Hii tabia acheni. Mtu anakuomba salio na Bado unamuona Yuko online muda wote. Salio la kazi gani sasa?

dr namugari

JF-Expert Member
Nov 19, 2022
9,580
16,192
Huu Ni utapeli bhna mtu ankusumbua naomba salio either vocha lkn ajabu Bado Yuko online na Yuko Muda wote Sasa salio la Kaz gani

Kuna bint kaniudh San Jana kaomba nikampoteza asbh Tena anataka nimtumie vocha na bado Yuko active Hadi HV Sasa

Nahisi huyo bint Yuko humu maana Ni member wa muda mrefu kuliko mm
 
Yaani kukuomba bando tu umeamua kuniandikia thread 😥

Je ningekuomba chakula,?

Haya bhna ,ngoja nimtafute rafiki mwingine wa kunisaidia
 
Kukuomba salio tu umekuja mpaka huku kunibagaza??

Je ningekuomba figo ingekuwaje na unajua kabisa sina figo mimi!!

Em nipe bandoo huko nataka kupakua pilau za Twitter (TWIRRAAH).
 
Aisee wakuu moyo wangu umemdondokea Single Mama fulani anayeishi karibu na ninapoishi. Yaani kanichanganya hatari. Tayari nimeshamtongoza na mwelekeo sio mbaya. Kesho nitatoka nae Dinner jioni. Tafadhalini mnishauri ILA KATIKA USHAURI WENU SITATAKA KUONA MTU ANASEMA NIACHANE NA SINGLE MAMA WALA KAULI NYINGINE YENYE NIA OVU.
Ana chura?
 
Back
Top Bottom