uzi maalum

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Jemima Mrembo

    Uzi maalum wa ku-boost biashara zetu

    Biashara ni mbegu, ili mbegu ikue inahitaji kumwagiliwa, mbolea, palizi, pruning etc. Hivyo hivyo biashara ili ikiwe inahitaji promotion na advertisement. Kila biashara inahitaji watu, watu ambao ni wanunuzi, watu ambao ni wateja, nk. Leo kupitia uzi huu mention biashara yako na mahali ilipo...
  2. system hacker

    Uzi maalum: Mafundi wazuri wa magari jijini DSM na Mikoani

    Unamfahamu fundi gani mkali wa magari kwa uzoefu wako? Share na Jamii hapa. Ukijaribu kuangalia kwa kina utabaini kuwa magari mengi yanaharibiwa zaidi na mafundi. Fundi hafahamu kuhusu gari lakini analifanyia trials and errors na mwishowe huharibu gari zaidi. Mafundi ambao hawafahamu kuhusu...
  3. kocha Nabi

    Uzi maalum kwa madereva bodaboda na wapanda bodaboda

    Habari wakuu Lengo la uzi huu ni kupeana mbinu mbalimbali za --kuendesha boashara hii -changamoto zake -kupeana taarifa za kiusalama -maduka yanayouza pikipiki kwa bei rahisi -upatikanaji wa spare -changamoto za kiufundi -vituko vya barabarani Mbinu wanazotumia wezi kuiba pikipiki Kwa...
  4. Benjamin10

    Pongezi kwa Sekretatieti ya Ajira kwa kuyachukua maoni yetu na kuyafanyia kazi

    Habarini za usiku wadau, Ninapenda kuchukua fursa hii kuwapongeza PSRS kwa hatua ambazo wamechukua juu ya maoni yetu sisi wasaka tonge. Kwan jion ya leo nimejaribu kuingia kwenye tovuti yao nikakutana na PDF za kutosha kwa watu walioitwa kwenye usahili. Kwani nimekuta utofauti kidogo. Majina...
  5. Eleminator

    UZI MAALUM: Kwa wale wasafiri wa usiku [Mikoani] hivi ndivyo vituo unaweza kupata usafiri kwa haraka

    Habari ya muda huu wakuu wa JF, Kama kichwa cha habari kinavyojieleza kuna muda unaweza kupata safari ya ghafla ya usiku kuelekea mkoani, hivyo katika uzi huu tutajaribu kupeana maeneo ambayo utaweza kupata usafiri bila tatizo DAR- ES SALAAM[Mbezi-louis] kwa dar ukitoka tu pale stand ya...
  6. Kyambamasimbi

    Uzi maalum kwa tunaoishi mitaa ya changanyikeni uswahilini

    Habari ndugu wajf. Kwa ujumla maisha Yana ladha na mitindo tofautitofauti, hapa kwetu uswahili panaitwa mji mpya Kichangani Manispaa ya Morogoro, Pana maisha ya kipekee Sana ukiachilia mbali mitaa kama Chamwino. Mida kama hi unakuta ndio watu wanawasha majiko kwaajili ya kuchomea kuku broiler...
  7. lwambof07

    Motivational quotes

    Hellow JF Sometimes your lonely,so disappointed,so embarrassed [emoji15],somebody hurt your feeling so badly , somebody let you down , somebody make you angry[emoji35] , somebody don't give you a chance to prove yourself on what your capable of ,somebody don't trust you ,somebody annoy you...
  8. Bujibuji Simba Nyamaume

    Uzi maalum wa Tanzu za fasihi

    Fasihi Simulizi ni fasihi inayotungwa au kubuniwa kichwani na kuwasilishwa kwa hadhira kwa njia ya mdomo na vitendo bila kutumia maandishi. TUKI (2004) Fasihi Simulizi ni kazi ya fasihi inayohifadhiwa na kurithishwa kutoka kizazi kimoja hadi kingine kwa njia ya mdomo kama vile; hadithi, ngoma na...
  9. Poker

    Uzi maalum wa kuombana msamaha na kusameheana! Members only

    Kama unahisi kunamtu umemkwaza kwa namna yoyote ile au ulimkera kwa njia yoyote basi uzi huu utumie kumuomba msamaha ili maisha yaendelee! Maisha yenyewe ndio haya haya let's forgive, forget and move on! Ukiombwa msamaha na wewe samehe kwani hutopungukiwa na kitu, let peace and harmony be with...
  10. K

    Uzi maalum kwaajili ya neno moja lenye maana sawasawa kwenye makabila tofauti

    Naomba huu uzi utumike kuelezea maneno ya aina moja yenye maana moja kwa makabila tofauti tofauti mfano neno kuigota linapatikana katika makabila ya wakurya na wasukuma na lina maana moja ya kushiba Neno kuhangua lipo katika makabila mawili ya wa sukuma na wakurya na lina maana moja ya kuwahi...
  11. K

    Uzi maalum kwaajili ya wachimbaji wa dhahabu

    Niwe muwazi mimi sio mchimbaji wa dhahabu lakini nimezungukwa na wachimba dhahabu wengi sana hapa ninapoishi kwahiyo nimeamua nianzishe huu uzi maalaum ambao utakuwa ukitumika kupeana updates za machimbo mapya na stories nyingine za kiuchimbaji Kwa walioko Geita kuna machimbo mapya yameibuka...
  12. D

    Uzi maalum wa kujifariji, kuridhika na kupeana matumaini ya maisha

    Kwa wale wapambanaji na wazee wa kusikilizia michongo; Ebu tupieni faraja na matumaini hapa ili kujipa moyo wa kupunguza maumivu yoyote! Mi nawaambia wadau muachage mazarau! < Anaringa na kigari chake cha mkopo; ukifika japani hivyo vigari vinauzwa kwa mafungu, Nikitaka gari mi nitaagiza...
  13. ommytk

    Shida ya usafiri leo Kigamboni baada ya daladala kugoma

    Leo tumeamka na siku mpya huku Kigamboni daladala zimegoma ni mwendo wa Bajaj kila kituo buku mpaka buku mbili. Sijui wenzetu huko mlipo hali ikoje.
  14. ommytk

    Uzi maalum kwa wastaafu kupeana changamoto mbalimbali na connection

    Wastaafu hebu tukutane hapa tupeane taarifa za kupambana mtaani, changamoto mbalimbali na connection mbalimbali na kielekezana na mbalimbali kukabiliana na maisha ya mtaani
  15. Behaviourist

    Uzi maalum wa “kula bila kuvimbiwa”

    Kwenye huu uzi nitakuwa naposti video pamoja na habari mbalimbali za kula bila ya kuvimbiwa pamoja na video na habari za kujipimia pia. Video zangu ni fupifupi ambazo zipo chini ya MB 1 ili hata akina sie ambao bando linasumbua sumbua baada ya serikali kupandisha gharama za bando tuweze...
  16. Kiokotee

    Uzi maalum: Jini mahaba

    Baada ya kuona hili janga limegusa watu wengi sana hata humu Jukwaani kuna mada nyingi za Shuhuda mbalimbali kuhusu hili lijamaa. Uzoefu unonesha hakuna aliyefanikiwa kupambana na hili Lijamaa yaani Binaadamu tumelishindwa Mimi kama muhanga mkubwa wa hili janga sina haja ya kutoa ushuhuda...
  17. Poker

    Uzi maalum wa emoji tu!

    😂
  18. Lyrics Master

    Ni movie gani ya Kihindi inakusisimua?

    Nakumbuka kuanzia miaka ya 1990 Hadi 2006 na sita hivi, nilikuwa napenda Sana movie za kihindi... My favorite actor ni mzee mzima Sunny Deol... My favorite movie inaitwa Ziddi... Je, wewe ndugu yangu movie Gani ya kihindi Hadi leo inakusisimua
Back
Top Bottom