Zanzibar-ASP
JF-Expert Member
- Nov 28, 2013
- 10,423
- 36,019
Sawa mimi ni Bwege.Bwege wewe,Rukwa na Katavi imeungwa na Grid ya Taifa? Kigoma yenyewe umeme wa grid ya Taifa umewashwa pale Mjini? Lindi na Mtwara Je?
Wewe mwenye akili timamu sasa niambie ilikuwaje wakati wa mgao wa umeme wa nchi nzima, hiyo mikoa ya Rukwa, Katavi na Kagera mgao ndio ulikuwa mkali kupita maelezo?