LGE2024 Zitto: Vyombo vya Ulinzi na Usalama vikishaonja madaraka ya kisiasa watakaofata kushughulikiwa ni CCM wenyewe

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
Aache ufala huyu, kwanini amefungua code??
Hawa wanasiasa siyo wakuwaamini na kuwashiriksha katika mambo muhimu na ya kimkakati kwa nchi. Hakupaswa kuliongea hili...pumbavu kabisa.
 
Inawezekana ndio ni kibaraka wa ccm sababu tanzania hamna chama Cha upinzani ila nimekuona mjinga kumuona mbowe sio kibaraka wa ccm aisee nchii hii wajinga hawaishi
Wajinga hawawezi kuisha kwani maisha ni kujifunza. Napishana na wewe kwa sababu hoja ilikuwa ni kuhusu Zitto, na wewe ukakimbilia kuweka jina la Mbowe kama kwamba Mbowe naye akiwa kibaraka basi Zitto ataaminika. Mbona hukutaja jina la mtu mwingine wakati wamejaa tele? Kwa sababu unadhani mimi ni chawa wa Mbowe hivyo wewe ukaona ''unikomeshe'' kwa kumhusisha. Mijadala mingi ya kibongo iko hivi i.e. ni kama yule mtoto aliyekamatwa analamba sukari akajitetea kwa kusema fulani naye kalamba. Mbowe ameanza kuyumba na kutiliwa mashaka baada ya kutoka gerezani. Zitto huyu ni siku nyingi sana haeleweki.
 
Nothing impossible under the sun. Nadhani hata CCM kwa ujinga wao huwa wanaona mambo kama unavyoyaona. Lakini kwangu mimi kila nikiona namba ya vijana ambao hawana shughuli muhimu za kuingiza kipato inavyoongezeka kila siku na jinsi CCM inavyowakabidhi silaha hatari kila siku (u-bodaboda, umachinga, u-chawa etc) huwa napata wasiwasi sana. Jamii yenye watu wa aina hii, lolote linaweza kutokea. Kumbuka hawa, wengi wao wako kwenye umri wa kuanzisha familia. Vitoto vyao vitaishi kwenye mazingara ya aina gani? Vitakuwa mixer ya bodaboda, machinga na chawa.
 
Sio kweli;sisi tumekua ndugu;hata huko kwenye hizo taasisi kuna watu hawajisikii vizuri kuhusiana na dhuluma au watu kutekwa.
Kinachotakiwa hapa ni ccm wenyewe kua na nia ya dhati ya kuleta katiba ambayo mipaka ya kiutawala itakua ina akisi check and balance
 
We ndio mjinga unaamini mbowe ni mpinzani Mimi naamini hata zitto nae sio mpinzani sababu tanzania hamna upinzani nakushangaa wewe unaeamini mbowe ni mpinzani kweli wajinga Kila siku mnazaliwa🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
We ndio mjinga unaamini mbowe ni mpinzani Mimi naamini hata zitto nae sio mpinzani sababu tanzania hamna upinzani nakushangaa wewe unaeamini mbowe ni mpinzani kweli wajinga Kila siku mnazaliwa🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Kama Tanzania hakuna upinzani kwa nini CCM inaogopa uchaguzi huru?
 
Hii Iko sahihi. Kuna kipindi hawa polisi wa vyeo vya chini na walimu wanasimamia uchaguzi huu watakuja kuwageuka CCM hasta watakapobaini kuwa wanatumika kama toilet paper. Na Iko wazi kuwa watumishi wa umma hawawapendi hawa CCM sema wanawaogopa tu.
Watumishi wapi hawapendi ccm? Hivi unajua akili za walimu vizuri wewe?
 
UCHAGUZI huru ukamchague nani wakati hao unaenda kuchagua ni CCM B wameanzisha vyama vyao Ili kuwapata wajinga kama wewe na kula ruzuku mbona huna akili mzee 🤣🤣🤣🤣🤣
Hapa sasa ndiyo nimejua akili zako. Nimeuliza: Kama Tanzania hakuna upinzani ni kwa nini CCM wanaogopa uchaguzi huru? I mean hata hawataki wapinzani kuwa na wagombea. Wanakata majina karibu yote kwa sababu za kijinga kabisa. Usipojibu hili swali kwa ufasaha, basi wewe ndiye jinga kubwa. Hapa umeingia kwenye roba ya mbao. Hutoki....
 
Ukishakuwa mwizi kwenye jamii unakuwa huaminiki tena na hata ukisema jambo jamii itahoji mara mbili mbili. Na ndiyo nilichofanya hapa.
Na hapo hujahoji Bali umeachana na mada husika ukaanza kuhoji credibility ya mhusika mwenyewe! Swali langu kwako tena, Je hakuna jambo ambalo linahitaji attention?
 
Nimesikiza weee, Zito amegoma kumwita mkt wa kijani dikteta kama alivyomwita Magu,

Ukifanikiwa kumwondolea Zito unafiki na udini,

Ni kiongozi mzuri sana.
 
JWTZ ushauri huo - 2025 nchi haina baba wala mama, chukueni tuwezeshemi tubadili katiba then baada ya miaka 3 turudishieni ila chonde chode msije mkanogewa madaraka.
 
Nchi ilishapinduliwa siku nyingi tangu wakati wa Nyerere na CCM ukawekwa chini ya Dola . Ndio maana wakuu wa vyombo vya dola ndio wanaopanga nani awe raisi na asipojali maslahi yao au kuwafuata fuata wanaoshughulikia au kumtisha kuwa atashindwa uchaguzi.

Sio kawaida kuona polisi wenye maslahi madogo kuliko wanasiasa wakiwapugania wanasiasa wenye maslahi makubwa .

Yaani DC na ODC maslahi ni mbingu na ardhi lakini ODC anafanya kila mbinu kutetea madaraka ya DC na chama chake .
Halikadhalika RCP na RC wanautofauti mkubwa sana kimaslahi lakini RCP akabaki kama mpambe tu na maslahi yanayotegemea Rushwa zaidi .

Jeshi la wananchi wako paleeee wanasikilizia maana wanawaendesha wote kwa rimoti tu.
Wakubwa wa Jeshi wao maslahi safi wadogo wanategema kwenda kupigania amani kwenye nchi zenye siasa chafu kama Kongo,sudani ,Msumbiji ,n.k. ili waboreshe maisha yao. Siku vita ikiisha Kongo na Sudani wanajeshi wataimba wimbo mmoja na wapiga kura maana serikali ya CCM haiwezi kuwalipa mapolisi na wanajeshi mishahara inayokidhi kabisa . Hapo wenye nchi watachukua hatamu ya nchi yao .
Kwa sasa shukurani pekee ziwaendee waasi wa Kongo na Sudani kwa kuyafanya majeshi yetu yawe Bize kwenda kutafuta msokoto ya UN na kujipatia pesa zinazowapa ahueni ya maisha huku wanasiasa wakila kwa urefu wa kamba zao za mabati.
Kenya na Rawanda na Uganda wanaomba Tanzania waingie kwanye vita ili nao waje kupata maokoto ya UN huku waarabu na wawekezaji wakiomba hivyo hivyo ili watoroshe twiga wote na madini yote ikiwezekana Loliondo ijitenge na kuungana na Falme za kiarabu chini ya jeshi la Marekani.
 
Nimesikiza weee, Zito amegoma kumwita mkt wa kijani dikteta kama alivyomwita Magu,

Ukifanikiwa kumwondolea Zito unafiki na udini,

Ni kiongozi mzuri sana.


Ni dhahiri kuwa JPM hakua Mbaya bali alizunguka na watu wenye siasa za kibabe kama makamu wake wakati huo ambaye alikopi siasa za Zanzibar chini ya kauli mbiu ya mapinduzi daima .
Dr. Bashiri Ali chini ya siasa za CUF za mapanga shaa.

Kama mwenyekiti wa sasa wa CCM angekua sio tatizo bado angesimamia kauli zake lakini anaonekana hata wakati ule alikua ni mzuri mbele ya macho ya watu lakini nyuma yake ameshika kilipuzi. Ndio maana Dr. Bashite ni rafiki yake wa karibu . Bird with the same wings fly together.

Kwa hiyo dikteta ni yule anayeona kifo kama vile ni jambo la kawaida na kutoa tahadhari kuwa watu ajiandae tu maana kifo ni kifo tu wasione ajabu . Ndio maana wanaofurahia vifo na uhuni mwingi kama akina Shehe Mwaipopo wanakua salama na wanashangiliwa sana na watawala kuliko Taasisi yenye waumini wengi kwa wasomi wa hii mifumo yote duniani kama kanisa katoliki walikemea mauaji na uhuni ,wanaotukanwa matusi makubwa sana kwenye mitandao na polisi chini ya CP Awadhi hawajawahi kumkamata mtu kuwa amewatukana maaskofu na viongozi wa dini . Yaani kuwakosoa watendaji wa asiofuata sheria limekua ni kosa la kuuawa lakini uhalifu mwingine limekua ni suala linalokingiwa kifua na haki jinai . Leo mbakaji ,mlawiti, muuza madawa , n.k wanakinga kubwa sana kwenye kesi kuliko wakipinga mauaji na utekaji.

Hawata acha maovu yao kama wanaoyafanya wanapongezwa na kupandishwa vyeo .
 
Hii Iko sahihi. Kuna kipindi hawa polisi wa vyeo vya chini na walimu wanasimamia uchaguzi huu watakuja kuwageuka CCM hasta watakapobaini kuwa wanatumika kama toilet paper. Na Iko wazi kuwa watumishi wa umma hawawapendi hawa CCM sema wanawaogopa tu.
Hapo hawazungumziwi polisi. Polisi hawana uwezo wa kumuondoa mwanasiasa yeyote madarakani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…