Search results

  1. Webabu

    Sababu ya Israel kutokushinda vita ni kujipiga yenyewe kwa asilimia 40 kutokana na woga

    Amin na kweli inawezekana. Kwa sababu kila kitu Mungu anakiona na yeye ndiye mwenye nguvu kuliko wababe wote wa dunia. Angalia viongozi wa juu wa Hamas inasadikiwa wapo Gaza na bado Israel kashindwa kuwakamata,Unadhani ni ujanja wa Hamas peke yao.
  2. Webabu

    Ilichofanya Israel mpaka wa Rafah, Misri ingeweza kufanya zamani sana tena bila lawama

    Mungu pekee ndio bado yupo pamoja nao kuwabana mayahudi.
  3. Webabu

    Spain yazuia meli ya silaha zinazokwenda Israel kutia nanga nchini mwake.

    Hapo majuzi taifa la Spain liliizuia meli iitwayo Marianne Danica kutia nanga kwenye moja ya bandari zake kwa vile ilikuwa imebeba tani 26.8 ya silaha za miripuko kupeleka Israel. Meli hiyo ilikuwa ikitokea India na iliomba kutia nanga kwenye bandari ya Cartagena mnamo Mei 26. Waziri wa mambo ya...
  4. Webabu

    Sababu ya Israel kutokushinda vita ni kujipiga yenyewe kwa asilimia 40 kutokana na woga

    Vijana wadogo 5 Eti waliona mtutu wa bunduki ukichomoza kutoka kwenye jengo.Wakavurumisha mzinga wakawaua. Huo ni woga na kuchanganyikiwa kwa jeshi la Israel. Pia inaondosha dhana kuwa Israel wana teknolojia za ajabu ajabu kwenye vita.Kumbe hata wenyewe kwa wenyewe hawajuwani walipo. Wacha...
  5. Webabu

    Huku jeshi la Israel likijaribu kuingia Rafah wapiganaji wa Hamas wameibuka maeneo mengine mengi ya Gaza.

    Huyo Hamas anapigana kwa kasi hiyo huku hana silaha za kutosha na amekatiwa chakula. Kama hao vijana wangepata msaada mdogo sana basi Israel wangeshakimbizana .Hata hivyo IDF wanaisha nao.
  6. Webabu

    Hamas watekeleza ahadi yao kuwa uvamizi wa Rafah hautakuwa kama piknik kwa jeshi la Israel

    Sasa kama Israel wanaua watoto si ndio kushindwa kwenyewe huko.
  7. Webabu

    TRA ifanye marekebisho matumizi ya mashine za EFD ili watu walipe kodi kwa furaha

    hujajibu suali au hujaona mantiki iliyotolewa mfano.Kwamba tatizo ni kile kinachotoleshwa kodi sio sahihi.Wanaangalia mauzo badala ya faida. Kwa mfumo huo hatuwezi kufika tunakotaka.
  8. Webabu

  9. Webabu

    TCRA: Kuna tatizo la Mfumo wa Mawasiliano ya Intaneti kwenye Mkongo wa Baharini

    Kwani hiyo ya Elon Mask ina uhakika kwa asilimia ngapi Shida zinazotokea baharini ziko zinazofanana nazo huko hewani.
  10. Webabu

    Huku jeshi la Israel likijaribu kuingia Rafah wapiganaji wa Hamas wameibuka maeneo mengine mengi ya Gaza.

    Kwa ukaidi wa hali ya juu jeshi la Israel limesema litaingia Rafah ili kuwamaliza Hamas.Hata hivyo vijana wa Hamas wameonekana kujikushanya maeneo mengine mengi ya Gaza wakitoa upinzani mkali kwa jeshi hilo. Miongoni mwa maeneo yaliyolazimisha Israel kupeleka vikosi vyenye zana nzito ni pamoja...
  11. Webabu

    Ilichofanya Israel mpaka wa Rafah, Misri ingeweza kufanya zamani sana tena bila lawama

    Ni kama fumbo ndefu la hesabu.Wameshapata majibu ya awali na wanaendelea kukokotoa palipobaki.
  12. Webabu

    Ilichofanya Israel mpaka wa Rafah, Misri ingeweza kufanya zamani sana tena bila lawama

    Mitihani ilitungwa na mayahudi na sasa Hamas wanaitafutia majibu yake
  13. Webabu

    Ilichofanya Israel mpaka wa Rafah, Misri ingeweza kufanya zamani sana tena bila lawama

    Ni mtihani mdogo tu wa dunia. ukija kwetu hatuwezi kuuvumilia hata kwa siku 1
Back
Top Bottom