Hii picha ina trend sana. Uchumi wa Tanzania uko mikononi mwa watu wachache, wengi wanaishi maisha ya hali ya chini sana

Mwande na Mndewa

JF-Expert Member
Feb 26, 2021
951
2,879
Hii picha ina trend sana. Uchumi wa Tanzania uko mikononi mwa watu wachache,wengi wanaishi maisha ya hali ya chini sana.
IMG-20240331-WA0688.jpg
 
Uchumi wa kibepari ndo ulivyo. Almost dunia nzima iko hivyo sema wenzetu hawatupi nafasi ya kuona upande wa pili wa maisha yao. Ulikuwa unafahamh hata Madrid, Spain kuna waganga wa kienyeji?
yani unataka kusema waganga kama hawa wa kwetu wanapiga ramli nakupandisha maruhani au wao wanatiba zile za asili..?? hebu fafanua hapo..😂
 
Sasa nmeelewa kua Hata Kichwa Cha habari Cha Huu Uzi, hujakielewa.

Zero IQ.
Mbona swali jepesi sana hilo. Achana na uchumi wa Tanzania kwanza maana ni mada pana na endelevu, swali ni dogo tu na linausiana na maamuzi yako wewe kama kiongozi kuhusu hilo eneo sasa hivi na uchumi huu huu wa watu wachache....

Tuonyeshe IQ yako ilivyo kubwa boss.
 
Wanashangaa hapo pazuri hivo?wakaangalie baadhi ya vichochoro vya mbagala,mwananyamala au huko buza.kuna sehemu nchi hii ni pabaya kama nyumba za watu walioishi miaka ya 1700.halafu unasikia Tanzania ya paa kiuchumi.
 
Uchumi wa kati tangu lini ??
Kuhusu hii picha imeonyesha ukweli ulivyo wa jiji la Dar es Salaam na Tanzania kwa ujumla wake
85 % ya Dar es Salaam Tanzania ni makazi holela
Hadi miaka 60 ya UHURU tunategemea CITY CENTRE ya mkoloni
KWA UFUPI DAR ES SALAAM NA TANZANIA NI MORE THAN 85 % UNPLANNED SETTLEMENTS COUNTY
 
Ukitaka kujua Dar ni mji umezungukwa na makazi holela hadi makazi mapya huko pembezoni goba chanika bunju mbande yaani 90% ya makazi mapya ya Dar es Salaam ni makazi holela
 
Ukitaka kujua Dar ni kijiji kikubwa makazi holela shuka JNIA na ndege mchana utaona makazi holela na mabati makuu ya vijumba vyetu
Kwa ufupi mji mezungukwa na makazi holela hadi makazi mapya huko pembezoni goba chanika bunju mbande yaani 90% ya makazi mapya ya Dar es Salaam ni makazi holela
 
Back
Top Bottom