mjukuu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. IBRA wa PILI

    Ananikumbuka sana, anajutia sana, majuto kawa mjukuu sasa

    Liza Anasema alifanya makosa kingine utoto Tu anasema nilikua mwanaume sahihi kwake mi sijui....... Usikite mbele nami ningekua kivuruge Anasema nimsamehe Sana akili za kitoto Tu zile maisha kwake ovyo ni magumu Sana nimpe chance again wakati anajua tayari nina mke iyo chance nampaje kifupi...
  2. B

    Mjukuu wa Mandela: Babu angekuwapo angewaunga mkono HAMAS na Wapalestina dhidi ya Israel!

    1. Huu ndiyo ulio ukweli mchungu wenye kuakisiwa vyema nyuma ya jitihada zote za Afrika Kusini hadi ICJ huko dhidi ya Israel. 2. Kwamba kuna mpenda haki wapi kwetu aliyebakia CCM, CHADEMA, ACT, UDSM au wapi wa aina ya mjukuu huyu wa Mandela? 3. Kwamba nani anaweza kuthubutu kwa na hakika...
  3. kavulata

    Ahmed Ally ni mjukuu wa Kinjekitile?

    Kinjekitile Ngwale aliwaaminisha watu wake kuwa risasi za askari wa kijerumani zitageuka maji kwenye vita Ile ya majimaji. Hii iliwafanya watu wengi kujiunga na vita Ile, lakini kusema Kweli Kinjekitile aliwadamganya wenzake wakafa wengi sana. Risasi za adui hazikugeuka maji hata kidogo...
  4. Roving Journalist

    Sagini ashiriki ibada ya mazishi ya Mjukuu wa Baba wa Taifa

    Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Jumanne Sagini na Mbunge wa Jimbo la Butiama, Novemba 14, 2023 ameshiriki Ibada ya mazishi ya Marehemu Edward Magige ambaye ni Mjukuu wa Baba wa Taifa Hayati Mwl. Julius Kambarage Nyerere, iliyofanyika Kijijini kwao Wilayani Butiama Mkoani Mara...
  5. Roving Journalist

    Sagini ashiriki mazishi ya Mjukuu wa Baba wa Taifa

    Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi na Mbunge wa Jimbo la Butiama, Jumanne Sagini na Naibu Waziri Ofisi ya Rais Tamisemi, Deogratius Ndejembi wakiweka shada la maua kwenye kaburi la marehemu Daudi Charle's Nyerere mtoto wa Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Mhe. Charle's Makongoro Nyerere wakati wa...
  6. JanguKamaJangu

    Zoleka Mandela, Mjukuu wa Nelson Mandela afariki Dunia akiwa na umri wa miaka 43

    Zoleka Mandela: Nelson Mandela's granddaughter dies in South Africa at 43 Zoleka Mandela, granddaughter of South Africa's first democratically elected President Nelson Mandela, has died of cancer at the age of 43. She passed away on Monday evening surrounded by friends and family, a...
  7. S

    Hadithi ya mjukuu kifuani mwa babu na Lissu anayecheza na akili za watu majukwaani

    Hakuna mahali salama kwa mjukuu wa chini ya miaka miwili kulinganisha na kifuani kwa babu yake anapolala baada ya kuzidiwa na usingizi unaotokana na utamu wa hadithi ndefu. Huwa wajukuu wanasinzia upesi mno na mara nyingi hadithi haifiki hata nusu ya urefu wake, wao wakiwa wameshasinzia. Mtoto...
  8. Mohammed wa 5

    Wazazi wanataka mjukuu wanashangaa hawajawahi kuniona na mwanamke

    Maisha Yana Mambo mengi Sana. Mimi ni kijana wa kiume Nina miaka 29 nakaribia 30 soon,mtoto wa pili Kati ya watoto watano nimemaliza chuo mwaka 2019 sasa hivi nipo mtaani napiga harakati zangu Mungu anasaidia maisha yanasonga JAPO familia yetu inajiweza kipesa sitegemei hela za nyumbani...
  9. BARD AI

    TANZIA Mjukuu wa Bob Marley 'Jo Mersa' afariki dunia akiwa na miaka 31

    Mwanamuziki Joseph "Jo Mersa" Marley, ambaye ni mjukuu wa Mwimbaji Mkongwe wa Reggae Hayati Bob Marley amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 31, vyombo vya habari vya Marekani viliripoti. Mwakilishi wa Marley mzaliwa wa Jamaika alithibitisha kifo chake kwa kupitia Jarida la Rolling Stone...
  10. DreezyD98

    Babu mbaroni kwa kumbaka mwanafunzi

    Shinyanga. Jeshi la Polisi mkoani Shinyanga linamshikilia Abubakar Saidi (64) mkazi wa Kata ya Ndembezi kwa tuhuma za kumbaka mwanafunzi wa kidato cha kwanza (14) katika shule ya sekondari iliyopo katika Manispaa ya Shinyanga mkoani humo. Akizungumza leo Alhamisi Oktoba 13, 2022 Kaimu kamanda...
  11. Gladie Sephania

    SoC02 Wapiganapo tembo nyasi huumia

    Yapata majira ya jioni siku ambayo bibi yangu alirejea toka kazini akiwa na malalamiko sana na akiwa mwenye kuwaza mambo mengi yanayosumbua akilini mwake pasipo kupata ufumbuzi. Ndipo niliamua kumuita bibi yangu nakuanza kumuuliza kitu gani hasa kinamsibu 'Bibi shikamo, pole na mihangaiko ya...
  12. J

    SoC02 Tanzania ya dhahabu

    vita vimepigwa kwa mabomu na siraha nzito ili kujenga ngome na kasili lenye kuwafanya watumwa na watwana kuishi katika hali ya usawa, pia mapambano hayo yamechochea umoja na mshikamano katika kujenga jumba lenye kutoa makazi kwa vizazi vijavyo na kuhakikisha afya, kwa hakika walimwaga jasho na...
Back
Top Bottom