Kuitafuta azam tv kwenye ZUKU DECORDER ni sawa na kutafuta bikra kwenye wodi ya wazazi,Home huwa tunalipa 15000 but sasa iv wameweka mpaka cha 10000 Ukitaka uhondo zaid lipa 25000 hautojuta......FREE CHANNEL BAADA YA KIFURUSHI KUISHA NI ZAIDI YA 50 BUT WITHOUT LOCAL CHANNEL(MTEREMKO)Wana jamvi salaam!
Naomba niongee kwa uchungu sana juu ya hii decodor tajwa hapo juu,na nimeona niwe muwazi kwao ila nina imani yakuwa haitowapunguzia chochote endapo nitajitoa kutumia Zuku.
Hii decodor imekuwa ya hovyo sana na hapa lenho langu siyo kuwaharibia ama kuwasema vibaya kwenye biashara yao la hasha!huu ni muendelezo wa kuwanusuru wote wanaotumia hii Zuku.
Hawa jamaa kwanza wao local chanels zote lazima ulipie kinyume na hapo hupati habari na chanel utakayoambulia ni ile ya matangazo tu ya Zuku.
Baadhi ya local tv hawa watu kwenye kisimbusi chao hakuna kabisa kama Tv 1,Azam tv .
Ubaya wa Dstv ikikata imekata hamna cha local wala nn..ndo ujipu wake hapaMkuu hao vipi wana free local chanels?
Mkuu kwa hiyo 25000 unapata channel zote za maana kuanzia music, documentaries mpaka news achilia mbali movies... Bado sioni sababu ya kuhama ZUKU!!KWA zuku , bado safi, channels ziko nyingi za kuelemisha, taarifa za habari ki ingilishi usiseme, radio ndiyo kabisa kwa walokole utaFURAHIA MNO, tatizo ni local free channels na kama kawaida yetu tunapenda mtelemko saana hata pasipo sababu. toa TSH 25000.00 harafu uone kama utahama. NEVER. STAR TIMES DECODER YANGU IKO UVUNGUNI MWAKA NA SIKU KADHAA.
Unataka ulipe kiasi gani?Mimi nilikua nalipia zuku ya 22,500/= kwa mwezi, eti wananiambia kuanzia mwezi huu 25,000/=,kimya kimya nimejinunulia azam yangu ahhaaa hata ligi kuu bara naiona sasa. ZUKU DON'T THINK WE ARE SUCH TABULALASA!!!!!
Sasa mkuu kama mm siyo mlokole inakuweje?na kama nina shida kwenye hicho kiingereza unaniambiaje?kwanini local chanels isiwe kipaumbele?hiyo package ya pesa hiyo uliyoitaja ina nini?KWA zuku , bado safi, channels ziko nyingi za kuelemisha, taarifa za habari ki ingilishi usiseme, radio ndiyo kabisa kwa walokole utaFURAHIA MNO, tatizo ni local free channels na kama kawaida yetu tunapenda mtelemko saana hata pasipo sababu. toa TSH 25000.00 harafu uone kama utahama. NEVER. STAR TIMES DECODER YANGU IKO UVUNGUNI MWAKA NA SIKU KADHAA.
Mkuu package ya chini Zuki inaitwaje?na ni kiasi gani?mbona wanatuchanganya sana?Mimi nilikua nalipia zuku ya 22,500/= kwa mwezi, eti wananiambia kuanzia mwezi huu 25,000/=,kimya kimya nimejinunulia azam yangu ahhaaa hata ligi kuu bara naiona sasa. ZUKU DON'T THINK WE ARE SUCH TABULALASA!!!!!
Local mbona zipo au unataka unazozpenda ww?Mkuu uzuri wa Zuku ni upi?kutokuwepo baadhi local chanels?
Kwenye mvua hapo ni majanga.... mimi mvua ikianza kunyesha tu ugomvi na mwanangu unaanza..full kulia na anaanza kunipiga eti nimemzimia katuni
Anataka ZBCLocal mbona zipo au unataka unazozpenda ww?
Unataka ulipe kiasi gani?
Wana jamvi salaam!
Naomba niongee kwa uchungu sana juu ya hii decodor tajwa hapo juu,na nimeona niwe muwazi kwao ila nina imani yakuwa haitowapunguzia chochote endapo nitajitoa kutumia Zuku.
Hii decodor imekuwa ya hovyo sana na hapa lenho langu siyo kuwaharibia ama kuwasema vibaya kwenye biashara yao la hasha!huu ni muendelezo wa kuwanusuru wote wanaotumia hii Zuku.
Hawa jamaa kwanza wao local chanels zote lazima ulipie kinyume na hapo hupati habari na chanel utakayoambulia ni ile ya matangazo tu ya Zuku.
Baadhi ya local tv hawa watu kwenye kisimbusi chao hakuna kabisa kama Tv 1,Azam tv kwa haya ambayo tunayoyapata toka kwa hawa jamaa binafsi sitoweza kuendelea kuwa nao kamwe.
Kali kuliko usiombe mvua inyeshe harafu unatumia hii decodor utajuta hiyo scruch!hutoweza kuona chochote kwa kiwango kikubwa sana!
USHAURI
Kwa wote wanataka kuingia kwenye ulimwengu huu wa kidigitali msithubutu kuingia kwa hawa Wakenya ni ujanja ujanja umewajaa na huduma mbovu
Nawasilisha.