Pamoja na mapungufu mengi...angalau kwa kwa sasa tuna lami.
Nakumbuka nilisafiri Dar - Mwanza kwa mwezi mmoja na wiki mbili, nikifika Dodoma inn nabadilisha nguo navaa kaptula ya kazi na kaawoshi.
Safari inaendelea, kianza kutoka mjini unaona kibao cha Pepsi kileee hapo jiandae kuanza kupiga...
Mabibi na mabwana nina mshukuru huyu atupaye pumzi na riziki.
Huu ni mwaka wa kumi na tano ndani ya jamii forum......(si mchezo)..
Mengi nimejifunza namshukuruni sana sana.
Na wale tunaopishana kimtazamo au mawazo hapan'shaka twasameheana manake kiukweli binadamu tuna mapungufu na mie njia ya...
Naomba kufahamishwa kodi ya basi jipya la umeme toka China la thamani ya dola za kimarekani 6000 nitalipa sh ngapi..
Na ninyi watu wa mazingira je?mwaweza kunipa kibali cha unafuu niletapo basi hili?...nikiwa na maana kwamba halichafui mazingira....
Nawashauri vijana WANYAKE MASOKO MAWILI TU MAKUUUBWA SANA NA YOTE YATAMEZA VIJANA WOOTE WAKIACHA UVIVU.
1. CHINA WAMETUPA SOKO LA SOYA BEANS la ukubwa wa tani 400,000 kila mwaka Tanzania kwa sasa as we speak inazalisha tani 15,000 tu za soya.
Ina maana kunatakiwa tani 400,000 za soya...
Msumi ni Kilometer chache sana kutoka stendi ya mabasi ya Magufuli.
Sasa cha ajabu ni kwamba Msumi ipo kama vile hata wakuu wa Mikoa waliopita hapo Dar na wasasa si ajabu hawajui iko upande gani wa mji, achilia mbali DC.
Mbunge wa Ubungo (labda atapeleka pua) kwa ajili ya kampeni, Sina hakika...
Kuna ndugu anauliza ni namna gani anaweza tuma mtu au kuagiza machine ya kufyatua na kufungasha pipi toka uchina.
Kwa niaba namtangulizia shukrani za dhati.
AMINA
Isiwe domestic na Isiwe heavy sana yaani ya kiushkaji au kimtindo mtindue mtindoe
Wataalamu wasomi na wanamajumui kwa kuweka ubinafsi kando na uafrika mbele, hili jambo kama si leo ni siku zijazo laweza leta mapinduzi chanya katika kujikwamua na kuamsha shughuli nyingi za kiuchumi kijamii kiafya n.k.
Hebu wasomi tusaidieni tufanyaje?
Zingatia kama sio fitna leo East Africa...
Kutokana na kuhatarisha maisha ya abiria, watu kujeruhiwa na kupoteza maisha, kupoteza muda na kuchelewa, pamoja na maumivu ya kisaikolojia; Je, tupo tayari daladala zirudi?
PIGA KURA YAKO KULETA MABADILIKO.
Baada ya kuzunguka ulimwenguni nimegundua siri moja kubwa sana kutoka sehemu nyeti sana.
Siku Africa tutakapoungana UMASIKINI utakuwa bye bye....hata 🇺🇸 hawatatupata labda 🇨🇳
Namkumbuka Mzee Maeda...alikuwa na majumba na mabasi ya Kilimanjaro Bus Service (1967) Ltd.
Yeye na mkewe walikuwa ni wachapa kazi balaa...mzee yuko stand anabeba mizigo kama kuli na kuipandisha juu ya carrier.
Kuna siku basi imepakia abiria dereva kaingia kwenye basi kalewa,mama akamshusha...
Kuna kila viashiria kwamba nafasi yetu ya UANAUME imepokwa...hasa na mifumo ya sasa ya Dunia.
Kina mama waliotengenezwa na Beijing 1995 wameleta balaa.
Wanaume najua mnanielewa, mauti imepanda kuuwa uzao wa kiume.
Wanaume hatuna sehemu ya kutolea sumu.
Ahlan wasalaan,
Naomba kumuulizeni ni kiasi gani cha nauli kwa fedha ya kiTanzania.
Natanguliza shukran.
Najaribu kuweka basi katika kutafuta riziki.
Na pia kama kuna changamoto zozote katika njia naomba unijuze.
Shukran tena 👍
Nikaanza kukumbuka dhambi nilizowahi kufanya na kutubu.
Cha ajabu nimekuwa na uwezo wa kukumbuka moja baada ya nyingine.
Lakini iliyonishangaza zaidi ni hii ya UZINZI...aisee kumbe nimetembea na wanawake wengi sana.
Wengi sana siwakumbuki majina lakini nawakumbuka sura,tukio na mahala...
Nikaanza kukumbuka dhambi nilizowahi kufanya na kutubu.
Cha ajabu nimekuwa na uwezo wa kukumbuka moja baada ya nyingine.
Lakini iliyonishangaza zaidi ni hii ya UZINZI...aisee kumbe nimetembea na wanawake wengi sana.
Wengi sana siwakumbuki majina lakini nawakumbuka sura,tukio na mahala...
Mtu mzima na akili zake anakamata kitabu cha dini ya imani yake na kuapa halafu anavunja kiapo chake kwa kumdhihaki Mungu na kudhani maneno aliyoyatamka ni masihara.
Matokeo yake ni mateso, majuto, uchungu na laana.
Kwa mfano..wengi kama si wote. Wanasumbuliwa na mashinikizo ya damu, kisukari...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.