Mkuu wa Mkoa wa Katavi, Mwanamvua Mrindoko amesitisha huduma zote za usafiri katika Barabara ya Sitalike kuelekea KIZI Mkoani Rukwa na badala yake itumike Barabara ya Kibaoni Sitalike.
Agizo hilo limetolewa mara baada ya abiria kukwama katika Mto Sitalike ambapo daraja limefurika maji huku...
Yanga haina uwezo wa kucheza vizuri zaidi kuliko ilivyocheza jana. Hapo ndipo ilipoishia!. Lakini Simba bado itaongeza makali, bado haijafika kwenye top form yake. Kwa maana hiyo itakapofikia top form yake haitakamatika kabisa!
Kwahiyo hiyo Mvua kwa dakika zote 90 na zile dakika 10 za Kubebwa ( Kutafutiwa Goli ) ilikuwa ikinyesha upande wa Yanga SC tu ( kwa Wachezaji Wao ) na kwa Klabu ya USM Alger kulikuwa na Jua linawaka ndiyo maana Wakawafunga na Wakashinda?
Poleni na leo nina Furaha isiyoelezeka.
Kumekuwa na posts na nyuzi za kujifariji kuwa matokeo ya kwenye derby haihusiani na ubora wa timu kwamba hata timu bora huwa inafungwa. Lakini nawakumbusha tu kuwa kwenye hii derby underdog alikuwa ni yanga.
Makampuni yote ya kubashiri waliiweka yanga ndio underdog.
Kwa hiyo yanga imepata...
Wabunge wa Mkoa wetu wanafahamu kutumia fursa za kiuongozi?
OMR ndiyo yenye dhamana na masuala ya mazingira nchini. Sasa Je tumeitumia vema Ofisi ya Mhe Isdory Mpango - Makamu wa Rais katka eneo hili la mazingira??
Je, Mhe Isdory Mpango (Makamu wa Rais) mwenyewe ameelekeza watendaji wake ktk...
Kuna hii dhana ya kumsifia kiongozi fulani eti anaifungua nchi, kitu ambacho hata mwenyewe bila hata yeye mwenyewe anashangaa!!nchi ilifungwaje? nani aliifunga? maana serikali haijabadilika! Ilani ya uchaguzi inayotekelezwa haijabadilika!! Tatizo ni watu kujaribu kujikomba bila aibu...
Barabara Kuu ya Tunduma-Dar ea salaam imefungwa.
Maso nipo hapa kijiji cha Viwenge Iringa.
Mpaka sasa kuna magari zaidi ya elfu moja yanasubiri kupita.
Tunajua hii barabara kuu ni biashara kubwa na tunachosikia eti kuna shughuli ya Mwenge kijijini.
Hii ni absurdity at its best.
Unafunga...
Nimesikiliza haya mahojiano vizuri Diaspora wanalalamika kwamba Freeman Ekael Mbowe anamsifia mama baada ya mambo yake binafsi kushughulikiwa na Rais, ikiwemo kufunguliwa Account zake za fedha ambazo zilifungwa muda uliopita, kutoka jela pamoja na shughuli zake mbalimbali za kibiashara...
Chama is Back, Triple C is Back.
Baada ya Mechi Ya Mwisho kucheza akiwa Morocco na Kuwa MAN OF THE MATCH. Leo Anarejea Tena, zamu hii Akiwatumikia Simba Sc Dhidi ya Mbeya City. Nini atawapa Wana Simba Sc ni Jambo La kusubiri.
Baada ya kutwaa ubingwa wa mapinduzi Mnyama, Simba SC anarejea...
Mabingwa wa kihistoria wanaondoka Mapinduzi Cup wakiwa wamekula kichapo cha goli 11 saaafi kabisa.
Katika hatua ya awali walikula goli 2 dhidi ya KMKM na jana nusu fainali wakiwa full mkoko walikula goli 9 toka kwa Azam FC
Ikumbukwe kuwa Play Station yenyewe mpaka sasa haiyafungwa goli hata...
Cousin yangu anayechezea timu ya Taifa, alinieleza kwamba juzi baada ya kutembelewa na Waziri Mkuu, walilipwa posho zao zote ikiwemo malimbikizo ya nyuma.
Posho ambazo walikuwa hawajalipwa zilikuwa zinashusha Morali kwenye kambi, lakini Waziri Mkuu aliyeagizwa na Rais Samia Suluhu kuitembelea...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.