Search results

  1. Stuxnet

    JWTZ liwe na kitengo cha elimu kwa raia, kuna upotoshaji mkubwa kulihusu

    Sijui una elimu gani kwanza ndugu? Kama ni kusoma na kuandika hili siyo jukwaa lako
  2. Stuxnet

    Carbon credit business

    Je mumefikia wapi na projects hizi? Cc Edson , @environmenal
  3. Stuxnet

    JWTZ liwe na kitengo cha elimu kwa raia, kuna upotoshaji mkubwa kulihusu

    Ukipigwa mtaani na mtu yeyote haijalishi yuko kwenye uniform ya jeshi au kiraia, nenda kashtaki Polisi. Askari wa TPDF haruhusiwi ku harass raia kwa namna yeyote ile
  4. Stuxnet

    Ndani ya chadema ni mvurugano tu, wapo walio bora na wasio bora, ndiyo shida kuu!

    Wewe mpumbavu akili yako inakwenda kinyume nyume tu. Ukichoka kumpigia debe Zerobrain Makonda unahamia kwa porn Star Gwajima. Endelea na ulemavu wako wa akili
  5. Stuxnet

    JWTZ liwe na kitengo cha elimu kwa raia, kuna upotoshaji mkubwa kulihusu

    Basi Mkuu Yoda kama kinaeleweka shifa iko wapi?
  6. Stuxnet

    JWTZ liwe na kitengo cha elimu kwa raia, kuna upotoshaji mkubwa kulihusu

    Nimesema jeshi halpaswi kueleweka kama unavyoielewa TTCL au Vodacom
  7. Stuxnet

    Ndani ya chadema ni mvurugano tu, wapo walio bora na wasio bora, ndiyo shida kuu!

    Nafuu Halima Mdee arudi kuliko huyo tapeli wa Biblia Gwajima
  8. Stuxnet

    JWTZ liwe na kitengo cha elimu kwa raia, kuna upotoshaji mkubwa kulihusu

    Mtu mwenyewe unaitwa Restless Hustler halafu unajipendekeza kupita maeneo ya jeshi, ulitegemea wakuache? Jeshini siyo soko la Tandale au Station ya Mwendokasi ambapo hata wazembe utawakuta. Lile ni eneo la wakakamavu tu
  9. Stuxnet

    JWTZ liwe na kitengo cha elimu kwa raia, kuna upotoshaji mkubwa kulihusu

    Utakubali tu kama wewe ni shoga. TPDF wamefundishwa nidhamu ya hali ya juu. Na ukigundulika kuwa ni shoga au tasa huajiliwi kule
  10. Stuxnet

    JWTZ liwe na kitengo cha elimu kwa raia, kuna upotoshaji mkubwa kulihusu

    Asante kwa mada hii. Nashauri elimu kuhusu jeshi isitolewe bali tubaki na uelewa huohuo ndiyo lina make sense. TPDF siyo kama TTCL au VODACOM au TANESCO kila mtu alijuwe. Hivyo ndivyo jeshi linapaswa kuwa. Yaani lisizoeleke kabisa ndiyo ufanisi wake utakuwa mkubwa.
  11. Stuxnet

    Aliyenunua mdoli na kuuweka bungeni ashikwe afunguliwe mashtaka ya uhujumu uchumi

    Hayo ni mawazo yako siyo Serikali. Kanunue na wewe robot lako
  12. Stuxnet

    Aliyenunua mdoli na kuuweka bungeni ashikwe afunguliwe mashtaka ya uhujumu uchumi

    Kumbe una kinembe? Haya kasafishe ukisubiri kuingiliwa
  13. Stuxnet

    Aliyenunua mdoli na kuuweka bungeni ashikwe afunguliwe mashtaka ya uhujumu uchumi

    Kwani unazo akili za kuelewa?
  14. Stuxnet

    Aliyenunua mdoli na kuuweka bungeni ashikwe afunguliwe mashtaka ya uhujumu uchumi

    Tuliza makalio. Akili yako ni ndogo kuelewa kwa nini jana Eunice akitumia alili mnemba (Artificial Intelligence) alikuwa ndiye mkaribisha wageni bungeni na kutoa ile summary ya malengo ya wizara ya mawasiliano. Dunia yote inakwenda kiteknolojia kuanzia elimu, utafiti, vita, usafirishaji na hadi...
  15. Stuxnet

    WAZIRI KUZUNGUKA NCHI NZIMA KUTATUA MIGOGORO YA ARDHI JE WASAIDIZI WAKE WAMESHINDWA KABISA KUTATUA AU WAO NI SEHEMU YA HIYO MIGOGORO?

    Ana set pace then watendaji wake wata follow track. Sioni ubaya. Ila kama umedhulumu kiwanja cha mtu lazima umuone Jerry Silaa ni kero au mvunja utaratibu
  16. Stuxnet

    eGA inauawa rasmi?

    Wewe wetangula ni mnufaika wa mfumo au ni mfanyakazi wa eGA. Ni kitu gani kinakuaminisha kuwa Rais ameingia chaka. Hivi haya makitu yote kuwa ofisi ya Rais yanaleta tija gani? Treasury Registrar, ATCL, eGA etc
  17. Stuxnet

    Video Clip: Wakili Madeleka kumshtaki RC Chalamila kwa kuhamasisha mauaji.

    Lazima tufuate utawala wa sheria. Ukiacha haya mambo yaendelee kama amavyosema hiyu HAYAWANI Chalamila then tutakuwa ni Jamhuri ya ndizi (Banana Republic)
  18. Stuxnet

    Paul Makonda Special Thread: Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Paul Makonda; Make Arusha Great Again

    We mpumbavu tofautisha haki na usanii ndiyo uje kwenye JF. Nani kapata haki kupitia huyo shoga Makonda?
Back
Top Bottom