mo dewji

  1. Manyanza

    Mo Dewji Bilionea aliyegeuza soka la Africa kuwa Biashara

    Rais wa klabu, Mohammed Dewji ametajwa na jarida la Face2Face Africa lenye makao makuu yake jijini New York, Marekani kuwa mmoja kati ya mabilionea wawili ambao wamesaidia kukuza biashara ya mpira wa miguu barani Afrika. Kutajwa kwa Mo kumetokana uwekezaji na mafanikio ambayo Simba imeyapata...
  2. Busybee Chimata

    Nimetapeliwa na mtu aliyejitambulisha kama afisa Mikopo Mo Dewji Foundation

    Nimetapeliwa na mtu aliyedai ni afisa mikopo wa Mo Dewji Foundation kwa kunilaghai nikope mikopo nafuu Kwa riba ndogo, ila nitoke dhamana ya asilimia 10. Nilitoa shs 35,000 na kulipa katika namba 0789 223 590 (Khatibu Khamis) na kuahidiwa kupewa mkopo wa shs laki 3, ndani ya muda mfupi. Baada...
  3. Waufukweni

    PICHA: MO Dewji na Mangungu washikana mikono kwa mara ya kwanza

    Baada ya uvumi wa muda mrefu kuwa Mo Dewji, rais wa Heshima na Mwenyekiti wa klabu ya Simba SC, Murtaza Mangungu haziivi hatimae washikana Mikono. Soma Pia: Mangungu amjibu Mo Dewji: Simba SC haiuzwi na haitauzwa kamwe Baada ya kumjua kuwa kumbe Adui Mkubwa wa Simba SC ni Mwekezaji Mo Dewji...
  4. King Leon 1

    Viongozi wa Simba ndio wanaiua timu bila wao kujua kwa kufanya usajili wa kizamani mwishowe wanapoteza wachezaji je nini kifanyike?

    Kila nikiamka nakutana na habari mbaya za Simba tu bila kuelewa zinatoka wapi na je Viongozi kazi yao nini? Utaratibu wa kusajili kwasasa umebadilika na kuwa wa kisasa zaidi yaani uwazi na ukweli hakuna tena umafia wala njia za mkato kama ilivyo zamani ila naona viongozi wa Simba wameshikilia...
  5. King Leon 1

    Nawashauri Simba SC wamrudie tena Elia Mpanzu amerudi kwao Congo, waachane na mchezaji wao wa ovyo

    Nimeona taarifa juu ya uyu mchezaji Elias Mpanzu ambae Simba ilijaribu kutumia nguvu kumpata ila wakashindwa kwasababu ya ofa kubwa toka ulaya ,kwa bahati mchezaji uyo ameshindwa vigezo vya kujiunga na timu iyo ya ubelgiji na kurudi kwao Congo. Nawasihi viongozi wa Simba kama kweli wanataka...
  6. King Leon 1

    Nini kimewapelekea viongozi wa Simba kumsajili mshambuliaji Mcameroon Lionel toka USM Algiers?

    Ndugu wanasoka wenzagu naomba kuuliza nini kimewafanya viongozi wa Simba kumsajili huyu mchezaji ambae kila nikisoma takwimu zake naona hazimbebi kabisa kuwa chaguo sahihi. Simhukumu ila ningependa kujua tu mapema kabla hatujampa muda klabuni? Soma Pia: Usajili wa Simba tangu 2019 hauaminiki...
  7. William Mshumbusi

    Nimeukubali usajili wa Mo Dewji. Mgunda Unampa timu leo asubuhi Jioni anakupa matokeo. Record Fadlu haitaji muda.

    Timu iko Full Nondo. Ila wachezaji kufunga itategemea uwezo binafsi. Mechi mbili na Record zake akiwa kocha zinanifanya nimnyime timu fadlu David. Hana plan kamili ya kukaba au Kufunga tofauti na Mgunda. Sijaona akichora mchoro wowote wa goli. Mechi iliyopita Simba inafuga kwa uwezo binafsi...
  8. MwananchiOG

    Wanaojifanya wazee wa Yanga waliolipwa na Mo Dewji kuivuruga Yanga wajitokeze hadharani

    Hizi propaganda zisizo na maana zenye malengo ya kuvuruga soka la Tanzania linapaswa kupingwa na kukemewa vikali. Hakuna mzee wa Yanga mwenye akili timamu, akatoa pesa mfukoni, maana kufungua na kuendesha kesi inahitaji nguvu ya mwili na pesa, Ukiachilia mbali mafanikio yaliyopatikana ndani ya...
  9. Nehemia Kilave

    Hivi Mo dewji anamwaga mabilioni ya Usajili Kigwangala huwa anakuwa wapi?

    Hakika pesa inamwagika msimu huu pale msimbazi Kigwangala yuko wapi atoe pongezi ?
  10. A

    Msaada: Huu ni ukurasa rasmi wa Mo Dewji wa kuuza bajaji?

    Habari zenu Wakuu, Kwenye harakati zangu mtandaoni nikakutana na Ukurasa huu ambao unatoa Bajaji kwa ufadhili wa Mo Dewji. Naomba kujua kama huu ukurasa ni rasmi na watoa kweli Bajaji? Asante.
  11. William Mshumbusi

    Mo Dewji hana mpango wa kuijenga upya Simba bali anaibomoa aichache kama alivyoikuta

    Hayupo kuboresha kikosi bali kuweka hesabu sawa tu. Anakusudia kupunguza mishahara mikubwa tu. Mishahara ya m 12+ kama inatakwa itemwe yote. Wakaanza na Miksoni, Chama, Sarry, Jobe, Kanute, Ayoub, Ngoma. Atakaebaki kati yao labda tu awe na mkataba mgumu kuvunja lakini wote hao wanavunjwa...
  12. Ziroseventytwo

    Kupitia MO Dewji faundation, maelfu ya watu wapokea huduma za kutibu macho bure kwenye hospitali ya Mt Fransis ifakara

    Maelfu ya wakazi wa mji wa ifakara na walio nje ya mji leo tarehe 30/06/2024 wameanza kupokea tiba ya macho toka kwa madaktari bingwa wa macho ambao wameweka kambi hapa kwenye hospitali ya Mtakatifu Fransis. Huduma zinazotolewa ni pamoja na dawa, miwani, upasuaji mdogo na ushauri. Kambi hii...
  13. Pfizer

    Taasisi ya MO Dewji yabisha hodi kwa Waziri Aweso, inataka kuchimba Visima vya maji sehemu zisizo na Maji safi na salama

    Waziri wa Maji, Mhe. Jumaa Aweso (Mb) amekutana na kufaya mazungumzo na Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya MO Dewji, Imran Sherali ambaye ameambatana na Mbunge wa Singida Kaskazini, Mhe. Ighondo Ramadhani na mbunge wa Viti Maalum, Mhe. Bupe Mwakang’ate jijini ofisi ndogo za Wizara ya Maji DUWASA...
  14. R

    Mo Dewji kupitia METL afanikiwa kupata syndicate loan kutoka RMB kiasi cha Dola milioni 340

    Hongera Kwa METL kwa kufanikiwa kupata mkopo huo, ama kweli mwenye nacho ataongezewa... mkopo huo ni kutanua wigo wa biashara yake Afrika Mashariki , kwa usaidizi kutoka benki ya RMB. Benki hiyo imefanya kazi kama security agent kutoka kwa wakopeshaji mbalimbali kuweza kufanikisha kupata dola...
  15. C

    Simba hakuna sababu ya kung'ang'ania wachezaji waliosaliti timu

    Ukweli lazima usemwe. Wachezaji wengi walilipwa kucheza chini ya kiwango na ndio sababu,hao waliowalipa, wanawataka kwa udi na uvumba. Ni wakati wa kufanya maamuzi magumu tu na kuachana na wachezaji wote waliokosa kuipigania club. Tatizo letu kubwa ni uongozi.Hatujui ni kwa nini wachezaji wetu...
  16. SAYVILLE

    Teuzi za wajumbe wa Bodi ya Wakurugenzi zilizofanywa na Mo Dewji na Mangungu zinadhihirisha tatizo la Simba liko wapi

    Baadhi yetu tumepiga sana kelele kuonyesha kuwa tatizo kubwa la Simba ni ukosefu wa mfumo thabiti wa uongozi unaowezesha timu kuendeshwa kwa ukaribu na umakini. Simba haina management imara, bali management ipo kama jina tu ila haina watu na waliopo hawana meno ya kutenda majukumu yao. Chukulia...
  17. Erythrocyte

    Bakhresa, Mo Dewji na GSM wajitosa kuwekeza kwenye SGR

    Ni vema ukayafahamu haya mapema kwa faida yako Bali wadau wengi wanajiuliza kwamba ni kitu gani ambacho Serikali ya Tanzania inaweza kufanya, maana unaambiwa ni afadhali hata mtoto mwenye Polio waweza kumpa Magongo akatembea mwenyewe Kampuni sita za Kitanzania ni miongoni mwa kampuni kadhaa...
  18. ESCORT 1

    Mo Dewji: Nitatoa majina ya wajumbe wa Bodi Saa 2:30 Usiku

    Mo Dewji: Nitatoa taarifa kuhusu Wajumbe wa Bodi ya Simba Sports Club kutoka upande wa Mwekezaji, leo saa mbili na nusu usiku. Unahisi jina gani halitokosekana? ===== Kutoka kwa Ahmed Aliy Msemaji wa Simaba: Tajiri yupo kazini, Leo saa 2:30 Usiku anatoa taarifa kuhusu Uteuzi wa Wajumbe wa...
  19. OMOYOGWANE

    Nimefanya review mtandaoni nimejiridhisha Simba SC ni mali ya MO Dewji anaimiliki kisheria

    Nimepitia mchakato mzima ni jinsi gani Mo allimilikishwa hisa zake 49%, Nimebaini Mo alilipia hisa zake zote, Katika asilimia 51% zinazomilikiwa na wanachama ni asilimia 10% tu ndizo zilizolipiwa zinazobaki 41% hazijalipiwa. Kampuni ya Mo Simba yenye 49% ndiyo inayoilea na kuirisha simba kwa...
Back
Top Bottom