miss chagga
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 57,815
- 49,031
bora mumseme tu
Mkuu tatizo la wanasiasa wasasa kila mtu analilia tumbo lake zitto toka issue ya NSFF kawa mdogo hama piriton kumbe nae alikuwa napiga kiana haya yote na mengine tutayasikia sana ni kwakuwa maslahi yao yameguswaKabwe wakati mwingine abakuja na kick za ajabu sana, sijui ana tstizo gani?
Hivi inaingia akilini kwamba,Serijali ya,Tabzania inaweza kuwapa tenda Waturuki wajenge reli kwa mikopo wa fedha za Wachina?
Uturuki hii hii tunayo ijuwa sisi inayo nunua helicopter za vita na silaha nyingine za kisasa kutoka Uchina ndiyo wawe na ujuzi wa ujenzi wa reli kuliko Wachina?
Au Zito anataka kutuletea adithi alizo wahi kutuzuga eti ndege za Bombadier zimenunuliwa zinekwisha tumika na nchi moja ya Ulaya Mashariki! Habari hizi zenye walakini mbukwa Zito anazitoaga kutoka sources gani reliable - au ana ajenda zake za kutaka kuikandia Serikali ya JPJM kwa adithi za kutunga tu ili asikike kwenye vyombo vya habari raia wasije wakamsahau, sioni sababu nyingine zaidi ya hiyo.
BabujaKabwe wakati mwingine abakuja na kick za ajabu sana, sijui ana tstizo gani?
Hivi inaingia akilini kwamba,Serijali ya,Tabzania inaweza kuwapa tenda Waturuki wajenge reli kwa mikopo wa fedha za Wachina?
Uturuki hii hii tunayo ijuwa sisi inayo nunua helicopter za vita na silaha nyingine za kisasa kutoka Uchina ndiyo wawe na ujuzi wa ujenzi wa reli kuliko Wachina?
Au Zito anataka kutuletea adithi alizo wahi kutuzuga eti ndege za Bombadier zimenunuliwa zinekwisha tumika na nchi moja ya Ulaya Mashariki! Habari hizi zenye walakini mbukwa Zito anazitoaga kutoka sources gani reliable - au ana ajenda zake za kutaka kuikandia Serikali ya JPJM kwa adithi za kutunga tu ili asikike kwenye vyombo vya habari raia wasije wakamsahau, sioni sababu nyingine zaidi ya hiyo.
Akiondoka rais wa uturuki,mradi utaishia kwenye makaratasi,wananchi wa uturuki hawampendi kabisa,ni diktetaKwani taratibu za zabuni zimekiukwa? uturuki wamependelewa?
nillijua Lema ndiyo kawekwa kuwa fundisho kwa wengine!? sasa atawatumia wangapi kama fundisho?Naona zitto kaamua.
Inabidi nae afanywe kama lema ili iwe fundisho kwa wengine
Tukuamini wewe au Zitto? ?Kabwe wakati mwingine anakuja na kick za ajabu sana, sijui ana tatizo gani?
Hivi inaingia akilini kwamba Serikali ya Tanzania inaweza kuwapa tenda Waturuki wajenge reli kwa mkopo wa fedha za Serikali/Mabenki ya Wachina?
Uturuki hii hii tunayo ijuwa sisi inayo nunua helicopter za vita na silaha nyingine za kisasa kutoka Uchina ndiyo wawe na ujuzi wa ujenzi wa reli kuliko Wachina?
Au Zito anataka kutuletea adithi alizo wahi kutuzuga eti ndege za Bombadier zimenunuliwa huku zimekwisha tumika na nchi moja ya Ulaya Mashariki in other words Serijaki ilinunua ndege ambazo ni secondhand kumbe habari hizo hazikuwa na ukweli wowote!
Leo tena kaja ni mpya, habari zenyewe zinaonekana zina walakini mbukwa, sijui mwenzetu habari hizi anazitoaga kutoka sources gani reliable - au ana ajenda zake za kutaka kuikandia Serikali ya JPJM kwa adithi za kutunga tu ili asikike kwenye vyombo vya habari raia wasije wakamsahau, sioni sababu nyingine zaidi ya hiyo.
nchi hii ni tajiri!!!!!Tuna fedha za kutosha hata wasipotoa.
Fundisho?Ina maana anadanganya?Naona zitto kaamua.
Inabidi nae afanywe kama lema ili iwe fundisho kwa wengine
Wasitoe kabisa ikiwezekana. Tz tuna kila kitu kuanzia pesa mpaka wakandarasiSerikali ilitangaza kuwa ujenzi wa Reli ya Kati ya kisasa utaanza mwezi Disemba mwaka jana kwa msaada kutoka nchi ya China. Leo ni mwezi Januari hata zabuni ya kampuni iliyoshinda kutekeleza mradi huo Serikali haijatangaza. Hata hivyo tumesikia kuwa kampuni kutoka Uturuki imeshinda zabuni hiyo na China (ambao ndio watoa mkopo wa mradi husika) wamekasirika na wamegoma kutoka fedha zao.
Tumesoma kwenye vyombo vya habari kuwa Rais wa Uturuki anakuja nchini wiki ijayo. Hatukatai kuimarisha mahusiano na Uturuki, lakini ni muhimu Serikali ijitazame upya kuhusu mahusiano yake na China. China ni rafiki wa Tanzania wa misimu yote. Tanzania imekuwa na China muda wote na China imekuwa na Tanzania muda wote. Maamuzi ya Serikali ya kutozingatia taratibu za China katika masuala ya mikopo yanaweza kugharimu sana mahusiano yetu ya zaidi ya miaka 50.
Tunamsihi Rais awe makini sana na mwenendo wake wa kutojali misingi imara ya Sera yetu ya mambo ya nje. Serikali ikae chini na China kutazama upya suala la Reli ya Kati vinginevyo hatutajenga Reli hiyo, ama itachukua miaka mingi sana kuijenga Reli hiyo. Madhara ya kuchelewa kujenga Reli ya Kati ni makubwa mno kwani washindani wetu wa kibiashara, Kenya, wanamaliza Reli yao sasa kuunganisha na nchi za Rwanda na Mashariki ya Kongo.
Namkumbusha Rais na Serikali namna ndani ya mwaka mmoja tangu aingie madarakani walivyovunja misingi yetu kadhaa ya Sera ya Mambo ya Nje, hasa kuhusu Sahara Magharibi na Mashariki ya Kati. Tumeikumbatia Moroko kwa ahadi ya viwanja vya mipira na misikiti na kuwaacha wananchi wa Sahara Magharibi ambao Mwalimu Nyerere aliwalinda kwa gharama zote. Juzi juzi kwa mara ya kwanza tumewasaidia Israel kwenye Umoja wa Mataifa bila ya kujali msimamo wetu wa 'Two States Solution' kati ya Palestine na Israel.
Sasa tunakwenda kuweka nyufa kwenye mahusiano yetu na China. Serikali ijitazame upya. Tanzania haikuanza na awamu ya Tano, nchi hii imekuwapo na itaendelea kuwapo. Hatuwezi kukaa kimya tukiendelea kuona misingi ya nchi yetu inavunjwa vunjwa. Lazima tukemee.
Ulaya NA marekani wanatunyima mikopo,China nao tunakokimbilia wametupiga chini,tutakuwa wageni wa nani?
Ndio maana serikali inataka kukopa huku Mbinga community bank
Aliyekuambia NaniUsipotoshe umma,reli inajengwa kwa fedha za ndani labda wachina watakua wqkandarasi
JANA haitusaidii maana tumeshaiacha, LEO imegubikwa na woga na wasiwasi, je KESHO tutakuwa salama; kuna matumaini yoyote au ndio hivyo tena TWAFWAAAAA!!!Quo Vadis Tanzania=Where are we heading Tanzania=Tanzania tunaelekea wapi.
Acha kujitoa ufahamu mngetembeza bakuliTuna fedha za kutosha hata wasipotoa.
Ila watu wake niTanzania ni tajiriiiiiii
Hao weziWachina ni wahuni tu sema wanatumia akili kuwabaka watanzania watajenga reli itakayo tumika miaka 5 tu itaanza kuchomoka machuma yenyewe! Wao watawafaidi kwa miaka 100
Bora tujenge mahusiano na Trump kuliko hawa wezi wachina
Kwani taratibu za zabuni zimekiukwa? uturuki wamependelewa?