Hii kashfa ilikuepo siku nyingi sana sema ndo nchi haina vyombo vya habari hamna wa kureport.
---
New fears have arisen about the suitability of Rwanda as a destination to send UK asylum seekers after a damning government assessment about the prevalence of poverty and malnutrition in the...
Taarifa zinazotolewa na vyomba kadhaa vya habari vinatoa picha ambayo si nzuri kwa Israel ikiwa ni mwezi wa tano tangu vita vianze.
Mfano mapigano makali yameripotiwa kaskazini ya Gaza ambapo pande zote mbili zimepata hasara.Vita hivyo vimepiganwa karibu na hospitali ya Alshifaa eneo ambalo...
Watu 176 wamekufa katika Jimbo la Tigray kutokana na njaa iliyosababishwa na ukame, kati yao Wanaume ni 101 na Wanawake 75.
Takriban watu 45,000 katika Wilaya ya Emba Sieneti wanakabiliwa na njaa kali, iliyozidishwa na vita vya wenyewe kwa wenyewe vilivyodumu kwa miaka miwili.
Aidha, kuna...
📌 Taifa letu hapo ndipo Tunapokwama kila kiongozi njaa kali.
Mtu anazurura Kwenye chama miaka nenda rudi hafanyi kazi ajishughurishi siku akapewa kitengo Taifa analifanya lake.
VIONGOZI WOTE NJAA KALI.. CHA MSINGI KIJANA PAMBANA PIGA KAZI.
Ripoti mpya iliyotolewa na taaisi ya Kenya Food Security Steering Group imeonesha idadi ya Wananchi walioathirika na Ukame imeongezeka kutoka Watu Milioni 4.2 iliyoripotiwa July 2022.
Pia, ripoti imeonesha zaidi ya Watoto 970,000 wenye chini ya miaka 5 na akina Mama Wajawazito na Wanaonyonyesha...
Chakula na Mahindi ya msaada yanagawiwa vijijini huko na sio mjini, mjini haijawahi tokea mahindi ya msaada yakagawiwa, na huko vijijini ni wakulima ndio wanalia njaa kali sana. Sasa Bashe anasemaje kuona wakulima wake ndio sasa hivi wanagaiwa mahindi ya msaada?
Bashe ujue anazania wanao teseka...
Watu wanasinzia tu sasa hovyohovyo kwenye daladala; ile mtu amekalia tu siti na gari kujitikisa kidogo tayari usingizi na mara kadhaa udenda pia.
Panda daladala za routes zote sasa hapa Dar hali ni hiyo. Mtu anapanda buguruni sheli anashuka sokota lakini hafiki bila kusinzia. Nenda nje ya Dar...
Original post and source
Shaffii source yake ikiwa hiyo ya juu.
My Take
Naelewa tatizo sio lugha ila ni kufikiria mambo katika mlengo wa njaa. Yaani inaanza njaa baadae ndio unafikiria.
Dauda na Kitenge nyie ni wazee sasa. Lindeni heshima kidogo mliyokuwa nao. Hizi nafasi kubwa wanazipata...
Huyo mwamba pichani upande wa kushoto alipata kuwa nabii mkubwa sana huko Nigeria kwenye miaka ya 80 na 90. Anaitwa nabii Daniel Abodunrin. Unambiwa mwamba alikuwa anafanya miujiza mikubwa mikubwa , alitabiri mambo kwa ufasaha na alikuwa na wafuasi wa kutosha ambao walimwamini sana. Yote hayo...
Bar Maid wengi sio wameingia katika kazi hii kwa kupenda hii ni kazi kama kazi nyingine, nina mifano mingi sana marafiki na ndugu zetu wamepata wenzao kupitia hawa Bar Maid.
Siku mbili hizi nilibahatika kwenda Magomeni Usalama pale kuna wauzaji wa magari ya mkononi. Nikatia timu Bar inaitwa...
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Mkoa wa Njombe Rose Mayemba,baada ya kuzinduliwa mpango mahususi wa kuchangia Chama (Join the chain) ametoa wito kwa wanachama kuendelea kutoa michango kwa kuwa haiwezekani kudai demokrasia ya kweli wakiwa na njaa. https://t.co/UWwleS0fUi
Mh. Rais amesema Wizara ya Tamisemi ina matumizi ya ovyo ya pesa za Serikali, yenyewe haikusanyi ni mwendo wa matumizi kwa kwenda mbele hivyo kamwagiza Waziri Jafo afuatilie vizuri matumizi ya wizara yake na kama akishindwa Basi asaidiwe(atumbuliwe)
Ushauri.
Mh Seleman Jafo jipange...
Hili Jambo linanishangaza Sana , sijaona wasanii wengine hasa wa nje , wakiweka video tofaut na official music kwenye official accnt zao za YouTube , huku Tz ni fujo tupu , unakuta msanii anaoga bafuni anajirekodi anaweka kwenye accnt yake ya YouTube .....
Huyo Zuchu sasa ni hamna kitu , wimbo...
Chama cha Mapinduzi Zanzibar kimepata pigo kubwa baada ya mamia ya Vijana wa uvccm waliotumikishwa kwa miaka mingi kwenye sekta ya Mazombie na Janjaweed kuzinduka na kuanza kukumbushia ahadi walizopewa na viongozi wao , kwamba watapatiwa ajira .
Leo baada ya danadana za kipindi kirefu...
Binafsi sio mpenzi sana wa miziki ya kisasa ila nimezisoma sana miziki ya miaka ya 1930s mpaka 1980s na hata ya 1990s na navutiwa sana na aina hii ya miziki ikiwa kwenye ujumbe na burudani pia. Miziki ya 2000s nimesikiliza sana kabla ya 2012 ila mingi baada ya hapo naisikia sikia tu nimekuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.