Search results

  1. Mr Why

    App za bure zinaingizaje hela?

    Wewe ndiye fala nyumba unazoziona Goba na Mbezi beach hazijajengwa na Ads amka usingizini nimekutusi ili akili yako ipate moto
  2. Mr Why

    App za bure zinaingizaje hela?

    Kijana ukitaka mafanikio fungua biashara ya kueleweka cent za Ads haziwezi kubadilisha maisha yako
  3. Mr Why

    Tuheshimu sana Mitandao ya Kijamii kwasababu uwekezaji wake ni wa gharama kubwa sana

    JF iko vizuri sana wamefanya uwekezaji mkubwa sana, Elon Musk hana ujuzi wa maswala ya mitandao
  4. Mr Why

    Hawa vijana wanaohitimu mafunzo ya kijeshi na kukosa ajira ni hatari Kwa taifa letu

    Mhimili wa Mahakama upo vizuri sana ondoa shaka
  5. Mr Why

    Tuheshimu sana Mitandao ya Kijamii kwasababu uwekezaji wake ni wa gharama kubwa sana

    Chapisho langu linaonesha wazi kuwa hakuna sehemu yeyote niliyozungumzia swala la ajira
  6. Mr Why

    Tuheshimu sana Mitandao ya Kijamii kwasababu uwekezaji wake ni wa gharama kubwa sana

    Ndugu zangu nataka niwambie ukweli kuwa mimi nina ujuzi kubwa juu ya mitandao ya Kijamii na ni mzoefu mkubwa wa mitandao ya kijamii na mara kadhaa nimekuwa nikisaidia badhi ya kampuni kudesign muonekano wa mitandao yao, nafahamu kwa undani kabisa kwanzia muundo na hata uwekezaji wake hivyo basi...
  7. Mr Why

    Hawa vijana wanaohitimu mafunzo ya kijeshi na kukosa ajira ni hatari Kwa taifa letu

    Usiogope ndio maana kuna Sheria, Mahakama na Police maana kwamba wakifanya uhalifu Sheria itawatafuna
  8. Mr Why

    Nimeoa ila natamani sana wanawake wengine

    Mke wako nae wanamtamani hivyohivyo ngoja nawe ugongewe ili akili ikukae sawa
  9. Mr Why

    Watumiaji wa Internet wazidi kupaza sauti za Starlink

    He sijui kwanini kila kampuni lazima iwe na physical address, Starlink ni huduma isiyohitaji ofisi labda tu office itumike kuuza vifaa vyao
  10. Mr Why

    Watumiaji wa Internet wazidi kupaza sauti za Starlink

    Pengine yatolewe ufafanuzi ili watu waelewe
  11. Mr Why

    Watumiaji wa Internet wazidi kupaza sauti za Starlink

    Serikali kupitia Wizara ya Habari na Mawasiliano imetoa ufafanuzi juu ya ujio wa Starlink ikidai kuwa haijakataa ujio wao bali inasubiri kampuni ya Starlink itimize masharti yaliyowekwa
  12. Mr Why

    Tabia nisizozipenda kwa mabinti wa kaskazini (hasa wachaga) wakiolewa

    Mnapewa mbuye mnagawa hati za mali akili zipo kweli? wanaofanywa hivyo nao pia ni mademu mwanaume wa kweli ujinga hapana letewa
  13. Mr Why

    Wakuu nahisi nimeisharibu ndoa yangu na sitarajii kama amani itakuwepo tena hapa nyumbani kwangu, simu imeniumbua

    Kaa kimya akisumbua sana mwambie yeye ndiye sababu kwasababu hakupi utamu wa kueleweka mpaka unaenda kuutafuta nje Pia mwambie unapenda Tigo ila sasa yeye hatoi
  14. Mr Why

    Nani bado anabisha kuhusu S2KIZZY kuwa ndio producer namba moja Tanzania?

    S2KIZZY producer no 1 Tanzania, PFunk na Master J wao wame expired
  15. Mr Why

    Hivi ni sahihi kwa mke kunyonya sehemu za siri za mume wake?

    Huyo sio mke apige chini, mke sahihi huwa mambo hayataombwa atafanya kwa mapenzi yake mwenyewe, mke gani mpaka umuombe huyo ni mwizi na mpigaji kwa kutumia mgongo wa ndoa
  16. Mr Why

    Mke mke mke 🚨🚨🚨

    Mke hatafutwi hivi Mkuu ❌❌❌❌❌❌❌❌❌
Back
Top Bottom