Iyerdoi
JF-Expert Member
- Jun 30, 2012
- 1,498
- 2,032
Nanukuu: "Wapalestina kufa hamas atapata faida gani?"Bado mnawajaza hamas upepo ! Mnataka uzao wa palestinians uishe? Wapalestina kufa hamas atapata faida gani? Iran, Turkey , Egypt kama wana uwezo wapeleke jeshi pale Gaza.
HAMAS ni kundi la kigaidi. Na kama iliivyo kwa magaidi wote ; kutembeza ubabe ndo jadi yao.
Kwa mantiki hiyo, hoja yako iliyonukuliwa hapo juu inajibika kwamba; Faida iliyopo ni kwamba HAMAS Itaheshimika zaidi na kutambulika zaidi kuwa ni Mbabe miongoni mwa Wababe wa Dunia.
Kwamba eti Iran, Turkey , Egypt kama wana uwezo wapeleke jeshi pale Gaza.
Wangeliwekufanya hivyo kama wangelishirikishwa walau kutoa Ushauri katika kufanya maamuzi ya kitendo cha kizembe na cha kijinga cha 07 Okt.2023.