mahabusu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. L

    Nesi aliyempokea Lissu Hospitalini anadai kuwa Antony Mtaka alimtukana 'Fala wewe' na akamuweka mahabusu siku tatu wakati ni Mgonjwa

    Ndugu zangu Watanzania, Nimeendelea kuisikiliza video ya muuguzi aliyedai kuwa ni miongoni mwa wauguzi waliompokea Lissu hospitalini siku alipokimbiziwa hapo baada ya kushambuliwa kwa Risasi na watu wasiojulikana 2017. Ambapo katika mazungumzo hayo na Lissu muuguzi huyo ambaye anadai...
  2. Ndagullachrles

    Moshi: Mwenge wakwamisha mahabusu kupelekwa Mahakamani

    Leo mahabusu wenye kesi mbalimbali kwenye mahakamani hasa Moshi Mjini, hawajafikishwa mahakamani kutokana na uhaba wa askari. Askari wengi wapo kwenye shughuli ya uwashwaji wa Mwenge wa Uhuru Kitaifa unaofanyika kwenye uwanja wa Chuo Kikuu cha Ushirika Moshi. Mgeni rasmi kwenye tukio Hilo ni...
  3. BARD AI

    Aliyemchoma Mwanamke visu 25 na kumsababisha Kifo afariki dunia akiwa chini ya ulinzi

    Mtuhumiwa anayedaiwa kusababisha kifo cha Beatrice Minja kwa kumchoma visu mara 25, Lucas Tarimo amafariki dunia akiwa chini ya ulinzi wa Jeshi la Polisi wakati akiendelea na matibabu katika hospitali ya Huruma iliyopo Wilaya ya Rombo, mkoani Kilimanjaro. Daktari kiongozi wa Hospitali ya Huruma...
  4. M

    Nilichokiona kwenye mahabusu hii ya polisi ni mateso. Criminal justice of Tanzania is cruel

    Masa 24 unalala kwenye sakafu. Dhamana za polisi ni ngumu kupata. Mahabusu wanacheleweshwa kupelekwa mahakamani kinyume na sheria. Sakafu ni baridi kanakwamba zimemwagiwa barafu. Waziri yupo tu wala hafanyi ziara yoyote kukagua.
  5. benzemah

    Aliyekuwa Mkurugenzi Igunga aendelea kusota Mahabusu Sakata la Utakatishaji Fedha

    Mahakama ya Hakimu Mkazi Wilaya ya Kigoma imewaachia huru kwa masharti ya dhamana washtakiwa wa tano kati ya 11 waliokuwa wameshtakiwa kwa makosa 11 likiwemo la utakatishaji fedha Sh463.5 milioni, huku Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Igunga, Athumani Msabila na wenzake watano wakiendelea...
  6. Roving Journalist

    Sagini aagiza Polisi Mara kutoa gari kwa ajili ya kubeba Mahabusu Gereza la Bunda

    Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi (Mb), Jumanne Sagini ameliagiza Jeshi la Polisi Mkoa wa Mara kutoa gari la kusafirisha mahabusu waliopo katika Gereza la Wilaya Bunda na kuwapeleka kwenda Mahakama ya Wilaya Butiama ikiwa ni pamoja na kuwarudisha ili wapate haki yao. Sagini alitoa maagizo...
  7. sky soldier

    Ndugu yangu kakamatwa kwa simu ya wizi, Nawasihi sana tuchukue tahadhari tunaponunua simu 'used'

    Tamaa ni moja ya sifa kuu inayowatafuna vijana wengi sana hasa wenye kupenda vitu vyenye gharama kuzidi uwezo wao. Sikuhizi kwenye makundi mengi ya vijana ili uonekane kijana wa kisasa inaaminika inabidi uwe na simu nzuri zenye brand kubwa kama iphone, Samsung, Google pixel, Nokia, n.k. Kijana...
  8. Erythrocyte

    Hatimaye kesi ya George Sanga aliyewekwa Mahabusu kwa miaka 3 kwa kesi ya Mauaji kuanza kusikilizwa

    Taarifa iliyosambazwa na Chadema Duniani kote , inaeleza kwamba Mtuhumiwa wa kesi ya uongo ya mauaji , George Sanga, Mwanachama wa Chadema na diwani wa zamani wa Njombe , ambaye alisingiziwa kesi hiyo ili kumkomesha, baada ya kukataa kujidhalilisha kwa kununuliwa na ccm , Itaanza kusikilizwa...
  9. BARD AI

    Ushelisheli: Mtanzania awekwa Mahabusu akihusishwa kumsaidia Mpinzani kwenye masuala ya Uchawi

    Ni Patrick Herminie, kiongozi wa Chama cha United Seychelles ambaye ametajwa kuwa tishio kwa Rais Wavel Ramkalawan anayehifia kuondolewa Madarakani baada Herminie kuonesha nia ya kugombea Urais katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025. Waendesha mashitaka wamesema jina la Herminie lilipatikana kwenye...
  10. BARD AI

    Mahakama: Mwanamke aliyefia Mahabusu ya Mahabusu alijinyonga

    Mahakama ya Korona Kinondoni jijini Dar es Salaam leo Ijumaa Septemba 22, 2023 imetoa uamuzi wa uchunguzi ilioufanya kuhusu mazingira ya kifo cha Stella Moses aliyefia mahabusu katika kituo cha Polisi Mburahati Desemba 20, 2020, ikisema kifo chake kilisababishwa na yeye mwenyewe kujinyonga...
  11. Roving Journalist

    Tabora: Mathias Maganga, adaiwa kufia mahabusu ya polisi

    Na Abdallah Amiri – Igunga Mathias Maganga (31) mkazi wa Kitongoji cha Kinambuga Kijiji cha Majengo, Kata ya Chabutwa, Tarafa ya Simbo Wilaya ya Igunga mkoani Tabora anadaiwa kufia Kituo kidogo cha Polisi Simbo. Baba wa marehemu, Maganga Hanga (67) akizungumzia kifo cha mwanawe juzi, alisema...
  12. Sildenafil Citrate

    Polisi wamgomea Lissu kufanya mikutano Ngorongoro, yeye asema ataenda kwani sehemu hiyo sio Gereza

    Polisi wamekataza mikutano yetu ya hadhara Ngorongoro. Juzi Serikali ya Samia imekataza wabunge wa Ulaya kutembelea eneo hilo. Wanaficha kitu gani? Licha ya jitihada za Serikali, Ngorongoro sio gereza & Wamaasai sio wafungwa wa gereza hilo. Sisi tutakuwa Ngorongoro kuanzia kesho! Tundu Lissu...
  13. Sildenafil Citrate

    Lengai Ole Sabaya aachiwa Huru kwa sharti la kutofanya kosa la Jinai kwa kipindi cha mwaka mmoja

    Aliyewahi kuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai mkoani Kilimanjaro, Lengai Ole Sabaya, ambaye amekuwa akikabiliwa mashtaka saba ikiwemo uhujumu uchumi, matumizi mabaya ya madaraka na kuongoza genge la uhalifu leo Aprili 05, 2023 ameachiliwa huru. Taarifa zaidi zitakujia hapa hapa baadae. Chanzo: Jambo...
  14. BARD AI

    Waziri Ummy: Wawajibisheni Watumishi ila msiwapeleke Mahabusu

    Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu amewaagiza wakuu wa mikoa na wilaya nchini kutoona haya kuwawajibisha watumishi wa afya wanapokwenda kinyume na muongozo wa utumishi wa kada hiyo. Agizo hilo amelitoa leo Jumatatu Julai 10, 2023 wakati wa ziara yake ya kukagua utoaji wa huduma za afya na upatikanaji...
  15. BARD AI

    Mtoto ahoji kukaa mahabusu miaka miwili akisubiri kesi

    Mmoja wa watoto wanaohifadhiwa katika mahabusu ya watoto Upanga, jijini Dar es Salaam, amehoji kukaa mahabusu kwa miaka miwili sasa, akisubiri kusikilizwa kwa kesi yake inayomkabili. Mtoto huyo aliyekuwa mahabusu hapo kwa kukinzana na sheria akikabiliwa mashtaka ya mauaji, alibainisha hayo jana...
  16. O

    Geita: Aliyemuua mwalimu naye ajiua mahabusu

    Mwalimu Samuel Subi wa Shule ya Msingi Igaka enzi za uhai wake Geita. Jeshi la Polisi mkoani Geita limethibitisha kifo cha Mwalimu Samuel Subi wa Shule ya Msingi Igaka, wilayani Geita kilichotokea machi 17 kwa kujinyonga akiwa mahabusu kwa kutumia shati alilokuwa amelivaa. Mwalimu huyo alikuwa...
  17. BARD AI

    Mahakama kuchunguza sababu za kifo cha aliyedaiwa kujinyonga Mahabusu

    Mahakama ya Hakimu Mkazi Kivukoni (Kinondoni), itafanya uchunguzi huo baada ya familia ya Marehemu Stella Moses kupinga maelezo ya kituo cha Polisi Mburahati yaliyodai Stella alijinyonga baada ya kujisalimisha kituoni hapo Desemba 20, 2020. Washtakiwa katika shauri hilo ni Mkuu wa Jeshi la...
  18. R

    Lema kwenda kumsalimia Sabaya mahabusu ni fedheha kwa mfumo; Wafuasi wake wapigana kumtoa ndani kabla ya tarehe 1/3/23

    Zipo taarifa kwamba walafi wanapanga njama za kumrejesha Sabaya uraiani kabla ya tarehe 01/03/2023. Mbinu zinazotumika nipanoja na kusambaza habari kwamba yupo hoi, lakini wazazi wake pamoja na ndugu wameenda kumpigia magoti mdosi aelekeze aachiwe. Swali, je watu hawa wanafanikiwa? Endapo...
  19. BARD AI

    Wafungwa na Mahabusu wenye VVU Nchini wanalishwa Ugali Maharage kila siku

    Taarifa iliyowasilishwa Bungeni kupitia Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Masuala ya #UKIMWI na kueleza kuwa Wafungwa na Mahabusu Tanzania wanapewa aina moja ya Chakula kila Siku. Kutokana na hilo, Afya za #Wafungwa walioathirika na Virusi vya UKIMWI na wanaotumia Dawa za Kupunguza Makali ya Virusi...
  20. BARD AI

    Mahakama yaipiga Serikali na Mkuu wa Wilaya faini ya Tsh. Milioni 100 kwa kumweka raia mahabusu

    Amri za wakuu wa wilaya za kuwaweka watu mahabusu kwa saa 48 zimeanza kuwaingiza matatani, baada ya aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Siha, Onesmo Buswelu, kuamriwa kulipa fidia ya Sh10 milioni na Serikali ikiamriwa kulipa Sh90 milioni. Amri hiyo ilitolewa juzi na Jaji wa Mahakama Kuu ya Tanzania...
Back
Top Bottom