PakiJinja
JF-Expert Member
- Jan 16, 2012
- 11,023
- 24,276
Aache ufala huyu, kwanini amefungua code??Wakuu,
Akiwa kwenye mkutano na wananchi Kigoma, leo Novemba 29, 2024 Zitto amesema;
Nataka nimwambie mwenyekiti wa CCM Rais Samia, kama kuna kosa ambalo CCM wanafanya ni kusurrender siasa kwa vyombo vya ulinzi na usalama. Vyombo vya Usalama vikishaonja madaraka ya kisiasa kama hivyo unavyofanya watakaofata kushughulikiwa ni CCM wenyewe, hivyo vyombo vitawaondoa CCM Madarakani.
Kupata taarifa na matukio ya kimkoa kuhusu Uchaguzi Serikali za Mitaa ingia hapa: LGE2024 - Special Thread: Orodha ya Mijadala ya Mikoa yote Tanzania Bara inayoshiriki katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
Tunayoyaona ayantokea Angola, Mozambiki ni makosa ya FLELIMO na MPLA kusarenda kisiasa kwa vyombo vya dola ndio maana muda wote wangu wote nilivyokuwa mbunge katika jambo nililokuwa nalipigania kwa nguvu zangu zote ni kuiondoa Idara ya Usalama wa Taifa katika makucha ya CCM, nikawapigania mageuzi ya TISS kwasababu ni kosa kubwa sana kuiondoa nchi kwenye democracy na kuipeleka kwenye nchi inayoongozwa na vyombo vya dola.
Hawa wanasiasa siyo wakuwaamini na kuwashiriksha katika mambo muhimu na ya kimkakati kwa nchi. Hakupaswa kuliongea hili...pumbavu kabisa.