girlfriend

A girlfriend is a female friend or acquaintance, often a regular female companion with whom one is platonic, romantically or sexually involved. This is normally a short-term committed relationship, where other titles (e.g., wife, partner) are more commonly used for long-term relationships. A girlfriend can also be called a sweetheart, darling, or honey. The analogous male term is "boyfriend".

View More On Wikipedia.org
  1. U

    Kipindi mke/ girlfriend yupo siku zake unatumia mbinu gani kupunguza uchu?

    Kun mud Upwiru huwa unabana ila mwanamke ulienae kaumbwa kuwa kwenye siku zake 3 hadi wiki, huo moto unauzimaje? umetoka safarin umerud mke yuko sikuzake afu ndo siku ya kwanza kabisa kaanza na anaenda siku 5 afu kumbuka wiki nzima hamjaonana na mda wa kukaa naye ni siku tatu unarud job...
  2. 2 of Amerikaz most wanted

    Nigeria: Mchina ahukumiwa kifo kwa kosa la kumuua mpenzi wake

    A Chinese man, Frank Geng-Quangrong has been sentenced to death for the murder of his 22-year-old girlfriend in Nigeria. he actually killed the lady because he spent a huge amount of money on her, he claim to buy her a car,house open a business for her in Abuja and at the end of the day she...
  3. 12345609

    Natafuta mchumba(ke)

    Umri ni miaka 26 ninatafuta mchumba(ke)akiwa na miaka 24 hadi 30 itakuwa safi na itapendeza kama utakuwa morogoro au dsm
  4. Brigadier Isaac

    Natafuta girlfriend wa kusogeza naye siku

    Bila kuchoshana kama tangazo linavosema hapo juu Natafuta mpenzi wa kuchat nae na kujuliana hali hivo vingine tutapanga baadae kama penzi likinoga Masharti:awe mwanamke basi inatosha
  5. LIKUD

    Nawashangaa Watanzania wanaoshangaa kusikia Sadio Mane kamuoa girlfriend wake wa muda mrefu mwenye umri wa miaka 18

    Age of consent in Senegal is 16 years old. Kwa maana ya kwamba mtu mwenye umri wa miaka 16 nchini Senegal anaruhusiwa kuolewa au kuoa. Hiyo hoja kusema kwamba sijui alikuwa ana tembea na minor haina mashiko. Hata hapa Tanzania sheria yetu ya ndoa msichana anaruhusiwa kuolewa akiwa na umri...
  6. Sky Eclat

    The eyewatering sum Al Pacino, 83, has to pay 29 year old girlfriend Noor Alfallah in child support

    Legal documents detail an agreement that has the 83-year-old Scarface actor paying over $30,000 monthly to support his youngest son. The court's mandate includes an initial sum of $110,000 to be paid upfront by Al, in addition to the recurring monthly payments. Moreover, Al is responsible for...
  7. M

    Kuna ubaya kumwambia ex girlfriend wangu kwamba asinitafute maisha yake yote yaliyobaki?

    Kuna ex girlfriend wangu mmoja kwasasa tupo mikoa tofauti ingawa hakuna umbali sana katika ya mkoa aliopo yeye na mimi. Simuhitaji tena na ndio maana hata naweza nikakaa hata miezi mitatu au sita bila kumtafuta na namba zake za simu nilishafutaga na kichwani pia hazipo mana sina kawaida ya...
  8. B

    Israel Adesanya: Girlfriend adai nusu ya mali kwa kukaa muda mrefu kwenye mahusiano

    Aliye kuwa mpenzi wa bingwa wa ngumu za ndondi wa uzito wa kati UFC Israel Adasanya anayeitwa Charlotte powdrell amaemburuta mahakamani bondia huyo akidai nusu ya mali yake kwa sababu ya kukaa muda mrefu kwenye mahusiano. Wawili hao hawakuwahi kufunga ndoa mpaka wanaachana na hawakubahatika...
  9. S

    Alinilingia kunipa mbususu sasa nimeoa lakini bado ananitafuta

    Huyu binti niliwahi kuanzisha nae mahusiano dakika za mwisho mwisho wakati nakaribia kufanya mtihani wa kumaliza mwaka wa tatu chuoni (UE) Wakati naingia nae kwenye mahusiano yeye alikua anasoma level ya certificate na mimi nilikua namalizia mwaka wa mwisho wa degree yangu ya kwanza. Baada ya...
  10. TAJIRI MKUU WA MATAJIRI

    Nimesikitika sana kumkuta EX Girlfriend wangu anakunywa Katarama

    Mimi ni Mbena mzaliwa wa Mbeya, kwasasa ni mfanyabiashara mkubwa, nina export parachichi, nina mashamba ya miti ya nguzo, miti ya mpodo, miti ya pine, na miti ya mitiki, tick trees. Pia nina maduka ya vipodozi Dar, Mbeya, Tunduma, Arusha na Mwanza. Sasa haya mambo ya biashara kila mtu ana...
  11. Joao de Matos

    Jamaa kutambulisha ma-Ex girlfriend wake wote ukumbini

    Last week Kuna harusi moja, niliitafuta clip yake nikaipata. Bwana harusi amewatambulisha ex wake ukumbini, lakini aliwaomba wasisimame, hi inaonesha aliwaharika kwenye sherehe. Bwana harusi huyo alimuuliza mke wake(Bibi harusi) Kama atakuwa amemkwanza lakini alisema hapana, Kitu hiki...
  12. M

    Anadai leo ni girlfriend day anataka zawadi

    Mtatuua yaani asubuhi asubuhi naamshwa na text ""baby leo ni girl friend day naomba zawadi"" Tangu nizaliwe ndio leo naisikia hii siku, kumbe ipo kweli nimeingia mtandaoni nimeikuta. Sasa huyu bibie ana sherehe kadhaa kwa mwaka na zote zinataka zawadi, valentine day, girlfriend day, women...
  13. K

    Nimejificha baada ya kumuona Ex girlfriend anaendesha V8 new model

    Kwema ndugu zangu? Jamani haya maisha yaacheni tu yaitwe maisha. Kuna sehemu nina kabiashara kangu ka kuzugia ili siku ziende hapa mjini. Sasa kikawaida asubuhi huwa namuacha kijana wangu anasimamia haka kabiashara then jioni kama hivi nikiwa nimetoka kwenye mishe zangu zingine naungana na...
  14. KAJOBO

    Natafuta girlfriend

    Kama kichwa cha habari kinavyojieleza nahitaji mwenye nia ya dhati ya kuolewa sina vigezo ving ila kwa aliyetayarit uwasiliane inbox au atumie namb +255755772556
  15. babu M

    Mchezaji wa Manchester United anashikiliwa na polisi kwa kudaiwa kubaka na kumpiga girlfriend wake

    Mchezaji wa Manchester United Mason Greenwood ameshikiliwa leo na Polisi kwa kosa la kumbaka Girlfriend wake na kumpiga. Msemaji wa Polisi jijini Manchester UK amesema kwamba walianza uchunguzi baada ya picha na video zilizokuwa zimesambaa kwenye mitandao zilizopostiwa na mwanamke zikiripoti...
  16. Sky Eclat

    How Lord Lugard’s girlfriend gave Nigeria her name

    HOW LORD LUGARD’S GIRLFRIEND GAVE NIGERIA HER NAME Not many people know that the name, NIGERIA, came from the girl friend of our colonial Master, Governor-General, Lord Legend in those good old days before we got independence. It was Flora Shaw who gave Nigeria its name. She suggested it to the...
  17. sky soldier

    Anatumiwa video za girlfriend wake WhatsApp. Je, afanye maamuzi gani?

    Kuna mambo mengine ya ajabu sana aisee, kuna muhuni anamtumia rafiki yangu videos nyingi 50 kidogo, akiblokiwa anatuma kwa namba nyingine, namba za Whatsapp anazotumia ni za china , india, urusi, n.j binafsi nlicheki video mbili tu kwa lengo la uchunguzi Ili nitoe wazo au msaada ila nilitoka...
  18. Chachu Ombara

    Man kills underage girlfriend after having sex with her, dumps body in coffee plantation

    Police in Kanungu is investigating circumstances under which a 17 year old girl was murdered. Mackline Tushemereirwe,also an alleged sex worker was found lying in a pool of blood oozing from her private parts. The deceased is a resident of Iraro Cell,Buhoma Town council in Kanungu district...
  19. M

    4 Things to tell your wife or girlfriend during love making

    When you're in a relationship, it's not just love and affection that keeps the connection going. A strong sense of intimacy and connection is required for your relationship to flourish and thrive. One of the variables that might help you improve the level of closeness and intimacy between you...
Back
Top Bottom