ajali za mabasi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Yoda

    Ajali za mabasi ni janga la kitaifa, serikali yapeni umuhimu stahiki maisha ya wasafiri

    Hizi ajali za barabarani za mfululizo za mabasi zinazomaliza maisha ya watu na kuwafanya maelfu kuwa walemavu ni kama zimekuwa jambo la kawaida sasa na kuzoelekana. Inasikitisha sana kuona Waafrika hatuyapi maisha thamini na hadhi inayostahili. Ajali mfululizo za mabasi za aina hii zinazotokea...
  2. peno hasegawa

    Kilwa: Ajali yaua saba na kujeruhu 22

    Nimeandika tu. Kuna ajali imetokea Kila leo na watu zaidi ya 7 wamefariki Dunia. LATRA wako kimyaaaa
  3. GENTAMYCINE

    Kwahiyo LATRA kuyafungia Mabasi 37 ya 'New Force' ndiyo kutamaliza Ajali za Mabasi Tanzania nzima?

    Yaani Wafanyakazi wote wa LATRA ndiyo mna aina hii ya Ubongo mbovu uliowapelekea nyie kuja na Maamuzi haya ambayo GENTAMIYCINE sioni Aibu kuyaita ni ya Kipumbavu huku yakiwa yamejaa Chuki, Visasi, Wivu na Uonevu? LATRA mbona hamyachukuli hatua Mabasi ya Tajiri Mkongwe wa Mkoani Morogoro ( na...
  4. chizcom

    Sifa za kupigiwa miruzi na kushangiliwa ndio kichocheo cha ajali nyingi kwenye mabasi

    Kuna jambo tumelisahau kuhusu ajali nyingi za mabasi ni kipi. Tukisema ulevi, uzembe au barabara si kigezo sana ila la miruzi na kushangiliwa kuwapa sifa wanapoingia stendi au kutoka na zinopokuwa njiani. Dereva wa basi upenda sifa kwa kushangiliwa na waliokuwa nje ya barabara au wakisikia...
Back
Top Bottom