Nipo ndani ya Ndege ya KLM , naangalia screen iki-display ramani ya Africa ghafla ikaonyesha Ziwa lenye mgogoro Kati ya Tanzania na Malawi na ikaandika "Ziwa Malawi".....Je kufanya hivi ni bahati mbaya au ni maksudi kabisa.
Na kibaya zaidi Hii Ndege inatoka Amsterdam kuja straight KIA na Dar then Amsterdam.
Nini maoni yako mdau?
View attachment 474600
Nipe flight number mkuu!Nipo ndani ya Ndege ya KLM , naangalia screen iki-display ramani ya Africa ghafla ikaonyesha Ziwa lenye mgogoro Kati ya Tanzania na Malawi na ikaandika "Ziwa Malawi".....Je kufanya hivi ni bahati mbaya au ni maksudi kabisa.
Na kibaya zaidi Hii Ndege inatoka Amsterdam kuja straight KIA na Dar then Amsterdam.
Nini maoni yako mdau?
View attachment 474600
Hehehetumejua km unaedna amsterdam,sema kingine,ziwa nyasa la wanyasa ziwa tanganyika letu.
jaribu kwenda chooni kwa klm upunguze mawazo,ukirudi watume hao wadada wine kisha ulale.safari ndefu hiyo hayo maramani yatakuumiza kichwa km umeanza kucomplain hapo mbeya tu
Ziwa Tanganyika...Kwani wewe ulitaka waliite hilo Ziwa jina gani? Ziwa Kyela au
KL0569Nipe flight number mkuu!
Mimi sikutaka kurudia makosa waliyofanya KLM, mm ni mtanzania na nimeumizwa na hiyo display ya screen ya ndege....We mwenyewe umekosea kuandika ziwa Tanganyika kwenye Heading, ni ziwa Nyasa ,na Nyasaland ni Malawi.Jina halimaanishi ni la malawi.Mpaka ndio unaonyesha ni la wapi.Rejea ziwa Tanganyika, sio kwamba lote ni la Tanganyika
Hahaha,,,Mkuu kwanza nina kibali cha bwana mkubwasasa mkuu wewe huko amsterderm ndo umefata nn
na uchumi huu bana,
Watu wengine bhana,,,,, Sijashindwa kujibu utumbo wako, nimekupuuza kabisa....tumejua km unaedna amsterdam,sema kingine,ziwa nyasa la wanyasa ziwa tanganyika letu.
jaribu kwenda chooni kwa klm upunguze mawazo,ukirudi watume hao wadada wine kisha ulale.safari ndefu hiyo hayo maramani yatakuumiza kichwa km umeanza kucomplain hapo mbeya tu
Indian Ocean pia sio ya wahindi! Let's lay a low profile tutengeneze Pesa tukiwa na ufahamu kuwa hakuna mzungu, mwarabu, mchina, mhindi au mtu yeyote ambaye sio mtanzania anayetutakia kheri. Tuilinde na kuiombea nchi yetu pamoja na kuipenda kwa dhatiWe mwenyewe umekosea kuandika ziwa Tanganyika kwenye Heading, ni ziwa Nyasa ,na Nyasaland ni Malawi.Jina halimaanishi ni la malawi.Mpaka ndio unaonyesha ni la wapi.Rejea ziwa Tanganyika, sio kwamba lote ni la Tanganyika