babu M
JF-Expert Member
- Mar 4, 2010
- 5,220
- 3,172
Mchezaji wa Manchester United Mason Greenwood ameshikiliwa leo na Polisi kwa kosa la kumbaka Girlfriend wake na kumpiga.
Msemaji wa Polisi jijini Manchester UK amesema kwamba walianza uchunguzi baada ya picha na video zilizokuwa zimesambaa kwenye mitandao zilizopostiwa na mwanamke zikiripoti physical violence.
Vilevile mapema leo, Clabu ya Manchester United walitoa statement ikisema Greenwood atarudi kwenye mazoezi na michezo ya ligi.
Greenwood ana miaka 20 alisaini mkataba mpya ambao utamweka klabuni hadi Juni 2025.
Greenwood ni zao la Academy ya klabu na amekuwa huko Manchester United tangu umri wa miaka saba.
Greenwood ambaye ni mfungaji mdogo zaidi wa United aliyewahi kufunga magoli kwenye mashindano ya Uropa.