Kombe la kwanza kufikishwa kwenye kilele Cha mlima mrefu zaidi Africa mlima Kilimanjaro na mabingwa wa kihistoria ..,..mabingwa wa mara 30 Young Africans
Cc:Privaldinho
NB: wengine walipeleka kibegi..... wengine wamepeleka kombe[emoji23][emoji91][emoji91]
“Tatizo ni timu kwa ujumla na sio mtu mmoja mmoja, tatizo ni timu nzima na kama timu haijatulia mfano hata kwenye eneo la Utawala maana yake itaathiri timu nzima"
"Sijui tatizo limetokea wapi hasa ila sio kitu kizuri na timu imeathirika, kila kitu ni maandalizi na namna unaiongoza klabu naamini...
Mlinda mlango wa klabu ya Yanga SC Djigui Diara ametwaa tuzo ya mchezaj bora wa Afrika kwa msimu wa 2023\2024, katika tuzo zilizotolewa nchini Mali. Tuzo hizo maalum zilizotolewa nchini Mali ni kwa wachezaji wa nchini humo wanaocheza ndani ya Bara la Afrika
Diara amechukua tuzo hiyo akiwashinda...
Mshambuliaji wa Remo Stars Alimi Sikiru ndio mchezaji anayelipwa mshahara mkubwa kuliko wote kwenye ligi ya Nigeria akiwa analipwa Naira Milioni 1.3 (sawa na Dola za Marekani 1000$ au 2.5m Tshs) kwa mwezi.
Hivi karibuni mchezaji huyo amelalamika kuwa toka zivuje taarifa za yeye kuwa mtu...
#MICHEZO Unaambiwa baada ya video za Paredi la Ubingwa wa Yanga kusambaa duniani kote hivi karibuni zimezua gumzo huko nchini uingereza, ambapo hii ni mara baada ya Shabiki Maarufu wa Klabu ya Arsenal (#Welbeast) kuchapisha moja ya video hizo kwenye ukurasa wake wa X (maarufu kama Twitter)...
MALENGO YA SIMBA 2023/24 PLAN A[emoji116]
[emoji735] KUFIKA NUSU FAINAL CAFCL
[emoji735] UBINGWA FA
[emoji735] UBINGWA NBC
PLAN B
[emoji735] FEI TOTO kutwaa ufungaji bora
[emoji735] Simba kushiriki Klabu Bingwa
[emoji736] Ray Matampy kuwa na Clean Sheet nyingi [emoji2957]
[emoji51]
BREAKING NEWS: Simba SC watashiriki Kombe la Shirikisho Msimu ujao baada ya kushika nafasi ya tatu kwenye Msimamo wa Ligi Kuu Tanzania Bara. Azam FC na Yanga SC watashiriki Klabu Bingwa Barani Afrika
Makolo.....Tawire[emoji23][emoji23][emoji3063][emoji3063]
Je, Benchika mlipigwa au Robertinho...
Paredi la Yanga halijaistua tu Africa Bali dunia yote imetikisika mitandaoni kote ....ni Yanga tu
Vituo vikubwa vya habari vyaliongelea hili tukio la wananchi
Hizi ni baadhi Comments za waingereza Baada ya kushtuka nyomi la Yanga kuwazidi Manchester city
Makolo najua ngeli inawapiga chenga
INONGA: MKATABA WANGU UNAISHA 2024 NA SIO 2025 KAMA INAVYODAIWA
"Mimi siujui huo mkataba wanaousema wao mimi navyofahamu ni kwamba Mkataba wangu unamalizika msimu huu na hivyo ndivyo ilivyo, hili jambo lipo kwa Wanasheria wangu kwa sasa nipo Ufaransa kwa Mapumziko." - Henock Inonga Bakah...
PATRICK MOTSEPE: LILE LILIKUWA GOLI HALALI KABISA
Rais wa CAF, Patrice Motsepe alipowasili kwenye uwanja wa ndege visiwani Zanzibar kwa ajili ya fainali ya michuano ya Africa Schools Championship.Motsepe aligusia kidogo lile shuti la Aziz Ki pale Loftus dhidi ya Mamelodi Sundowns...
ALLY KAMWE: TUMEWAJAZA WAMEJAA
"Tunaemtaka Pale yupo Tumewajaza Kwa Rasta Wamekurupuka Wamempa Mkataba Na Pesa Nyingi, Hatuwezi Kumsajili Mshambuliaji Kwa Msimu Ana Bao Moja tu Pekee." -Ally Kamwe
ALLY KAMWE: KAMA WALIFIKILI KOMBE WAMELIKIMBIA, NAWAMBIA LITAWAKUTA HUKO HUKO WALIPOKIMBILIA.
Meneja Habari na Mawasiliano wa Yanga Sc Ali Kamwe ameweka wazi kuwa malengo yao kwenye mchezo huo sio alama tatu ila lengo ni kufunga magoli mengi ili Aziz Ki afunge magoli ya kutosha kwa lengo la...
“Helikopta ya parade la ubingwa itaanza safari yake majira ya saa nne asubuhi ikiwa imebeba kombe, itapita maeneo mbalimbali jiji la Dar Es Salaam. Tumempa Rubani maelekezo kuna maeneo akifika pale Kariakoo, aishushe chini kidogo ili kila mtu ashuhudie parade la angani. Baadae mchana Helikopta...
Mchezaji aliyewahi kuichezea Simba kwa siku 54 Dejan Georgijević ameshinda kesi ya madai dhidi ya Simba na anatakiwa kulipwa milion 500 za Kitanzania kwa kukiukwa mkataba wake wakati anachezea Simba, FIFA imeipa Simba siku 45 kuhakikisha inalipa fedha hizo.
NB: Mlete mzungu...
Meneja Habari na Mawasiliano wa Klabu ya Yanga SC, Ally Kamwe akitoa semina kwa Viongozi wa Klabu ya Pamba Jiji kutoka Mwanza, jinsi mfumo wa Idara ya Habari na Mawasiliano ya klabu ya Yanga inavyofanya kazi.
Vongozi wa Pamba Jiji iliyopanda kushiriki Ligi Kuu ya NBC, umefika Makao Makuu ya...
Wakuu Leo nimelia sana Baada ya kufuatilia record za timu zenye makombe mengi ya Ligue na kuja kugundu kuwa Simba Wana makombe = 22........lkn wababe Yanga Wana makombe = 30 ......na ligi ilianza mwaka 1964
Nmeshtuka sana Hadi ghafla nmeanza kulia [emoji24][emoji24][emoji24].......Je makolo...
Rais wa klabu ya @yangasc Injinia @caamil_88 ametoa elimu kwa uongozi wa klabu ya @tpmazembeofficiel ambao wamefika makao makuu ya klabu hiyo hapo jana wakitaka kufahamu ni namna gani klabu ya Yanga imeweza kubadirisha mfumo wake wa kiundeshaji na kuweza kutawala soka la ndani na nje kwa muda...
“Klabu kubwa kama TP Mazembe imesafiri kutoka DR Congo kuja hapa Jangwani kujifunza kwa kichwa chetu, Rais wetu Eng. Hersi Said halafu kuna watu wako nyumba ya 16 tu jirani hapo, wanapiga kelele kuwa hawana cha kujifunza kwa Yanga.
“Niwaambie tu, tutabeba Makombe hadi kila Mwanachama atakuwa...
“Tumepokea ugeni mzito kutoka moja ya Klabu kubwa Barani Afrika, TP Mazembe ya DR Congo ambao wamevutiwa na namna Klabu yetu ya Yanga inavyoendeshwa hivyo wamekuja hapa Tanzania kujifunza mambo mbalimbali kwenye Mfumo wetu wa Mabadiliko ya Uendeshaji" Simon Patrick, Mkurugenzi wa Sheria wa Yanga...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.