Hamas wameibamiza Israel kwenye kona baada ya kukubali kusitisha vita na kuachia mateka. Netanyahu alaumiwa na kila mtu

Magaidi wa Israel,wanavizia kwa kupiga kwa mabomu ya ndege.Na kuua watoto na wanawake,badala ya kupigans na wanaune.
Kwani wamekwambia zile ni ngumi za kulipwa? Kwamba lazima upigane physically?

Ile ni vita yakhe unapigwa kwa namna yoyote ile halafu hao waarabu unaowasifia ona walichowafanya babu zako
 
Attachments

  • IMG_20240407_121300.jpg
    IMG_20240407_121300.jpg
    49.9 KB · Views: 1
Wewe kuna mawili:-

1. Aidha una umri chini ya miaka 20 maarufu kama (U-20) AU

2. Kama uko above 20, basi hauna elimu yoyote ya maana tofauti na ile mliyozoea ya Madrassat ambayo kikawaida haipanui thinking capacity ya mtu ila ni kudumaza akili tu.
dogo mimi nakuzaa wewe kabisa, pili we ndio nenda shule za vidudu kama akili yako unadhani Hamas anamuogopa Israel.

Hivi unafahamu America alituma wakuu wa vyombo vya upelelezi vyake Egypt ili wafanye kila njia Hamas asimamishe vita na Qatar na Nchi nyingi za Europe na America pia wameahidi kuijenga tena Gaza ikiwa Hamas atakubali kusimamisha vita.

We baki na akili za kuamini kila anacho ongea Israel ni kweli, sababu akili zako zakitoto.
 
Punguza kuota Israel alisema ataimaliza Hamasi na kasaidiwa na US na Europe nzima Hamasi wanaume imebidi US na warabu wakawabembeleze na kutoa ahadi ya kuijenga tena Gaza, na Silaha za Hamasi au viongozi wa Hamasi wapo pale pale sa Israel kafanya niakik

Netanyahu anatamani asingetaja mateka kama moja ya malengo ya vita kwani kwa hilo ameshindwa kwa asilmia 97.Sasa amebakiwa na kuwamaliza Hamas ambao bado wanampiga chenga za maana sana.
Akili za waislam wanazijua wenyewe
 
hivi Rafah kuna nini cha muhimu zaidi hadi HAMAS wanaogopa kuvamiwa hapo? au ndiko boss wao alipojificha?
Rafah watu waliambiwa waelekee kutoka kaskazini na katikati ya Gaza kwamba ni kwa ajili ya usalama wao.
Sasa wamechoka kuhama hama na wameshapoteza kila kitu.Wamechoka na hawawezi tena kusumbuliwa.
 
Rafah watu waliambiwa waelekee kutoka kaskazini na katikati ya Gaza kwamba ni kwa ajili ya usalama wao.
Sasa wamechoka kuhama hama na wameshapoteza kila kitu.Wamechoka na hawawezi tena kusumbuliwa.
nahisi Sinawar amejificha pale, manake hamas wanaogopa Rafah kuliko chochote.
 
Kiko wapi wewe mlolokole leo mabwana zako wanafanya makubaliano na Hamas ulivyokuwa punguani unajitoa ufahamu umegeuka kuwa msemaji wa Uisrael kuwa hawatambui haya makubalino tulia dawa iingie.
Ila Wapalestina wamepigika na kuchakaa jamani!! Daaaa
 
Punguza kuota Israel alisema ataimaliza Hamasi na kasaidiwa na US na Europe nzima Hamasi wanaume imebidi US na warabu wakawabembeleze na kutoa ahadi ya kuijenga tena Gaza, na Silaha za Hamasi au viongozi wa Hamasi wapo pale pale sa Israel kafanya nini 😄
Viongozi wa Hamas ilibidi wakimbilie Qatar wewe na mamia ya wapiganaji wa Hamas wamechinjwa wewe unaleta majigambo tupu
 
jamani hao jamaa wameangamia mpka basi ebu waoneeni huruma waache huo ujinga wao basi
 
Viongozi wa Hamas ilibidi wakimbilie Qatar wewe na mamia ya wapiganaji wa Hamas wamechinjwa wewe unaleta majigambo tupu
Tukiwambia nyie hamfahamu mnacho ongea mnabisha, hao viongozi walioko Qatar wako zamani huko tena kwa sababu US kamuomba Qatar wakae pale, ili wapate njia za kuwasiliana nao bwege wewe.

Nyie mnajua nini zaidi ya ushabiki mandazi tu.
 
Kwanini wasiende vitani ili nao wakafe kama wanawaponza kina mama na wototo Wa Gaza?
 
Umeisikiliza hotuba ya Bibi leo.
Kwa kifupi amesema Hamas baada ya kuona Israel inaelekea Rafah wakaona wafanye walichokifanya ili kuikwamisha Israel kuingia Rafah lakini hayakuwashtua na wameendelea na operation yao.

Kama Hamas hawaogopi Israel kwani kwenye taarifa zao wanasisitiza Jumuiya za Kimataifa kuwazuia Israel?
Hivi nyie huwa mnafikiri kwa kutumia nini?
Hivi mbona tamaduni za kizungu na kiarabu zimetutoa akili kiasi hiki?
We wachana naye huyo Bibi yenu Netanyahu, Hamasi hapo Rafaa hawezi kushindwa na Israel hapata msaidia kitu Israel atapigwa tu kama anavyo pigwa kila siku.

Hamasi wamemzidi akili huyo kichaa alitaka aonekane yeye ndio mwenye kutaka vita visimame, kumbe Hamasi kisha ujuwa mchezo akawatangazia ulimwengu yuko tayari kuongelea usalama kwa masharti ambayo Israel na US wameyaona ni mwiba kwao.

Haya siku za mbele tutaona kama Israel atawashinda Hamasi kama c ndoto tu.
 
Kwanini wasiende vitani ili nao wakafe kama wanawaponza kina mama na wototo Wa Gaza?
Kwani Netanyahu yuko kwenye frontline siaende basi kama yeye mwamba, ataishia kufoka tu kwenye microphone 😄

Israel huko wenzako wanalia wanaomba vita visimame Netanyahu anaogopa ikisimama vita anaenda jela.

We baki unaota kama Israel atamshinda Hamasi.
 
Hamas imetoa tangazo rasmi la kukubali mapendekezo ya kusitisha vita na kuachia baadhi ya madai yao.

Tangazo hilo limeleta furaha kubwa kwa watu wa Gaza na hata Israel japo limekuja huku Israel imeshatoa tangazo la kuhamisha watu mashariki ya Rafah tayari kurudia mashambulizi yale ya nguvu yaliyozoeleka kuanzia kaskazini mpaka Khani Younis.

Dalili za Hamas kukubali kusitisha vita zilikwishaonekana na majibu ya Netanyahu hayakuwaridhisha wananchi wengi wa Israel wakiongozwa na kiongozi wa upinzani,Yair Lapid.

Viongozi wa Hamas wakiungwa mkono na nchi zinazosimamia upatanishi wamemlaumu sana Benjamin Netanyahu kuwa kwa hamu yake ya kuendeleza vita akitaraji kubadili upepo kuwa ndiye kikwazo katika juhudi hizo za kumaliza vita.

Kwa tangazo hili rasmi la Hamas ni lazima kwa Israel kufuta mpango wa kuivamia Rafah au kuendelea na kushindwa moja kwa moja.

Hatua ya kuendelea kuinjgia Rafah na kuuwa mamia ya maelfu ya watu tena kunahatarisha zaidi kuwavuta Misri na Jordan kuvunja mikataba ya amani waliyowekeana na Israel.

Gideon Levy ambaye ni mwandishi mashuhuri wa gazeti la Haaretz amesema Hamas wamecheza sana kwa hatua waliyochukua ambapo wameiwacha serikali ya Israel ikiwa imeduwaa.
Gaza imependezeshwa na inapendeza sana!

God Bless Israel
 
Kwani Netanyahu yuko kwenye frontline siaende basi kama yeye mwamba, ataishia kufoka tu kwenye microphone 😄

Israel huko wenzako wanalia wanaomba vita visimame Netanyahu anaogopa ikisimama vita anaenda jela.

We baki unaota kama Israel atamshinda Hamasi.
Hayupo Frontline lakini hajaikimbia Israel kama hao viongozi wa waoga walioikimbia gaza
 
Hayupo Frontline lakini hajaikimbia Israel kama hao viongozi wa waoga walioikimbia gaza
Wewe akili zako kweli za kitoto huyo Netanyahu mara ngapi anaenda jificha chini ya mashimo huko Tela Aviv kama panya c bora nikaishi doha kuliko kuishi Tela Aviv kila kukicha niwe kama panya 😄
 
Back
Top Bottom