Cargo system mtandao ni mfumo wa teknolojia ambao unawezesha kusafirisha bidhaa kutoka sehemu moja kwenda nyingine kwa njia ya mtandao. Inaweza kutumika kwa kusafirisha bidhaa za kielektroniki kama vile data, video, na picha, au kutumika kwa kusafirisha bidhaa za kawaida kama vile nguo, vifaa...
Ukiangalia supply and demand ya import and exports, utagundua wakati huu wa awamu ya 6 ambayo imeboresha mazingira ya uwekezaji, kama nchi tuna demand kubwa ya bidhaa kutoka nje.
Hivyo gharama za usafirishaji bidhaa kutoka nje zilitakiwa zishuke na siyo kupanda kwa sababu ndani kuna soko la...
Meli ya MV. Clarias iliyokuwa kwenye maegesho ya bandari ya Mwanza Kaskazini imekutwa imepinduka na kuzama majini katika Ziwa Victoria asubuhi ya leo Mei 19, 2024, huku chanzo cha kuzama kwa meli hiyo kikiwa bado hakijafahamika.
Meli hiyo ambayo hivi karibu ilikuwa kwenye matengenezo bandari ya...
MAMLAKA ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA), imesema kampuni ya DP World ya Dubai katika Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) imeanza kushusha vifaa katika Bandari ya Dar es Salaam kuanza uwekezaji.
Aidha, TPA imebainisha kuwa makabidhiano ni tangu Aprili 7, mwaka huu bila kuathiri uendeshaji wa...
Nchi hii vigogo wapigaji wa hela ya umma wanafikiri watu ni wajinga wote na hawana kumbukumbu. Suala la ufungaji flow meter bandarini wengi tunakumbuka lilifanyika kipindi cha awamu ya nne ya JK lakini zikawa hazitumiki kwa kuhujumiwa.
Iko hivi, yaani uwekaji wenyewe ni dili maana kuna ulaji...
Habari,
Kwa wale wazoefu wa kutuma mizigo na kupokea kutoka nje ya nchi kwa njia ya bandari hapa Tanzania, hivi ni vitu gani ambavyo ni vya muhimu mtu anatakiwa awe navyo wakati wa kutuma au kupokea mzigo kutoka nje ya nchi?
Je Hii ndio DW Word imeanza kazi? au bado bandari wanasuasua?
Kuna wakati ilitoka habari humu kuwa meli zinakaa muda mrefu bila kushusha mizigo mpaka ikafikia hatua meli zinahama bandari lakini Mamlaka ya Bandari wakakanusha pengine ni ukweli ambao ulifichwa.
Hii dhambi ya kukanusha taarifa...
Jumapili Machi 03, 2024 kupitia mitandao ya kijamii na makundi sogozi, zilisambaa taarifa za kudorora kwa utendaji kazi ya kuhudumia Meli na Shehena katika Bandari ya Dar es Salaam kunakohusishwa na mgomo wa wafanyakazi wenye madai mbalimbali likiwemo kufutiwa mikataba yao ya kazi.
Kufuatia...
Nimepitia mtandao wa X na kukuta mjadala kwenye kurasa wa Martin Maranja M asese almaarufu MMM kuhusu DP World kusitisha mikataba ya wafanyakazi ili kuleta wafanyakazi wao.
Serikali ambayo ni sehemu ya huu mkataba uliopigiwa kelele na wananchi, itoe maelezo kukanusha ama kufafanua...
Hili suala la Bandari tatizo tumeingiza sana siasa ndani yake lakini Meli inaweza fika Dar mapema ikacheleweshwa kupangiwa siku ya kushusha mzigo kiasi kwamba kufika inaweza chukua wiki 2 au 3 halafu ikasubiri tena wiki 3 hadi 4 kupangiwa kushusha mzigo.
Tanzania jamani sijui ni nani katuloga...
Leo nakuletea orodha ya mitambo na mashine mbalimbali zilizotengenezwa mahsus kwa ajili ya kupakia na kupakia mizigo na shehena mbalimbali bandarini.
1. Reach stacker
Reach Stracker ni mtambo unaotumika kupanga makontena ndani ya bandari. Mtambo huu una uwezo mkubwa wa kuinua kontena na...
Bandarini kuna shida, viongozi wanashangilia meli kukaa zaidi ya siku ishirini bila kukamilisha huduma. Mamlaka inatuambia ongezeko la meli kwao ni kikwazo badala ya kuwa fursa.
Kibaya zaidi pamoja na mifumo waliyonayo ila wanadiriki kuwaambia waaguzaji mizigo kama wana malalamiko waende...
Note. Huu ni uhalisia wa kinachoendelea bandarini na sio habari za kuchafuana.
Mimi kama mmoja wa wadau wa kubwa wa sekta ya bandari nachukizwa sana na matendo yanayofanywa na maafisa wa TRA bandarini(TPA) na bandari kavu(ICDs). Wenzetu wa TRA wametugeuza customs agent kama mitaji wameset...
Ninaomba kujua ulipaji wa ushuru wa bandarini ukoje maana nahitaji kuagiza mashine toka China, mashine bei ni $ 2000 dimension zake urefu ni futi 8 upana fut 3 na kimo ni futi 4 lkn nashindwa kutokana na kutokujua gharama ya ushuru bandarini ukoje isije ikawa gharama kubwa zaidi ya mashine...
Wakuu, nataka kusoma short courses zinazotolewa Chuo cha Bandari pale Tandika hivo nilikua nataka majina ya short course ambazo ukisoma labda 4 weeks utapata ajira maana kuna mtu kanambia hii ya kuendesha foko.
Mkurugenzi wa Kitengo cha Uhusiano wa Shirika la Reli Tanzania (TRC), Jamila Mbarouk amesema majaribio ya kuanza kuitumia njia ya Reli ya SGR kutoka Dar es Salaama kwenda Morogoro inatarajiwa kuanza hivi karibuni kwa kuwa kichwa cha treni kimeshafika kipo bandarini.
Amesema “Kichwa cha Treni...
Mamlaka husika piteni hapo Bandarini abiria wanaotoka Zanzibar wanakutana na kero ya kukaa kwenye foleni kwa muda mrefu sana hadi inakera.
Hali hii imekuwa ikitokea mara nyingi lakini nimeona niseme ili kama ujumbe huu utawafikia mamlaka basi wabadilishe mbinu na ikiwezekana wachukue hatua...
Naeleza kwa ufupi. Wenye kuelewa haraka hongereni.
Bajeti ya Bandari inakata Sept 2023 ambapo kwa mujibu wake anasema kuanzia Oktoba TPA itakuwa ktk wakati mgumu kwenye kujiendesha
DPW walipaswa kuanza shuguli bandarini mnamo Oktoba 2023. Lakini mpaka sasa seems deal halijafikia muafaka.
Siyo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.