yapı merkezi

Yapı Merkezi Holding A.Ş. is a group company whose field of activity is primarily in the construction industry. It was founded in 1965 by Ersin Arioglu and Koksal Anadol in Istanbul. As the first and largest company of the Yapı Merkezi Group, Yapı Merkezi Construction and Industry has realized the design and construction of a wide variety of buildings, rail systems and heavy construction projects. Since 1980, the company has also realized contracts in countries such as Saudi Arabia, Algeria, Morocco, the United Arab Emirates, Sudan, Ethiopia and Slovenia.

View More On Wikipedia.org
  1. BigTall

    Mahakama yaamuru Mkandarasi wa SGR (Yapi Merkezi) kuilipa Puma Energy Tsh. Bilioni 30

    Mahakama Kuu Kitengo cha Biashara imeiamuru Kampuni ya Yapi Merkezi Insaat Ve Sanayi kuilipa Kampuni ya Puma Energy Tanzania Ltd salio la Tsh. Bilioni 30 baada ya kusambaza mafuta ya Petroli katika Mradi wa Ujenzi wa Reli ya Kisasa ya SGR. Hakimu Deo Nangela ametoa uamuzi huo baada ya kukubali...
  2. Roving Journalist

    Mkandarasi wa Reli ya SGR, Yapi Merkezi atangaza zoezi la kupunguza wafanyakazi 648

    TAARIFA YA KUSUDIO LA KUPUNGUZA WAFANYAKAZI (BAADHI) TAREHE 25/11/2023 KWA: YAPI MERKEZI INSAAT VE SANAVI AS MAKUTUPORA TABORA Rejea kichwa cha habari hapo juu Wiki ladhaa nyuma kulikua na mchakato wa kupunguza wafanyakazi, mchakato huo ulifutwa baada ya sintofahamu ya namna waathirika wa...
  3. Roving Journalist

    Zaidi ya Wafanyakazi 400 wa SGR - Dodoma wafanya mgomo

    Zaidi ya Wafanyakazi 400 wanaoshiriki katika ujenzi wa Mradi wa Reli ya Kisasa (Standard Gauge Railway – SGR) Awamu ya 2 (Lot 2) kipande cha Morogoro - Makutupora chenye urefu wa Kilometa 422 wameshiriki mgomo kwa kile kinachodaiwa kutoafikiana na uongozi wa Mkandarasi Mkuu Yapi Merkezi kuhusu...
  4. N

    Mkandarasi wa Uturuki, Yapi Merkezi athibitisha pengo la $1.8bn katika ufadhili wa Tanzania SGR

    Wakati serikali ya Tanzania ikiendelea kuficha ukweli, Kampuni ya ujenzi ya Uturuki ya Yapi Merkezi imeripoti pengo la dola bilioni 1.8 (zaidi ya shilingi trilioni 4.5 za kitanzania) katika ufadhili wa mradi wa reli ya kiwango cha kimataifa nchini Tanzania huku ikiendelea kuwezesha Dodoma...
  5. Pfizer

    The SGR lots allotted to Turkish company Yapi Merkezi are on track

    Tanzania seeks more SGR funding from European countries What you need to know: Clarification: Yesterday, we published an article with the title 'Tanzania mulls plan B for SGR project as Turkish firm derailed'. This article, which has since been withdrawn, was incorrect in facts and context. The...
  6. BigTall

    Mkandarasi wa anayejenga Reli ya SGR adaiwa kuyumba kifedha, Serikali yatafuta mbadala kukamilisha ujenzi

    Mawaziri wa Fedha kutoka Tanzania na Zanzibar wameanza kuchangisha fedha kwa ajili ya kuendeleza ujenzi wa Mradi wa Reli ya Standard Gauge (SGR) baada ya Mkandarasi Mkuu Kampuni ya #YapiMerkezi ya Uturuki kuonyesha dalili za kuwa na changamoto ya kifedha. Gazeti la The East African limedai...
  7. Roving Journalist

    Rais Samia kuna Rais mwenzangu aliniambia nimbadilishe Balozi, aliyepo kazini haendi na Mikutano hashiriki

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwaapisha Mabalozi Wateule Ikulu Chamwino, mkoani Dodoma tarehe 16 Agosti, 2023. https://www.youtube.com/watch?v=3hgz9HYOiR8 RAIS SAMIA: MAFUNZO YA UBALOZI YASIWE YA JUMLAJUMLA Rais Samia Suluhu Hassan akiwaapisha Mabalozi...
  8. Roving Journalist

    Mkandarasi Yapı Merkezi anayejenga Reli ya SGR atoa ufafanuzi taarifa za kushindwa kuwalipa wafanyakazi wake raia wa Uturuki

    TAARIFA KWA UMMA UFAFANUZI WA TAARIFA ZINAZOSAMBAA ZIKIHUSISHWA NA SERIKALI YA TANZANIA KUSHINDWA KUMLIPA MKANDARASI YAPI MERKEZI NA KUPELEKEA KUSHINDWA KULIPA MISHAHARA WAFANYAKAZI WA KITURUKI Dar es Salaam, Tarehe 15 Agosti 2023 Kampuni ya YAPI MERKEZI inayofanya ujenzi wa reli ya yenye...
Back
Top Bottom