Zitto Zuberi Kabwe: Uteuzi wa Mama Salma Kikwete ni kama teuzi nyingine, ana haki kikatiba

Keyword:Katiba yenu haijampa mipaka ya nani ateue na nani asimteue. Wala haijampa vigezo vya mteuliwa zaidi ya jinsia.
Ndio nchi nyingi duniani zinazojielewa hupigania katiba bora.
Ukishajua katiba ni nini hautauliza maswali.ya aina hii
kwahyo kwa kuwa kikatiba ana haki kuchagua yoyote ndo ateue vilaza waliotufikisha hapa tulipo???
 
Keyword:Katiba yenu haijampa mipaka ya nani ateue na nani asimteue. Wala haijampa vigezo vya mteuliwa zaidi ya jinsia.
Ndio nchi nyingi duniani zinazojielewa hupigania katiba bora.
Ukishajua katiba ni nini hautauliza maswali.ya aina hii
dah ssa kma katiba mpya imekwamishwa na mtu anayemteu unategemea ssi tufanyeje?? kwani wakati anasema nchi imeoza na akatumbua TRA NIDA sijui bandari alikuwa anatumia katiba gani kuwachomoa hao wengine na kumuacha mke wa MHUSIKA MKUU aliyefkisha nchi hapa ilipo???

eti katiba inaruhusu?? so wat??? tusihoji mwanamke mzembe aliyevuruga nchi yetu kupewa madaraka makubwa wakati ni kilaza maana alikuwa ikulu hakuweza lolote miaka 10 nchi maskini bado!!!!......... kma unasema haki kikatiba basi kawaonea wale wa bandari na TRA maana wao walihusika na kuvurunda kwa serikalo ya awamu ya 4 ila walitumbuliwa but huyu mhusika mkuu wa awamu ya 4 anateuliwa????? je ina make sense???? katiba iliyofuatwa kutumbua TRA ndio utumike kutengua uteuzi wa huyu mama.

magu alituaminisha eti serikali ilioza na ilikuwa dhaifu ssa anachukua mke wa dhaifu kwenye serikali ya mabadiliko!!!!! afu na wwe unashabikia eti KATIBA!!! get real
 
Let's agree to disagree.....

Back
Top Bottom