Recent content by matunduizi

  1. matunduizi

    Kwa Mfanyabiashara Anaeweza Kuzalisha 1m kwa Mtaji wa 5m kwa wiki

    Ungefanumya wewe bro, mbona unawapa watu mzigo uliokushinda?
  2. matunduizi

    SHERIA YA KIKRISTO KWA MTOTO NJE YA NDOA INASEMAJE??

    Mali ulizozipata kwenye ndoa ni zako na mke huyo wa ndoa na hao watoto. Hayo mambo mengine nje jitahidi uyamalize nje ya ndoa hukohuko kabla hujafa. Ndio maana Ibrahim ilibidi amfukuze mtoto wa nje ya ndoa na mama yake ili wakabarikiwe wakiwa kwingine sio hapo. Na Mungu akasikia na kumbariki...
  3. matunduizi

    Hii ndio sababu kubwa kwa nini ujiwekee malengo yasiyowezekana kwenye maisha yako

    Kwa sababu kuna mambo mengi ambayo kwetu hayawezekani ila akihusishwa Mungu yanawezekana. Hii inatanua wigo wa kiakili kupokea na kufanikiwa hata kwa yale ambayo hata akili zetu haziyaamini. Mfano mtu mmoja alikuwa hatua ya kufa, hadi watumishi wakaja kumpaka mafuta na kumuombea afe kwa...
  4. matunduizi

    Hii ndio sababu kubwa kwa nini ujiwekee malengo yasiyowezekana kwenye maisha yako

    Kama unaamini Mungu ni wa Yasiyowezekana, alafu wewe unavimalengo vinavyowezekana, au unaogopa kukusudia jambo kubwa linaloumiza kichwa, humuamini huyo Mungu. Malengo au lengo lisilowezekana katikati ya malengo yako litakusaidia kwanza wewe ubadilike ili litokee. Wewe kabla ya kutekeleza na...
  5. matunduizi

    Yupo wapi bingwa wa ulozi?

    Hivi wale wajasiliamali wadogowadogi alifanikiwa kuwapeleka China. Maana alikuwa na hiyo project humu, labda yuko huko china vijijini anatafuta fursa.
  6. matunduizi

    Zipi ni alama za kuwa umefanikiwa kimaisha?

    kula vizuri wewe na familia yako
  7. matunduizi

    Usipompa kazi mwanao, atapewa kazi na shetani

    Ma~gemu ndio kazi wanayopenda. Unakuta mtoto hajui kusoma na kuandika lakini anajua gemu liliko hata lifichwe wapi?
  8. matunduizi

    Hospitali gani nzuri ya kutahiri watoto wa kiume hapa mjini Dar? Jina la Dokta Tafadhali!

    Kuna mtu mmoja kkoo hapo ni faster tu na hakuna matata baada ya tohara. Simkumbuki jina ila kuna mtu aliwahi kunielekeza huko kupata huduma kwa vijana wangu. Hata BOCH pia wako vizuri kama uko maeneo ya mbezi.
  9. matunduizi

    Mabilioni ya mababu zetu waliofariki kabla ya kuletewa Uislam kwasasa Wapo Motoni au peponi?

    Mtu akifa anakwenda kaburini au hapo alipofia. Sio motoni au peponi. Siku ya hukumu dunia nzima itahukumiwa kwa pamoja, hao mababu na mabibi nao watahukumiwa kwa kiwango chao cha uelewa wa mema kwa wakati wao.
  10. matunduizi

    Hizi ndio sababu kwanini ni rahisi kwenda mbinguni kuliko motoni

    Asante. Sio lazima uelewe vitu vyote kwa mkupuo. Utaelewa taratibu. Jipe nafasi
  11. matunduizi

    Tanzania: Mtandao wa Intaneti wapotea hewani

    Mimi nimepata hasara ya kushindwa kuwafundisha watu wangu namna ya kuwa katika viwango ambavyo vitawafanya kuwa baraka kwa familia na Taifa. Kwa hii hitilafu nimemiss Bwana Elon Musk na Starlink yake. Nchi hii tunalazimishana kuwa masikini
  12. matunduizi

    Epuka kusambaza maudhui yasiyo na maadili

    Mama unaupiga mwingi kwenye mqmbo ya msingi. Mungu akupe mitano tena.
  13. matunduizi

    Hizi ndio sababu kwanini ni rahisi kwenda mbinguni kuliko motoni

    Hizi kauli zitakuwa sehemu ya ushahidi wa upande ulioupenda.
  14. matunduizi

    Hizi ndio sababu kwanini ni rahisi kwenda mbinguni kuliko motoni

    Upeo wa uelewa wa kiongozi wa dini unategemea kiwango chake cha kumuelewa Mungu sio taratibu za kiriturujia za kidini. Ndio maana Yesu mtoto muumini kabisa wa miaka 12 aliwaoutsmart magwiji ya viongozi wa kidini. Tunapaswa ķutafuta uhusiano wa juu na Mungu hii ndio muhimu sio kutafuta kutally...
Back
Top Bottom