Search results

  1. kmbwembwe

    Je, uwekaji flow meter bandarini zinawekwa mara ngapi?

    Nchi hii vigogo wapigaji wa hela ya umma wanafikiri watu ni wajinga wote na hawana kumbukumbu. Suala la ufungaji flow meter bandarini wengi tunakumbuka lilifanyika kipindi cha awamu ya nne ya JK lakini zikawa hazitumiki kwa kuhujumiwa. Iko hivi, yaani uwekaji wenyewe ni dili maana kuna ulaji...
  2. kmbwembwe

    Je, ni sahihi Tanzania kuendelea na uhusiano wa kawaida na Rwanda wakati tuko vitani na nchi hiyo DR Congo?

    Nchi ya Rwanda chini ya Kagame imekua kwa muda mrefu ikishutumiwa kukisaidia kikundi cha kijeshi cha Watutsi cha M23 kinachotaka kulidhibiti jimbo la kivu mashariki ya congo. Rwanda imekua ikikanusha kusaidia M23 lakini ukweli imekua na majeshi yake yakiungana na waasi hao kudhibiti maeneo ya...
  3. kmbwembwe

    Rais Samia ananishangaza anaposema CCM haina makundi

    Chama cha siasa kwa ujuzi na uzoefu niliyo nayo kinapigiwa kura na wananchi kwa itikadi sera yake na ilani yake yenye msingi wa itikadi na sera zake. CCM ni chama cha kijamaa na kadri miaka ilivyoenda kimerekebisha namna ya utekelezaji wa mipango yake kuhusu namna ya kufikia uchumi wa kijamaa...
  4. kmbwembwe

    Hii CCM inayofanya maongezi na balozi wa marekani bado ni Chama cha Mapinduzi?

    Kwa kawaida mabalozi hawaingilii mambo ya ndani ya nchi wanapowakilisha. Bila shaka ndio taratibu. Mambo ya vyama vya siasa ni mambo ya ndani ya nchi husika. Lakinini utasikia balozi wa marekani kukutana na kiongozi wa upinzani kwenye nchi anawakilisha hasa hizi za kiafrika zenye msimamo wa...
  5. kmbwembwe

    Hivi hawa wazungu kuhusu maadili ya binadamu nani kawaloga?

    Rais wa Ufaransa mkewe ni kikongwe wa umri wa kumzaa yeye. Alikuwa mwalimu wake chuo kikuu. Huyo huyo Rais wa Ufaransa juzi hapa kamteua kijana shoga kuwa Waziri Mkuu wa nchi yake kisha huyo shoga kamteua mume wake yaani basha wake kuwa Waziri wa Mambo ya nje wa nchi hiyo. Hivi ni vituko vya...
  6. kmbwembwe

    Tanzania tuwe na tahadhari na Kagame

    Rais Kagame wa Rwanda amekuwa mtu hatari kwa nchi majirani licha kujifanya mwana afrika. Huyu ni mtu mlafi mbinafsi mkabila na kibaraka wa Marekani. Anafanya lolote kwa nchi za magharibi mradi wanampa pesa. Amegeuza jeshi lake mamluki kwa kulipeleka kupigana popote mradi askari zake na yeye...
  7. kmbwembwe

    Eti marekani wametangaza wanakubali falsafa ya Samia

    Nini maana ya marekani kusema wanakubali falsafa ya Samia. Kwa wale wanamapinduzi ndani ya chama cha mapinduzi na nchini kwa jumla maana yake jeuri ya tanzania kutaka kujitegemea na kujenga usawa kwa wananchi wake samia amemaliza. Siku hizi husikii tena uwekezaji mkubwa wa viwanda wala husikii...
  8. kmbwembwe

    Nyuma ya pazia nchi hii kuna ufisadi na uvunjaji mkubwa wa sheria

    Ukitaka kujua nyuma ya pazia nchi hii kuna ufisadi mkubwa na uvunjaji wa sheria angalia mambo haya mawili tu yaliyopigiwa kelele sana na wananchi. Kwanza kuna wale wabunge 19 wa chadema waliyotimuliwa uanachama na chama chao. Utaratibu tunaoujua tanzania mbunge akitimuliwa uanachama na chama...
  9. kmbwembwe

    Mtazamo wa Rais Samia kuhusu Mashirika ya Umma si sahihi

    Serikali ya Samia eti inatazama mashirika ya umma kama uwekezaji wa kibiashara ambapo serikali haistahili tena kuwekeza ila watu binafsi. Msimamo huo sio sahihi kwa sababu mashirika ya kibiashara ya umma yalikwisha binafsishwa yote tangu awamu ya Mkapa. Yale yaliyobakia ni yale ya kimkakati kwa...
  10. kmbwembwe

    Upendeleo, ushikaji ndio vinatumika kupeana uteuzi Awamu ya Rais Samia

    Ukiwa mdadisi na mwenye msimamo wa kisiasa wa kutetea maslahi ya umma utaona mwelekeo usiyoridhisha kuhusu teuzi za mama. Utaona leo kina sabaya, Ally Hapi, na Makonda wote mama kawatupa nje. Tena sabaya akataka kumfunga kwa kesi ya kubumba. Badala yake wale waliyokua wamefumwa wakionesha chuki...
  11. kmbwembwe

    Huku jf uzi kuhusu januari hazifunguki.

    Hapo ndio ujue januari mambo yake ni ya kisanii na fix nyingi. Leo ukienda huku jf habari kuhusu yeye na bodi na management aliyoweka tanesco kutumbuliwa kwa kushindwa kuwapatia wananchi umeme hazifunguki😂🤣😂. Yote ni mtu wa dili maneno matupu na tamaa ya uongozi huku matokeo ni sifuri. Hatujui...
  12. kmbwembwe

    Kila dalili zinaonesha Bwawa la Nyerere kuhujumiwa na wapigaji ili kupata kile wangekosa chini ya Hayati Magufuli

    Kuchelewa kufunguliwa mradi wa bwawa la Nyerere kwa hali yoyote ni njama ya wale ambao mradi kama huo ungewaingizia binafsi mabilioni kwa upigaji au wataathirika upigaji wao kwa mradi mkubwa wa hydro kuzalisha umeme megawati 2000 na zaidi. Kuna maajenti wa mabeberu wa kigeni wako tayari kwa...
  13. kmbwembwe

    Panga pangua ya mashirika ya umma hebu tuangalie kwa darubini

    Hii panga pangua ya mama kuhusu mashirika ya umma inatia shaka. Kwanza tujiulize ni mashirika gani ya biashara yanaendeshwa na serikali. Mengi yalikwisha binafsishwa zamani kabisa enzi ya mkapa. Kwenye hii awamu binafsi naona ni wapiga dili watupu. Mashirika mengi yaliyobakia serikalini yale ya...
  14. kmbwembwe

    Miradi ya Marekani ni sawa na kuhonga vigogo hakuna kitu kusaidia maendeleo

    Nimekaa hapa naona TBC marekani eti wametoa bilioni 70 mradi wa mazingira kuhifadhi chimpanzee wa Gombe. Namuona yule mama mzungu wa chimpanzee. Eti ndio msaada wa Marekani. Tena balozi kasema wazi misaada yao ni kusaidia maslahi ya Marekani. Kama kawaida ya misaada ya wamarekani hela...
  15. kmbwembwe

    Kila nikipiga ramli naiona Rwanda na Kagame kama dalali wa kuuza bandari zetu kwa DP World

    Rwanda ni nchi ndogo ya milima na isiyo na bandari pia ina idadi kubwa ya watu kulinganisha na eneo lake. Ni tofauti na Tanzania ambayo ni nchi kubwa ardhi ya kutosha mali asili kibao na ukanda wa bahari mkubwa wenye bandari nyingi. Rais Kagame ni mtu mwerevu sana kwenye kujenga uchumi wa nchi...
  16. kmbwembwe

    Kivipi Serikali imebadilisha madeni yake TANESCO kuwa hisa?

    Inaelekea wanaoongoza TANESCO kwa sasa mama anawabeba kwa mbeleko kama watoto wake wa kuwazaa. Shirika la TANESCO ni mali ya Serikali kwa asilimia 100. Sasa anapokuja huyu Maharage na waziri wake Makamba kutuambia eti madeni ya Serikali yanageuzwa hisa ndio nini maana yake? Si bora wangesema...
  17. kmbwembwe

    Wanasheria upande wa mafisadi ni wa kuogopa kama ukoma

    Katika suala la kukodisha bandari zetu tujifunze kitu kimoja kikubwa. Kwamba taaluma ya sheria inapotumiwa na mafisadi ni hatari kama ukoma kwenye jamii. Siku moja tu imepita tumewasikia wanasheria wizara ya ujenzi na uchukuzi wakiwa na waziri wao wakijaribu kutetea uamuzi wa serikali kutaka...
  18. kmbwembwe

    MAONI: CCM wawe wanaangalia Rais gani wa kupewa uenyekiti wa chama chao

    Chama cha Mapinduzi hua wanajizimia taa na kuwa gizani mara kwa mara. Utaratibu wao wa kumteua Rais akitoka chama chao kuwa mwenyekiti wa chama chao safari hii wameikosea Demokrasia kwa kumchagua Samia kuwa Mwenyekiti. Kwa kawaida CCM wana utaratibu wa kidemokrasia kumchagua mgombea urais wa...
  19. kmbwembwe

    Mama Salma Kikwete kumsifia Januari Makamba kuhusu bwawa la Nyerere ni unafiki

    Hawa wahuni wamejipanga kubebana. Kuna mbunge wa Mtwara mmoja muda wake kuchangia ni kumsifia Januari Makamba tu. Eti wabunge kufanyiwa maonesho hapo bungeni wakaona kwa technologia kile kinaendelea bwawa la Nyerere ndio Januari anaupiga mwingi sana. Mwenyewe Januari tusisahau alipinga ujenzi...
  20. kmbwembwe

    Mbunge wa Kwimba mfanyabiashara ya mafuta anajiwakilisha Bungeni

    Hawa jamaa zetu wenye kupenda wabunge matajiri pengine hawatusaidia sana. Unakuta mfanyabiashara anachomeka hiki na hiki cha wakulima na wafugaji halafu anamgeukia waziri wa nishati na ku declare interest halafu anaeleza shida zake binafsi hadi speaker kumjulisha kwamba aongee na yeye sio...
Back
Top Bottom