Wanamgambo wa Hamas wameshakuwa jeshi kubwa.Israel haiwezi kushinda kamwe.

Webabu

JF-Expert Member
Apr 29, 2010
7,359
11,238
Vita vilipoanza baada ya shambulio la oktoba 7 na kwa kujua ukubwa wa jeshi la Israel haikutarajiwa kufikisha hata wiki moja kabla Israel kukamilisha malengo yake ambayo na kuwafuta Hamas na kuwapata mateka wote waliokuwa wameshikiliwa na Hamas.

Watu wa Gaza zaidi ya 35,000 mpaka sasa wameshauliwa na uharibifu ni mkubwa sana.Kwa nguvu iliyotumika Israel ilitaraji ingewadhoofisha Hamas na kukubali matakwa yao kubwa ikiwa ni kujisalimisha na kupatiwa mahitaji ya kila siku kama chakula na maji ambavyo Israel imevitumia kama silaha ya kivita.

Kinyume na matarajio Hamas hawajarudi nyuma katika madai yao mawili muhimu ambayo ni Israel kuondosha jeshi Gaza na kuruhusu watu warudi majumbani kwao popote walipohamishwa Gaza.

Watu wa karibu na Netanyahu kwa kuona hilo ni kama tangazo la kushindwa vita wameamua kuyakataa matakwa ya Hamas kwenye mikutano yote ya usuluhishi na imeamua kuendelea na vita kwa kuivwamia Rafah hata baada ya kunasihiwa na dunia nzima kutotekeleza mpango huo.

Hata hivyo chochote itakachofanya Israel kwa sasa hakitaipatia ushindi katika vita hivi vinavyoelekea kumaliza mwezi wa saba sasa.Hiyo ni kwa vile pamoja na kwamba Hamas wengi wameuliwa lakini kuna askari wengi wa siri wameongezeka tena sio Gaza tu bali ulimwenguni kote.

Hamas inaungwa mkono na wanafunzi wa vyuo vikuu vingi Marekani na nchi nyengine.Zaidi ni kuwa imegundulika kuwa wanaoiunga mkono Palestina na kuwaunga mkono wanafunzi kuendelea na upinzani ni watu wa karibu na raisi Biden wa Marekani.

Chochote itakachofanya Israel eneo la Rafah kama ilivyotahadharishwa kutapelekea mauwaji makubwa na madhara yatakayochochea maandamano zaidi na kupelekea Israel kuelemewa na upinzani utakaifanya iache vita kwa kutaka au isitake.

Serikali ya Marekani pamoja na kuiunga mkono Israel kwa muda mrefu haitokubali upinzani dhidi ya Israel uharibu usalama na uchumi wa nchi hiyo zaidi na hasa katika kipindi cha uchaguzi unaokaribia.

Ikumbukwe Marekani tayari imekaribia kusalimu amri katika kuisaidia Ukraine na suala kubwa ni ukosefu wa pesa na silaha baada ya kutoa kwa muda mrefu huku kukiwa na matokeo hasi.

Israel ikikaribia kuingia Rafah rasmi na kwa nguvu kubwa imeamua kufungia kituo cha Aljazeera ili kuficha uhalifu utakaotokea huko.Hilo huenda lisisaidie kuzuia taarifa hizo kuufikia ulimwengu na kuongeza hamas za upinzani dhidi yake ambao tangu hapo uko juu sana.

Pro-Palestinian protesters are backed by a surprising source: Biden's biggest donors

Kinyume na matarajio Hamas hawajarudi nyuma katika madai yao mawili muhimu ambayo ni Israel kuondosha jeshi Gaza na kuruhusu watu warudi majumbani kwao popote walipohamishwa Gaza. Watu wa karibu na Netanyahu kwa kuona hilo ni kama tangazo la kushindwa vita wameamua kuyakataa matakwa ya Hamas kwenye mikutano yote ya usuluhishi na imeamua kuendelea na vita kwa kuivwamia Rafah hata baada ya kunasihiwa na dunia nzima kutotekeleza mpango huo.
Hata hivyo chochote itakachofanya Israel kwa sasa hakitaipatia ushindi katika vita hivi vinavyoelekea kumaliza mwezi wa saba sasa.Hiyo ni kwa vile pamoja na kwamba Hamas wengi wameuliwa lakini kuna askari wengi wa siri wameongezeka tena sio Gaza tu bali ulimwenguni kote.
Hamas inaungwa mkono na wanafunzi wa vyuo vikuu vingi Marekani na nchi nyengine.Zaidi ni kuwa imegundulika kuwa wanaoiunga mkono Palestina na kuwaunga mkono wanafunzi kuendelea na upinzani ni watu wa karibu na raisi Biden wa Marekani.
Chochote itakachofanya Israel eneo la Rafah kama ilivyotahadharishwa kutapelekea mauwaji makubwa na madhara yatakayochochea maandamano zaidi na kupelekea Israel kuelemewa na upinzani utakaifanya iache vita kwa kutaka au isitake.
Serikali ya Marekani pamoja na kuiunga mkono Israel kwa muda mrefu haitokubali upinzani dhidi ya Israel uharibu usalama na uchumi wa nchi hiyo zaidi na hasa katika kipindi cha uchaguzi unaokaribia.
Ikumbukwe Marekani tayari imekaribia kusalimu amri katika kuisaidia Ukraine na suala kubwa ni ukosefu wa pesa na silaha baada ya kutoa kwa muda mrefu huku kukiwa na matokeo hasi.
Israel ikikaribia kuingia Rafah rasmi na kwa nguvu kubwa imeamua kufungia kituo cha Aljazeera ili kuficha uhalifu utakaotokea huko.Hilo huenda lisisaidie kuzuia taarifa hizo kuufikia ulimwengu na kuongeza hamas za upinzani dhidi yake ambao tangu hapo uko juu sana.

Pro-Palestinian protesters are backed by a surprising source: Biden's biggest donors

Hamas wala sio jeshi kubwa huo ni ubishi wenu na kuwavika hamas sifa wasizostahili kiukweli israel haijashindwa hivi vita ni kwamba mataifa mengi ya kiarabu yanapigana na israel kupitia mgongo wa hamas mfano lebanon hezbollah wanaichangia israel, Qatar, iraq, iran, syria, yemen na misri wote hawa wanapigana na israel na mateka hawapo gaza wamefichwa kwenye haya mataifa ya kiarabu halafu pia propaganda imekuwa nyingi media kama aljazeera zinapiga kelele israel inafanya mauaji ya kimbari yote ni kuikwamisha israel na hamas wengi wanapigana na israel wakijificha mataifa ya nje hata viongozi wa hamas wapo uhamishoni
 
Kaswende ya ubongo inawasumbuwa, innocent people wanauwawa kwa mañufaa ya wahuni wachache ambao wanakula bata Doha Qatar.
Wanakufa lakini hawajuti kufa.Wanaona bora wengi wafe lakini mwishowe wanaobaki waishi wakiwa watu kamili.
 
Hamas wala sio jeshi kubwa huo ni ubishi wenu na kuwavika hamas sifa wasizostahili kiukweli israel haijashindwa hivi vita ni kwamba mataifa mengi ya kiarabu yanapigana na israel kupitia mgongo wa hamas mfano lebanon hezbollah wanaichangia israel, Qatar, iraq, iran, syria, yemen na misri wote hawa wanapigana na israel na mateka hawapo gaza wamefichwa kwenye haya mataifa ya kiarabu halafu pia propaganda imekuwa nyingi media kama aljazeera zinapiga kelele israel inafanya mauaji ya kimbari yote ni kuikwamisha israel na hamas wengi wanapigana na israel wakijificha mataifa ya nje hata viongozi wa hamas wapo uhamishoni
Kwa akili yako iliyojaa hasadi huwezi kuona mbele na ukweli ambao haupingiki.
Si kweli kuwa mataifa ya kiarabu yanapigana na Israel kwa mgongo wa Hamas.Ni wachache tu wanaofanya hivyo na sio wale wenye nguvu kubwa na ushawishi.Ingetokea hivyo basi vita vingekuwa vimemalizika zamani.
Angalia Iran tu imejaribu na imeweza kuwatetemesha Israel
 
Walokole bana misri anaisaidia je hamasi ikiwa mpka tu hajugungua ..irani ipo maelfu ya kilomita huko hebu tuambie wanawezaje kuwasaidia hammas
 
Vita vilipoanza baada ya shambulio la oktoba 7 na kwa kujua ukubwa wa jeshi la Israel haikutarajiwa kufikisha hata wiki moja kabla Israel kukamilisha malengo yake ambayo na kuwafuta Hamas na kuwapata mateka wote waliokuwa wameshikiliwa na Hamas.

Watu wa Gaza zaidi ya 35,000 mpaka sasa wameshauliwa na uharibifu ni mkubwa sana.Kwa nguvu iliyotumika Israel ilitaraji ingewadhoofisha Hamas na kukubali matakwa yao kubwa ikiwa ni kujisalimisha na kupatiwa mahitaji ya kila siku kama chakula na maji ambavyo Israel imevitumia kama silaha ya kivita.

Kinyume na matarajio Hamas hawajarudi nyuma katika madai yao mawili muhimu ambayo ni Israel kuondosha jeshi Gaza na kuruhusu watu warudi majumbani kwao popote walipohamishwa Gaza.

Watu wa karibu na Netanyahu kwa kuona hilo ni kama tangazo la kushindwa vita wameamua kuyakataa matakwa ya Hamas kwenye mikutano yote ya usuluhishi na imeamua kuendelea na vita kwa kuivwamia Rafah hata baada ya kunasihiwa na dunia nzima kutotekeleza mpango huo.

Hata hivyo chochote itakachofanya Israel kwa sasa hakitaipatia ushindi katika vita hivi vinavyoelekea kumaliza mwezi wa saba sasa.Hiyo ni kwa vile pamoja na kwamba Hamas wengi wameuliwa lakini kuna askari wengi wa siri wameongezeka tena sio Gaza tu bali ulimwenguni kote.

Hamas inaungwa mkono na wanafunzi wa vyuo vikuu vingi Marekani na nchi nyengine.Zaidi ni kuwa imegundulika kuwa wanaoiunga mkono Palestina na kuwaunga mkono wanafunzi kuendelea na upinzani ni watu wa karibu na raisi Biden wa Marekani.

Chochote itakachofanya Israel eneo la Rafah kama ilivyotahadharishwa kutapelekea mauwaji makubwa na madhara yatakayochochea maandamano zaidi na kupelekea Israel kuelemewa na upinzani utakaifanya iache vita kwa kutaka au isitake.

Serikali ya Marekani pamoja na kuiunga mkono Israel kwa muda mrefu haitokubali upinzani dhidi ya Israel uharibu usalama na uchumi wa nchi hiyo zaidi na hasa katika kipindi cha uchaguzi unaokaribia.

Ikumbukwe Marekani tayari imekaribia kusalimu amri katika kuisaidia Ukraine na suala kubwa ni ukosefu wa pesa na silaha baada ya kutoa kwa muda mrefu huku kukiwa na matokeo hasi.

Israel ikikaribia kuingia Rafah rasmi na kwa nguvu kubwa imeamua kufungia kituo cha Aljazeera ili kuficha uhalifu utakaotokea huko.Hilo huenda lisisaidie kuzuia taarifa hizo kuufikia ulimwengu na kuongeza hamas za upinzani dhidi yake ambao tangu hapo uko juu sana.

Pro-Palestinian protesters are backed by a surprising source: Biden's biggest donors

Israel ni taifa ambalo limejipambanua, inajua lengo la hamasi pale Middle East ni kufuata wayahudi wala siyo kutafuta amani, wayahudi wanalijua hilo, na Netanyahu alishasema USA hawezi kuwapangia cha kufanya , Israel amezungukwa na maadui , wao ndio wanajua jinsi ya kulinda nchi yao kwa gharama yoyote, pia mchezo mwingine ambao Israel ameshtukia ni kuona kuwa UN na nchi za kiarabu wanataka Israel itekeleze madai ya hamas na vita viishe , ambapo Israel anasema hamas wakiachia mateka vita itaisha asubuhi, uvamizi alianzisha hamas na kuteka watu , wao ndio inatakiwa waanze kuachia mateka halafu tuone kama Israel ataendelea kushambulia. UN ni toothless dog kule Ukraine na Rusia mbona wameshindwa kusimamisha vita? Putin mbona kavamia nchi lakini anatoa na mlingoti UN wako wapi? Ghadafi alishambuliwa na kuuwawa UN walikuwa wapi? Genocide ya Rwandan UN walikuwa wapi? Genocide ya Darful UN walikuwa wapi? Ilitakiwa baada ya 7 October attack UN watafute suluhu mapema, wakemee hamas attack, wadhinikeze hamasa iachiwe mateka na kuizuia Israel usifanye mashambulizi.
 
Umeteleza kidogo Hapa... Nchi za kiarabu zingekuwa na umoja huo, Leo Israel asingefanya anachoendelea kufanya kuanzia 1968.
 
Kaswende ya ubongo inawasumbuwa, innocent people wanauwawa kwa mañufaa ya wahuni wachache ambao wanakula bata Doha Qatar.
Wewe jamaa uwa punguani sana yaani Israel anauwa watoto na raia wasiokuwa na hatia lawama unawapa Hamas hivi nyie walokole wa JF nani kawaroga?
 
Si ndio mmejificha kwenye migongo ya akina mama, na watoto , wao wafe ili nyie muendelee na ukafiri wenu ,, mabosi wako doha huko wanajifanya wana negotiate kumbe wanakula bata wanaacha nyie huku mnateseka na kufa kizembe kama kuku
 
Israel ni taifa ambalo limejipambanua, inajua lengo la hamasi pale Middle East ni kufuata wayahudi wala siyo kutafuta amani, wayahudi wanalijua hilo, na Netanyahu alishasema USA hawezi kuwapangia cha kufanya , Israel amezungukwa na maadui , wao ndio wanajua jinsi ya kulinda nchi yao kwa gharama yoyote, pia mchezo mwingine ambao Israel ameshtukia ni kuona kuwa UN na nchi za kiarabu wanataka Israel itekeleze madai ya hamas na vita viishe , ambapo Israel anasema hamas wakiachia mateka vita itaisha asubuhi, uvamizi alianzisha hamas na kuteka watu , wao ndio inatakiwa waanze kuachia mateka halafu tuone kama Israel ataendelea kushambulia. UN ni toothless dog kule Ukraine na Rusia mbona wameshindwa kusimamisha vita? Putin mbona kavamia nchi lakini anatoa na mlingoti UN wako wapi? Ghadafi alishambuliwa na kuuwawa UN walikuwa wapi? Genocide ya Rwandan UN walikuwa wapi? Genocide ya Darful UN walikuwa wapi? Ilitakiwa baada ya 7 October attack UN watafute suluhu mapema, wakemee hamas attack, wadhinikeze hamasa iachiwe mateka na kuizuia Israel usifanye mashambulizi.
Hamas wanaijua zaidi Israel kuliko wanavyojulikana wao.
Marekani wamesema Israel ilianza uchokozi kabla ya Hamas na mataifa mengine wanasema hivyo hivyo laikini wewe umeshika kuwalaumu Hamas.
Iwapo UN imeshindwa kuzuia vita kote huko kwengine, kwanini unatumia kigezo hicho kuendelea kufanyika kwa wapalestina.Kwamba kwa vile UN imeshindwa kuzuia huko kwengine basi na Hamas wasijitetetee wabaki kuilaumu UN tu iliyoshindwa kuzuia vita,Libya na kila sehemu.
 
Walokole bana misri anaisaidia je hamasi ikiwa mpka tu hajugungua ..irani ipo maelfu ya kilomita huko hebu tuambie wanawezaje kuwasaidia hammas
Iran ipo maelfu ya kilometa lakini anajisogeza hapo syria na anawasaidia hezbollah na hamas kuifuta israel pia juzi israel aliona mawasiliano ya hamas na magenerali wa iran waliojificha ubalozini wa iran hapo syria ndio israel akaenda kushambulia ubalozi na kuua mageneral wa iran
 
Vita vilipoanza baada ya shambulio la oktoba 7 na kwa kujua ukubwa wa jeshi la Israel haikutarajiwa kufikisha hata wiki moja kabla Israel kukamilisha malengo yake ambayo na kuwafuta Hamas na kuwapata mateka wote waliokuwa wameshikiliwa na Hamas.

Watu wa Gaza zaidi ya 35,000 mpaka sasa wameshauliwa na uharibifu ni mkubwa sana.Kwa nguvu iliyotumika Israel ilitaraji ingewadhoofisha Hamas na kukubali matakwa yao kubwa ikiwa ni kujisalimisha na kupatiwa mahitaji ya kila siku kama chakula na maji ambavyo Israel imevitumia kama silaha ya kivita.

Kinyume na matarajio Hamas hawajarudi nyuma katika madai yao mawili muhimu ambayo ni Israel kuondosha jeshi Gaza na kuruhusu watu warudi majumbani kwao popote walipohamishwa Gaza.

Watu wa karibu na Netanyahu kwa kuona hilo ni kama tangazo la kushindwa vita wameamua kuyakataa matakwa ya Hamas kwenye mikutano yote ya usuluhishi na imeamua kuendelea na vita kwa kuivwamia Rafah hata baada ya kunasihiwa na dunia nzima kutotekeleza mpango huo.

Hata hivyo chochote itakachofanya Israel kwa sasa hakitaipatia ushindi katika vita hivi vinavyoelekea kumaliza mwezi wa saba sasa.Hiyo ni kwa vile pamoja na kwamba Hamas wengi wameuliwa lakini kuna askari wengi wa siri wameongezeka tena sio Gaza tu bali ulimwenguni kote.

Hamas inaungwa mkono na wanafunzi wa vyuo vikuu vingi Marekani na nchi nyengine.Zaidi ni kuwa imegundulika kuwa wanaoiunga mkono Palestina na kuwaunga mkono wanafunzi kuendelea na upinzani ni watu wa karibu na raisi Biden wa Marekani.

Chochote itakachofanya Israel eneo la Rafah kama ilivyotahadharishwa kutapelekea mauwaji makubwa na madhara yatakayochochea maandamano zaidi na kupelekea Israel kuelemewa na upinzani utakaifanya iache vita kwa kutaka au isitake.

Serikali ya Marekani pamoja na kuiunga mkono Israel kwa muda mrefu haitokubali upinzani dhidi ya Israel uharibu usalama na uchumi wa nchi hiyo zaidi na hasa katika kipindi cha uchaguzi unaokaribia.

Ikumbukwe Marekani tayari imekaribia kusalimu amri katika kuisaidia Ukraine na suala kubwa ni ukosefu wa pesa na silaha baada ya kutoa kwa muda mrefu huku kukiwa na matokeo hasi.

Israel ikikaribia kuingia Rafah rasmi na kwa nguvu kubwa imeamua kufungia kituo cha Aljazeera ili kuficha uhalifu utakaotokea huko.Hilo huenda lisisaidie kuzuia taarifa hizo kuufikia ulimwengu na kuongeza hamas za upinzani dhidi yake ambao tangu hapo uko juu sana.

Pro-Palestinian protesters are backed by a surprising source: Biden's biggest donors

Watu wanaandamana Kila siku kumsujudia Biden asitishe vita watu Wanakufa harafu wewe unaleta majigambo tupu
 
Iran ipo maelfu ya kilometa lakini anajisogeza hapo syria na anawasaidia hezbollah na hamas kuifuta israel pia juzi israel aliona mawasiliano ya hamas na magenerali wa iran waliojificha ubalozini wa iran hapo syria ndio israel akaenda kushambulia ubalozi na kuua mageneral wa iran
Anaisadie hamasi ikiwa gaza haipakani ..na lebanon ..hamasi wangekuwa na access ya silaha za maana hata kwa 2% ya alizonazoisreli mbona pangechimbika hapo
 
Iran ipo maelfu ya kilometa lakini anajisogeza hapo syria na anawasaidia hezbollah na hamas kuifuta israel pia juzi israel aliona mawasiliano ya hamas na magenerali wa iran waliojificha ubalozini wa iran hapo syria ndio israel akaenda kushambulia ubalozi na kuua mageneral wa iran
Wewe mlokole huu uharo uliandika hapa ndiyo uwa mnaambiwa kanisani kwenu.
 
Watu wanaandamana Kila siku kumsujudia Biden asitishe vita watu Wanakufa harafu wewe unaleta majigambo tupu
Hakuna majigambo.Watu si kwamba wanamsujudia Biden lakini wanamkumbusha wajibu wake na asipotekeleza madhara yatamrudia mwenyewe.
 
Umeteleza kidogo Hapa... Nchi za kiarabu zingekuwa na umoja huo, Leo Israel asingefanya anachoendelea kufanya kuanzia 1968.
Ndo maana Mungu wa kweli ni Mungu wa Israel. Ni taifa linalolindwa na Mungu wa kweli. Kama Allah angekuwa wa Kweli leo kusingekuwa na Wayahudi na Israel.
 
Mungu wa kweli sio huyo uliyefundishwa na wazungu.. kwahiyo sisi Tanzania na Uganda ni mataifa ya shetani
 
Back
Top Bottom