Tetesi: Tetesi za usajili ligi kuu Tanzania bara 2024/2025

Hichilema

JF-Expert Member
Sep 4, 2016
1,058
966
1. Inaelezwa kuwa kiungo wa Young Africans Aziz Ki ameongeza mkataba wa miaka miwili na timu hiyo
2. Klabu ya Azam na Young Africans zinamuwania beki kisiki wa Coastal Union Lameck Lawi
3. Kuna uwezekano winga wa Simba Sc, Aubin Kramo akapelekwa kwa mkopo Zesco United ya Zambia
4. Kiungo mchezeshaji raia wa Gambia, Foday Trawally anaweza kujiunga na Simba Sc kwa mkataba wa miaka 3
5. Beki wa kati wa Asec, Anthony Tra Bi Tra anahusishwa kujiunga na Simba Sc
6. Kiungo mkabaji wa Singida Black Stars anawindwa na Young Africans kuchukua nafasi ya Zawadi Mauya atakayetupiwa virago
7. Kiungo wa Raja AC, Abdelhay Forsy anatakiwa na Simba Sc kwa mkopo
8. Klabu ya Singida Black Stars imemsajili Mlinda lango wa Horoya AC ya Guinea, Mohamed Camara na inakaribia kumnasa beki wa kushoto Imoro Ibrahim
9. Young Africans SC inakaribia kuinasa Saini ya beki wa kushoto kutoka Asec, Frank Zouzou
10. Beki WA kati raia wa Mauritania, Lamin Ba anafatiliwa kwa karibu na Simba SC
11. Henock Inonga anakaribia kujiunga AS FAR ya Morocco kama mambo yatakwenda vizuri
12. Simba SC inaangalia uwezekano wa kumsajili beki wa RS Berkane, Issofou Dayo
13. Simba SC inamfukuzia kiungo mshambuliaji , Augustine Okejepha
14. Derick Fordojou ni mnyama
15. Rodgers Torach, anakaribia kujiunga na SC
16. Mohamed Damaro Camara anafatiliwa kwa ukaribu na Simba SC
17. Daniel Msengani anawaniwa na Simba SC
18. Victorien Adebayor amejiunga na Sungida Black Stars SC
19. Beno Kakolanya, anawindwa Young Africans kuziba nafasi ya Metacha Mnata
20. Striker wa mpira Jean Baleke, anatakiwa na Young Africans
21. Luis Jose Miquissone anatakiwa na APR ya Rwanda
22. Kiungo wa mpira kutoka Coastal union, Greyso Gelard anatakiwa na Young Africans
23. Young Africans wanawania Saini ya Duvan Elenga
24. Simba SC wanamuwinda Flory Yangao
25 Waziri wa raha , Skudu Makudubela bye bye Yanga
26. Simba Sc inamuwania Chance Leroy
27. Ayoub Lakred anahitajiwa na Wydad AC
28. Simba Sc inawania Saini ya striker Mzambia Rick Banda
29. Omar Nahji kuchukua mikoba ya Benchika Simba SC
30. Vilabu Vya Al Qadsia ya Kuwait na Pyramids FC ya Egypt zimeonesha nia ya kuhitaji Huduma ya Fabrice Ngoma wa Simba Sc
31. Golikipa Yona Amos anakaribia kujiunga Young Africans
32. Joshua Mutale anatakiwa kujiunga Simba SC
33. Kelvin Kapumbu anatakiwa Simba SC
34. Gnagna Barry na Mousa Camara wa Horoya AC wanawindwa na Simba Sc
35.Ousmane Drame wa Horoya AC anawindwa na Simba Sc
36. Saidio Kanout, Putin ataondoka Simba Sc
37. Mabululu anatakiwa Simba SC
38. Lameck Lawi anatakiwa Simba SC
38. Frolent Ibenge anaweza kujiunga SC
39. Chadrack Boka ni mwananchi
40. Basiala Agee anahitajiwa na Yanga
 
1.Beki kisiki wa Simba Che Malon Fondo anatarajiwa kuondoka ndani ya klabu hiyo mwishoni mwa msimu na kujiunga na mojawapo ya klabu katika nchi moja ya kaskazini mwa Afrika
2.Kiungo mshambuliaji wa Simba Clatus Chota Chama ambaye mkataba wake unamalizika mwishoni mwa simu huu hajaanza mazungumzo ya kusaini mkataba mpya na inasemekana huenda akajiunga na mojawapo wa klabu za Dar es salaam,Chamazi au Jangwani.
 
1. Inaelezwa kuwa kiungo wa Young Africans Aziz Ki ameongeza mkataba wa miaka miwili na timu hiyo
2. Klabu ya Azam na Young Africans zinamuwania beki kisiki wa Coastal Union Lameck Lawi
3. Kuna uwezekano winga wa Simba Sc, Aubin Kramo akapelekwa kwa mkopo Zesco United ya Zambia
4. Kiungo mchezeshaji raia wa Gambia, Foday Trawally anaweza kujiunga na Simba Sc kwa mkataba wa miaka 3
5. Winga matata kabisa, Cheickina Diakite anaweza kujiunga na Simba Sc
6. Kiungo mkabaji wa Singida Black Stars anawindwa na Young Africans kuchukua nafasi ya Zawadi Mauya atakayetupiwa virago
Hapo kwa Simba ni changa la macho.....
 
1. Inaelezwa kuwa kiungo wa Young Africans Aziz Ki ameongeza mkataba wa miaka miwili na timu hiyo
2. Klabu ya Azam na Young Africans zinamuwania beki kisiki wa Coastal Union Lameck Lawi
3. Kuna uwezekano winga wa Simba Sc, Aubin Kramo akapelekwa kwa mkopo Zesco United ya Zambia
4. Kiungo mchezeshaji raia wa Gambia, Foday Trawally anaweza kujiunga na Simba Sc kwa mkataba wa miaka 3
5. Winga matata kabisa, Cheickina Diakite anaweza kujiunga na Simba Sc
6. Kiungo mkabaji wa Singida Black Stars anawindwa na Young Africans kuchukua nafasi ya Zawadi Mauya atakayetupiwa virago
7. Kiungo wa Raja AC, Abdelhay Forsy anatakiwa na Simba Sc kwa mkopo
8. Klabu ya Singida Black Stars imemsajili Mlinda lango wa Horoya AC ya Guinea, Mohamed Camara na inakaribia kumnasa beki wa kushoto Imoro Ibrahim
9. Young Africans SC inakaribia kuinasa Saini ya beki wa kushoto kutoka Asec, Frank Zouzou
10. Beki WA kati raia wa Mauritania, Lamin Ba anafatiliwa kwa karibu na Simba SC
11. Henock Inonga anakaribia kujiunga AS FAR ya Morocco kama mambo yatakwenda vizuri
12. Simba SC inaangalia uwezekano wa kumsajili beki wa RS Berkane, Issofou Dayo
13. Simba SC inamfukuzia kiungo mshambuliaji , Augustine Okejepha
14. Derick Fordojou ni mnyama
15. Rodgers Torach, anakaribia kujiunga na SC
16. Mohamed Damaro Camara anafatiliwa kwa ukaribu na Simba SC
Kwaiyo makolo wanataka kusajiri kikosi kizima.!
Uyo kiungo mkabaji anaewindwa na yanga hapo namba 6 ni nani.
 
Ningekua kiongozi pale simba dirisha dogo ningewachukua
Elvis rupia, marouf tchakei, jackson kagoma, bruno gomez, yanick bangala na nikamrudisha babu onyango halafu ningewatoa
Aubin kramo, luis miquisonne, essomba onana, sadio kanoute na saidoo ntibanzokiza

Trust me CAF tusingepigwa nje ndani, FA tusingetolewa na ubingwa tungeendelea kuufukuzia
 
Ondoa Aubin Kramo na Miquison kwenye hiyo listi yako hao bado ni wachezaji wazuri ambao wanaweza kuisaidia sana Simba msimu ujao. Ila Ongeza Babcar Sarr kwenye list yako kwa wale wa kuondolewa Simba. Na hapo kumrudisha babu Onyango weka beki mmoja king'ang'anizi mwenye akili kubwa sana ya mpira kama sikosei anaitwa Tamim anatoka Nigeria yupo Ihefu

Kramo ni bonge la mchezaji tatizo ni majeruhi ya muda mrefu na inavyoonekana sasa hivi kashapona vizuri. Na hili ni jambo la kawaida linawakuta wachezaji wengi duniani kupata majeraha ya muda mrefu lakini baadae wakapona na kurudi kuendelea kucheza vizuri tu. Kwa hili niwasifu Simba kwa kucheza hii kamari maana inaelekea kama vile itawalipa tuombee tu ya Salim mbonde yasije kutokea tena kwa Kramo.

Kwa Miquison anakosa tu "match fitness" kwa sababu ya kukaa bila kucheza muda mrefu. Kumbuka Miquison toka ametoka Simba kwenda Al Ahly walimzungusha vilabu mbali mbali kwa mkopo na mwishoni wakamwacha bila timu ya kucheza. Wakati anarudi Simba alikuwa hayupo vizuri na mbaya zaidi akawa hapati nafasi ya kucheza mara kwa mara kurudisha utimamu wake. Muda wote akawa anajitafuta mpaka kipindi cha Mapinduzi Cup alikuwa ameshajipata kwa kiasi kikubwa lakini maajabu ya benchi la ufundi la Simba badala limpe muendelezo sahihi ili aweze kuwasaidia wao wakamuacha apotee tena kwa kumpiga benchi huku wao wamemkumbatia Saidoo ambaye sasa anahatarisha kibarua chao. Nina hakika huyo Miquison akipewa dakika 40+ mechi tano mfululizo baada ya hapo atakuwa hashikiki moto wa kuotea mbali. Na hili jambo lipo wazi lakini nashindwa kuelewa benchi la ufundi la Simba lenye wataalamu halijui hili jambo.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom