johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 85,660
- 145,432
Balozi wa Marekani amesema ni dhambi na aibu kwa Nchi yoyote kuruhusu mtu mwingine yoyote bila kujali ni America, China au Pluto kuja Nchini kwako kuchukua Rasilimali zako kisha kutengeneza fedha zote za Rasilimali hizo nje ya nchi Yako halafu iseme inakutendea Wema.
Source Jambo TV
Source Jambo TV