Search results

  1. N

    SoC04 Uhakika na Usalama wa Chakula nchini Tanzania

    Utangulizi Nazi, Pilipili, Karafuu, Iliki, Uji Lishe, Maziwa, Kisamvu, Mihogo, Mahindi, Mchele, Samaki Wakubwa, Visamaki Vidogo (dagaa na uono), Asali, Sukari, Kuku wa Asili, Nyama ya Ng'ombe Mbuzi na Kondoo, Mayai, Matembele, Mchicha, Machungwa, Mananasi, Maboga, Mboga ya Maboga, Maembe...
  2. N

    SoC04 Harakati ya Kuwawezesha Watoto na Familia za Mitaani

    Utangulizi Wapo watoto wa mitaani lakini pia zipo familia za mitaani. Hizi ni familia zilizokumbwa na majanga asilia kama vile mafuriko, matetemeko ya ardhi, njaa, ukame, umaskini, magonjwa, vimbunga, na kadhalika lakini pia zilizokumbwa na majanga ya kibinadamu kama vile migogoro binafsi na ya...
  3. N

    SoC04 Uwekezaji katika nyumba janja za wageni

    Utangulizi Nchini Tanzania, tumekuwa na nyumba nyingi sana za kupokea wageni; nyumba za kitalii, nyumba za kawaida na hata nyumba za asili kwa ajili ya kuwapa huduma mbalimbali wageni wetu mara tu wawasilipo nchini. Nyumba hizi za wageni zimekuwa zikijengwa zaidi katika Majiji ya Dar es Salaam...
  4. N

    SoC04 Wageni ni Tunu kwa Taifa

    Utangulizi Kila mwananchi wa taifa fulani, hupenda kuona taifa lake likiwa kinara kwenye uchumi. Hii ni kwasababu, mafanikio ya taifa lolote duniani huanzia kwenye uimara wa uchumi kwanza, kwani hakuna chochote katika dunia hii unaweza kufanya bila uchumi imara, bila fedha, bila mtaji wa...
  5. N

    SoC04 Uwekezaji wa viwanda vya uzalishaji na utengenezaji simu ni muhimu kwa maendeleo ya Tanzania

    Utangulizi Zipo teknolojia nyingi sana ambazo ni kama zimetupita barani Afrika hususan nchi za Kusini mwa Jangwa la Sahara ikiwemo Taifa la Tanzania. Katika teknolojia hizi zilizotupita kidogo, ipo teknolojia ya kifaa cha ajabu ambayo hatupaswi tuendelee kuiacha itupite, na kifaa hiki si...
  6. N

    SoC04 Akufaaye kwa Dhiki ndiye Rafiki

    Tanzania Tuitakayo, huweza kuja kwa kuwa na taifa moja ambalo ni rafiki zaidi ya ndugu (Special Relationship) kama urafiki (Special Relationship) uliopo kati ya mataifa yaliyoendelea zaidi duniani; USA na UK. 'Special Relationship' ni uhusiano wa kidiplomasia wenye nguvu, wenye umuhimu na wa...
  7. N

    Nawezaje kumaliza tatizo la kukoroma usiku?

    Nimecopy comment ya mdau kama ilivyo kutoka hapahapa Jamii Forums. Moral of story: naomba mwenye kufahamu suluhisho serious la kumaliza kabisa tatizo hili. Asanteni sana "Likely una sleep apnea. Google sleep apnea na utapata maelezo mengi na ya kina na jinsi ya kupunguza kukoroma. Kuna mpaka...
  8. N

    SoC03 Teknolojia ya vyombo baridi vya usafiri

    Miongoni mwa changamoto zinazolikabili Taifa la Tanzania na Bara la Afrika lakini pia Dunia nzima ni Ajali za Barabarani pamoja na Foleni za Barabarani. Ajali za Barabarani husababisha aidha kupoteza roho za watu au kuharibu miili na akili za watu jambo ambalo halitakiwi kunyamaziwa hata kwa...
  9. N

    SoC03 Tahadhari jiji la Mwanza

    Miongoni mwa Mikoa ambayo nimewahi kutembelea nchini Tanzania ni Mkoa wa Mwanza 'rock city' ambao umebarikiwa vitu vingi vizuri; Ziwa Victoria lenye samaki pendwa na watamu aina ya Sato na Sangara lakini mbali na Ziwa Victoria, Mkoa wa Mwanza pia umebarikiwa miamba na mawe makubwa (rocks) yenye...
  10. N

    SoC03 Bandari Dar es Salaam na anayehusika

    NENO LA MUNGU LINASEMA: "Kila mtu na aitii MAMLAKA iliyo KUU; kwa maana HAKUNA MAMLAKA ISIYOTOKA KWA MUNGU; na ile iliyopo umeamriwa na MUNGU. Hivyo amwasiye mwenye MAMLAKA hushindana na AGIZO LA MUNGU; nao washindanao watajipatia hukumu. Kwa maana watawalao hawatishi watu kwa sababu ya matendo...
  11. N

    SoC03 Asante Magharibi, karibu Mashariki

    Kwa takriban karne 21 sasa Bara la Afrika limekuwa likitegemea Teknolojia kutoka Nchi za Magharibi ikiwemo Marekani, Ujerumani, Uingereza na baadhi ya Mataifa ya Asia Magharibi. Kwa hili naomba niseme asante sana kwa Mataifa ya Magharibi kwani mmeweza kulisaidia Bara la Afrika katika nyanja...
  12. N

    SoC03 Waraka kwa mtoto wa kike mwenzangu

    Waraka kwa mtoto wa kike mwenzangu, Tambua kuwa hapo Mwanzo Bwana Mungu hakuweka uadui kati ya mwanamume na nyoka yaani shetani, hivyo kinachoendelea kati yao Bwana ndiye anajua. Kwani wapo wanaume ambao ni marafiki wa Mungu lakini pia wapo wanaume ambao ni marafiki wa nyoka yaani shetani...
  13. N

    SoC03 Madini ya thamani yaliyofichwa duniani

    Katika miaka ya hivi karibuni, kumeibuka mijadala kuhusu viumbe vya ajabu visemekavyo ni vyenye akili nyingi kuliko wanadamu ambavyo vinasaidia watu wa mataifa makubwa kufanya mambo makubwa wanayoyafanya. Swali ni je! NENO LA MUNGU LINASEMAJE? "MUNGU Akasema, Na Tumfanye mtu kwa MFANO WETU...
  14. N

    SoC03 Kuteketeza usodoma na ugomora

    Ulimwengu wa sasa umejaa wanadamu wenye mitaji ya fedha lakini waliokosa mawazo ya UBUNIFU; kwani zinaibuka kampuni, biashara, kazi na huduma nyingine kila siku lakini ni zilezile za kuigana, kukaririshana, kufundishana, ku-'copy' na ku-'paste' kutoka kwenye mitandao, na kadhalika. Hii ndiyo...
  15. N

    SoC03 Sanaa ni mama wa sayansi

    SANAA, TEKNOLOJIA NA UBUNIFU ndiyo MAMA na CHANZO cha SAYANSI kwani pasipo SANAA, UBUNIFU NA TEKNOLOJIA; SAYANSI hukosa uhai hivyo ni lazima iwe dhaifu, isiyozaa matunda, inayozaa matunda dhaifu au iliyokufa kabisa. Ulimwengu umekuwa ukichukulia Wanasanaa kuwa ni vilaza na dhaifu mbele ya...
  16. N

    SoC03 Kushinda vita ya elimu

    NENO LA MUNGU LINASEMA: "Mkamate sana ELIMU, usimwache aende zake; Mshike, maana yeye ni UZIMA wako." (Mithali 4:13) Swali ni je! Unadhani Elimu uliyo nayo sasa ndiyo hii tuliyoambiwa tuikamate sana tusiiache iende zake na tuishike maana ni UZIMA wetu? SIFA ZA ELIMU YA MUNGU NA TOFAUTI KATI YA...
Back
Top Bottom