MwananchiOG
JF-Expert Member
- Apr 4, 2023
- 1,607
- 3,387
Fundi wa mpira na Mbabe wa soka aliyenoa vilabu vingi nchini kutoka Ihefu fc,Zuberi Katwila anatazamiwa kutangazwa kuwa kocha mkuu wa club ya Simba yenye makazi yake Msimbazi, Kariakoo.
Inasemekana pande zote mbili wameshafanya makubaliano na tayari kocha huyo wa vikombe amekabidhiwa timu kwa ajili ya michuano inayokuja ikiwemo mchezo wa CAFCL dhidi ya ASEC MIMOSAS hapo kesho.