfano mbs 300, hili hawezi kwenda kuperuzi insta vya kutosha au kuingia YouTube ila JF na Whatsapp anaweza kuwa active hata siku tatu
 
Huyo anaye kuomba unamjuwa??

Maana mimi naona wanawake wengi wanaokesha kwenye mitandao ni ombaomba wapiga vizinga,uwingo mwingi

Ova
 
Aisee wakuu moyo wangu umemdondokea Single Mama fulani anayeishi karibu na ninapoishi. Yaani kanichanganya hatari. Tayari nimeshamtongoza na mwelekeo sio mbaya. Kesho nitatoka nae Dinner jioni. Tafadhalini mnishauri ILA KATIKA USHAURI WENU SITATAKA KUONA MTU ANASEMA NIACHANE NA SINGLE MAMA WALA KAULI NYINGINE YENYE NIA OVU.
Mim najuwaga wee Ni mwaanmke piss kali
 
Huyo anaye kuomba unamjuwa??

Maana mimi naona wanawake wengi wanaokesha kwenye mitandao ni ombaomba wapiga vizinga,uwingo mwingi

Ova
Namjuwa vzr Ni single mam mmoja anajifanyaga piss sna alinikataga zamanin kaja kadhalishwa na wanyowa viduku Sasa Ni single mama
 
Back
Top Bottom