mkeo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. K

    Mwanaume simama kiume, haijalishi mkeo kakuzidi kila kitu usiachie nafasi yako kama mume

    Haijalishi mkeo kakuzidi umri, kipato au elimu usikubali mwanamke akuendeshe, usikubali dharau kutoka kwa mtu ambae unamvua nguo huo ni ubwege Mwanaume uwe na principle zako kama hawezi kuzifuata Bora uachane nae aende kwa hao wanaume anaoona ni bora kuliko wewe. Lakini kumnyenyekea mwanamke...
  2. Chachu Ombara

    Hakimu: Usipompa pesa mkeo akapendeza ni 'ukatili wa kiuchumi'

    Hiyo ni kauli ya Hakimu Mfawidhi wa Mahakama ya Mwanzo Sanya Juu wilayani Siha, Janeth Mvungi, aliyoitoa katika maadhimisho ya siku 16 za kupinga ukatili wa kijinsia na kueleza kuwa upo ukatili wa kiuchumi kwa mwanamke ambao hauzungumzwi sana. Akizungumza katika maadhimisho hayo leo Desemba...
  3. Robert Heriel Mtibeli

    Mkeo ni kivuli chako. Chochote utakachofanya au unachotaka afanye atafanya. Akikusumbua ujue wewe ndio msumbufu

    MKEO NI KIVULI CHAKO. CHOCHOTE UTAKACHOFANYA AU UNACHOTAKA AFANYE ATAFANYA. AKIKUSUMBUA UJUE WEWE NDIO MSUMBUFU. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Mkeo ukimuona hana akili ujue wewe ndio huna akili. Ukimuona anadharau ujue wewe ndio unadharau. Ukimuona anakasoro yoyote ile ujue kasoro hiyo...
  4. Uwesutanzania

    Namna ulivyoyaanza maisha na mkeo unakuja pata mali (kufanikiwa) unaongeza mke wa pili hii si sawa

    Hii ni kwa waislamu, Mlioruhusiwa kuoa mke zaidi ya mmoja. Yaani unayaanza maisha ukiwa hauna lolote vile unapambana na msichana wa watu (mkeo), vile anakupa njia wapi pa kuanzia wapi pa kumalizia, vile unaanguka anakusaidia kusimama tena. Mdada wa watu (mke mkubwa) mara achome vitumbua mara...
  5. Robert Heriel Mtibeli

    Usipokuwa mwanaume wa maana mkeo hawezi kubali kuitwa kwa Majina yako

    USIPOKUWA MWANAUME WA MAANA MKEO HAWEZI KUBALI KUITWA KWA MAJINA YAKO. Anàandika, Robert Heriel Mtibeli. Moja ya dalili kuwa wewe sio mwanaume aliyefanikiwa ni pamoja na kuangalia kama mkeo anatumia majina yako na anayafurahia. Ukiwa mwanaume uliyeshindwa, usiye na hadhi, mwanaume usiye wa...
  6. Robert Heriel Mtibeli

    Uchoyo kwenye Ndoa, Mkeo na watoto wamekondeana alafu wewe umenawiri

    UCHOYO KWENYE NDOA, MKEO NA WATOTO WAMEKONDEANA ALAFU WEWE UMENAWIRI. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Wakati nakua Wazee wangu walitupiga marufuku kula bingo. Bingo ñi chakula ambacho vijana wanachanga pesa kisha wanaenda kukipika, inaweza kuwa Nguna(ugali) na samaki au nyama yenye...
  7. Dasizo

    Hivi mumeo au mkeo akikupiga kofi mbele ya umati wa watu Unafanya je wewe kama mke au mume bora?

    Hivi Mumeo au mkeo akikupiga kofi mbele ya umati wa watu Unafanya je wewe kama mke au mume bora?
  8. S

    Chura, shape, sura na kazi nzuri ya mkeo vimekusaidia nini katika maisha?

    Moja ya matarajio yasiyo na uhalisia ktk maisha ya ndoa ni kuwaza kuwa "kwenye ndoa kuna Raha na furaha". Kamwe hili halipo. Huwa wanaume wanahangaika kutafuta wanawake wenye mjumuiko (package) wa chura, shape, sura, rangi na kazi nzuri wakidhani vitu hivi vitaongeza raha na furaha ktk ndoa...
  9. Webabu

    Kufanya biashara na mkeo inachekesha na inapendeza

    Nimefanya biashara kwa miaka kadhaa. Nimefanya na watu mbali mbali wake kwa waume, ninaowajua kwa sura na wengine kwa mawasiliano pekee. Nimefanya na wa masafa ya mbali na majirani pia. Kati ya biashara zote hizo biashara niliyoona ni ya kipekee sana na zile nilizofanya na wake zangu. Kumbuka...
  10. Carlos The Jackal

    Pitia hapa utathimini kama Mwanamke wako au Mkeo anataka/keshaanza kukusaliti!!

    1👉Je mwanamke wako ameanza kuwa na mitoko au safari kuliko ilivyokuwa huko nyuma??. 2👉Je mwanamke wako macho yake na akili yake yote ni kuwa karibu na simu yake?? 3👉Je kwa Sasa amekuwa active zaidi kwenye social media hususan IG na FB? 4👉Je anapost post picha za mitego? 5👉Je kwa Sasa hajali...
  11. TUKANA UONE

    Kumpiga mgoni wako hakutabadilisha tabia ya usimbe ya mkeo

    Nilishawaambia sihitaji salamu, ukitaka salamu rudi huko kijijini kwenu! Waswahili na Ujinga ni kama Mapacha vile! Huwa nashangaa sana mwanaume mwenye akili timamu anapomfumania mkewe yeye huanza kupambana na mwanaume mwenzie badala ya kupambana na mkewe! Aliyekwambia kumpiga na kumdhalilisha...
  12. Robert Heriel Mtibeli

    Tafuta hela uheshimishe familia yako

    Anaandika, Robert Heriel Moja ya mambo yaliyonifanya nisome wakati ni mdogo, na sasa nahangaika kutafuta pesa ni suala la matukio ya misiba. Kwa kweli Taikon niliapa na katika hilo Mungu anajua, na atalisimamia yakuwa mke na watoto wangu kamwe hawataosheshwa masufuria na kutumwa tumwa bila...
  13. Mwachiluwi

    Kama mkeo yupo Facebook mchunguze tena kwa umakini

    👋 Juzi morng nilikuwa ndio nimefika DSM nikachukua usafiri kwenda nyumban sasa nikiwa kwenye usafir mbele alikuwa maeekaa mama wa makamo nahisi alikuwa kwenye miaka 40 hivi. Sasa alikuwa Facebook yupo messenger anachat na jamaa niliangaza macho kuona ase jamaa ana mwambia kuwa nakupigia video...
  14. MSAGA SUMU

    Kataa katakata mkeo kutoa jina la mtoto wenu wa kiume

    Sio kila kitu usubiri kufundishwa mkuu, changamka. Yaani hata Kama mna watoto 100 wa kiume, majina yote yatolewe na baba. Sio mbaya mara mojamoja hapa na pale mke kutoa majina kwa watoto wa kike. Nimeona mara kadhaa ugomvi wa kuvunja ndoa baada ya Kina baba kugundua asili ya majina ya watoto...
  15. M

    Mwanaume ungependa kuongozana na mkeo akiwa katika mavazi gani?

    Ungependa kuongozana na mkeo, akiwa kavaa nguo ndefu zilizomsitiri mwili wake? Au ungependa kuongozana na mkeo, akiwa kavaa nguo zimembana au zimemuacha nusu uchi, huku wanaume wenzako wakimsifia?
  16. Hold on

    Mkeo au mpenzi wako unampendea nini?

    Kwangu mimi hakuna zaidi ya kelele zake akiwa mbali basi namiss yale makelele lakini natafuta sababu nimuache
  17. J

    Mwanaume mwenzio juu ya kifua cha mkeo: Inauma sana asikuambie mtu. Nyie wanawake nyie!

    Inauma sana. Hebu piga picha , Wewe ndo umetongoza, Wewe ndo umepeleka posa na pesa kiasi kwenye bahasha, Wewe ndo umetoa mahari, Wewe ndo unaanda sherehe, Mke unamkaribisha nyumbani kwako, Wewe ndo umempa heshima mkewe kwa jamii, Wewe ndo unamuhudumia mkeo, Kitandani mnafurahi wote, Mnapata...
  18. Taured

    Yupi ni mkeo Kati ya Hawa

  19. Robert Heriel Mtibeli

    Tunza Mkeo ili usimchoke na usimkinai

    TUNZA MKEO ILI USIMCHOKE NA KUMKINAI Anaandika, Robert Heriel Baba Ubongo wa binadamu unahitaji vitu tofauti Kila siku ili ubudurike. Kuona kitu kilekile, kusikia kitu kilekile, kunusa na kuonja kitu kilekile kunaufanya ubongo ukinaiwe na kuhisi uchovu. Unachoka. Kijana lazima uelewe kuwa ni...
  20. Mwachiluwi

    Chombezo mkeo ndio alitaka

    Chombezo: Mkeo Ndio Kataka WARNING (KWA UKUBWA WA MANENO NA TASWIRA ZILIZOTENGENEZWA KATIKA SIMULIZI HII HAITAKIWI KUSOMWA NA MTOTOUNDER 🔞) Ilikuwa asubuhi kama ya saa 3 hivi niko zangu kitandani sielewi naanzaje siku ukizingatia Jana nililala na ubao ndio kabisa hasira zilizidi kunipanda...
Back
Top Bottom