ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 45,536
- 52,579
Balozi wa Marekani Nchini Tanzania Dr.Michael Battle amesema ni Dhambi na sio sawa kimaandiki Kwa Nchi yeyote iwe Marekani au China kuja Nchini mwenu na kuchukua Rasilimali Kisha kwenda kutengeneza pesa huko Kwao na nyie mkiachiwa umaskini.
Balozi Battle alikuwa akitoa hoja kwenye jukwaa la wadau wa Demokrasia.
Balozi Battle amesema ongezeko kubwa la watu Tanznaia linahitaji mkakati wa Uchumi wa viwanda Ili kuwa na ustawi vinginevyo Hali inaweza kuwa mbaya.
Hivyo ameunga mkono mkakati na Maelekezo ya Serikali ambayo yanataka Kuanzia Sasa Wawekezaji wanapotaka Madini ya Tanzania waanze kujenga viwanda vya kuongeza thamani vinginevyo hawatawapa leseni.
View: https://twitter.com/Jambotv_/status/1791503550914195537?t=3KFawDRYo9A8A00p9FmU5A&s=19
My Take
Hili ni Dongo Kwa Wachina Kwa sababu Marekani inaenda kuanzisha kiwanda Cha kutengeneza betri za magari Kahama.Nadhani mnakumbuka ziara ya Haris Kamala.
View: https://www.instagram.com/p/C7ElU8HtKs-/?igsh=aTdrZHpvN3ZjMG11