GOLD BOY
JF-Expert Member
- Jun 9, 2023
- 388
- 477
On point, miaka ya hivi karibuni kumekuwa na ongezeko la vijana waliohitimu mafunzo ya kijeshi na kukosa ajira, hivi ikitokea Hawa vijana wamebadili mawazo au wameshawishiwa na kikundi Cha kiharifu kujiunga navyo ni hatari Kwa usalama wa watanzania.
Ukifatilia wanasema jeshi tumelima sana tumefanyishwa kazi sana mwisho wametutema hawa vijana saikolojikali wamejenga chuki ndani ya mioyo yao kuhusu serikali hivyo ikitokea wameshawishiwa na vikundi viovu aisee ni hatari zaidi.
Mwisho, naomba serikali ikalianganlie hili upya hawa vijana ni wengi Kila mwaka wanahitimu wamerundikana mtaani hivyo ni vyema serikali iwaajiri hata wawe wakata kuni, na waosha vyombo kule makambini kuliko kuwaacha uraiani ni hatari sana