Hamas wameibamiza Israel kwenye kona baada ya kukubali kusitisha vita na kuachia mateka. Netanyahu alaumiwa na kila mtu

Webabu

JF-Expert Member
Apr 29, 2010
7,359
11,238
Hamas imetoa tangazo rasmi la kukubali mapendekezo ya kusitisha vita na kuachia baadhi ya madai yao.

Tangazo hilo limeleta furaha kubwa kwa watu wa Gaza na hata Israel japo limekuja huku Israel imeshatoa tangazo la kuhamisha watu mashariki ya Rafah tayari kurudia mashambulizi yale ya nguvu yaliyozoeleka kuanzia kaskazini mpaka Khani Younis.

Dalili za Hamas kukubali kusitisha vita zilikwishaonekana na majibu ya Netanyahu hayakuwaridhisha wananchi wengi wa Israel wakiongozwa na kiongozi wa upinzani,Yair Lapid.

Viongozi wa Hamas wakiungwa mkono na nchi zinazosimamia upatanishi wamemlaumu sana Benjamin Netanyahu kuwa kwa hamu yake ya kuendeleza vita akitaraji kubadili upepo kuwa ndiye kikwazo katika juhudi hizo za kumaliza vita.

Kwa tangazo hili rasmi la Hamas ni lazima kwa Israel kufuta mpango wa kuivamia Rafah au kuendelea na kushindwa moja kwa moja.

Hatua ya kuendelea kuinjgia Rafah na kuuwa mamia ya maelfu ya watu tena kunahatarisha zaidi kuwavuta Misri na Jordan kuvunja mikataba ya amani waliyowekeana na Israel.

Gideon Levy ambaye ni mwandishi mashuhuri wa gazeti la Haaretz amesema Hamas wamecheza sana kwa hatua waliyochukua ambapo wameiwacha serikali ya Israel ikiwa imeduwaa.
 
Nawapongeza saaana hamasi. Maana wangeisha wote na hata wale raia wasiohusikaaa.
 
Nahisi Hamas wamenusa na kugundua hii ijayo ni kimbunga bora washtushe dunia kwa kukubali matakwa ya Israel haraka!.
Punguza kuota Israel alisema ataimaliza Hamasi na kasaidiwa na US na Europe nzima Hamasi wanaume imebidi US na warabu wakawabembeleze na kutoa ahadi ya kuijenga tena Gaza, na Silaha za Hamasi au viongozi wa Hamasi wapo pale pale sa Israel kafanya nini 😄
 
Hayo Makubaliano wameingia na Israel ipi haswa? maana inashangaza even netanyahu hajui.. Maana Israel ilitoa wiki moja tu kwa Hamas wakubali Matakwa na Marekani ameshaambiwa Israel hana namna zaidi ya kuichakaza Rafah last strongholds ya Magaidi
 
Hamas imetoa tangazo rasmi la kukubali mapendekezo ya kusitisha vita na kuachia baadhi ya madai yao.

Tangazo hilo limeleta furaha kubwa kwa watu wa Gaza na hata Israel japo limekuja huku Israel imeshatoa tangazo la kuhamisha watu mashariki ya Rafah tayari kurudia mashambulizi yale ya nguvu yaliyozoeleka kuanzia kaskazini mpaka Khani Younis.

Dalili za Hamas kukubali kusitisha vita zilikwishaonekana na majibu ya Netanyahu hayakuwaridhisha wananchi wengi wa Israel wakiongozwa na kiongozi wa upinzani,Yair Lapid.

Viongozi wa Hamas wakiungwa mkono na nchi zinazosimamia upatanishi wamemlaumu sana Benjamin Netanyahu kuwa kwa hamu yake ya kuendeleza vita akitaraji kubadili upepo kuwa ndiye kikwazo katika juhudi hizo za kumaliza vita.

Kwa tangazo hili rasmi la Hamas ni lazima kwa Israel kufuta mpango wa kuivamia Rafah au kuendelea na kushindwa moja kwa moja.

Hatua ya kuendelea kuinjgia Rafah na kuuwa mamia ya maelfu ya watu tena kunahatarisha zaidi kuwavuta Misri na Jordan kuvunja mikataba ya amani waliyowekeana na Israel.

Gideon Levy ambaye ni mwandishi mashuhuri wa gazeti la Haaretz amesema Hamas wamecheza sana kwa hatua waliyochukua ambapo wameiwacha serikali ya Israel ikiwa imeduwaa.
Unaota au......
 
Punguza kuota Israel alisema ataimaliza Hamasi na kasaidiwa na US na Europe nzima Hamasi wanaume imebidi US na warabu wakawabembeleze na kutoa ahadi ya kuijenga tena Gaza, na Silaha za Hamasi au viongozi wa Hamasi wapo pale pale sa Israel kafanya nini 😄
Mimi nachojua Waislam walisema Israel ikiingia Gaza kwa Foot solder watamalizwa wote
 
Kiko wapi wewe mlolokole leo mabwana zako wanafanya makubaliano na Hamas ulivyokuwa punguani unajitoa ufahamu umegeuka kuwa msemaji wa Uisrael kuwa hawatambui haya makubalino tulia dawa iingie.
Hujamjibu swali lake unaruka ruka Kama demu anayetaka kufika kileleni! Mjibu kwa hoja je yahudi hakuingia gaza kwa miguu? Wewe unadhani akiingia Rafah atayepata hasara ni mpalestina au mwebrania

Au mnafurahia mademu zenu wa kipalestina wanavyouawa Kama kuku?
 
Mimi nachojua Waislam walisema Israel ikiingia Gaza kwa Foot solder watamalizwa wote
Walio malizwa ni wengi aisay we huoni Netanyahu anaogopa vita ikisha anaenda jela tu 😄

Hakuna alicho kifanya zaidi ya kumaliza wanajeshi wa Israel na kuwauwa watoto na wanawake wa Palestine wasio na hatia.

Hamas wapo pale pale atake asitake.

Sisi swali letu ni moja tu wakristo wote karibuni walisema Israel ataimaliza Hamas wao na Netanyahu, je wamemalizwa Hamas 😄
 
Punguza kuota Israel alisema ataimaliza Hamasi na kasaidiwa na US na Europe nzima Hamasi wanaume imebidi US na warabu wakawabembeleze na kutoa ahadi ya kuijenga tena Gaza, na Silaha za Hamasi au viongozi wa Hamasi wapo pale pale sa Israel kafanya nini 😄
Rafar inaangamia huko nenda UN ukawatetee ndugu zako katika Iman
 
Hujamjibu swali lake unaruka ruka Kama demu anayetaka kufika kileleni! Mjibu kwa hoja je yahudi hakuingia gaza kwa miguu? Wewe unadhani akiingia Rafah atayepata hasara ni mpalestina au mwebrania

Au mnafurahia mademu zenu wa kipalestina wanavyouawa Kama kuku?
Si tumeisha mjibu Israel alisema hatoki Gaza mpa awamalize Hamas hataki peace wala nini na Hamas hio ndio kauli ya Netanyahu na viongozi wa US kuanzia Biden na wasaidizi wake mpaa kile kimama Hillary Clinton mpo wapi? Mnabembeleza kila kukicha Hamas asimamishe vita 😄

Swali lingine nyie simnasemaga Israel akipigwa lazima arudishe kipigo, Yemen kila mara anaipiga Israel anapiga meli zao pia, hebu nipe wapi Israel karusha hata jiwe Yemen 😄
 
Back
Top Bottom