Zitto: Rais Magufuli ameshaipotezea nchi mapato ya bilioni 8 tangu aingie madarakani

Jipu La Escrow lipe juu uwezo wa Magufuli.Kwanza ameshateuwa makuwadi na vinara wa Escrow katika serikali yake.Watanzania tutaendelea tu kulipa gharama za juu za umeme.Hamna jinsi.
 
Ila watu mnachekesha kweli na huyo zito wemu

Kwa hiyo kwa sababu jambo linatokea na mengine mengi mlitaka aingie tu ofisini na kusema Pooo au Paaaa au Piiiii kuna mtu kweli mwenye akili ya uongozi mzuri ataingia bila kutulia na kupata habari au kusoma kilichojiri?

Huyo Zitto anatafuta kiki tu ajgetaka angejipiga weeeeee sababu sakata limeanza zamani.

Kweli amekaa ameshindwa kuona mengine mengi ni kuvhomwa tu na jinsi Waziri anavyoendesha mambo sasa, akafikiria watu wanataka kuanza kukusanya pesa za kutumbukiza akaamka na lingine.

Na nyie mnaosema Magufuli anakosea kila kitu, bado naamini mumetumbuliwa majipu yenu seheku inayoouma sana labda hata ya ndugu zenu ulaji kwishneyi.
 
Zito Kabwe ni MTU makini sana siku zote naeshimu mchango wake katika ujenzi wwa TAIFA ,
 
You'd never speak good of him, would you? Do not be too pessimistic, you can learn to be neutral at least for some good things. I have been tailing your comments in everything that concern Magufuli, since the election process, you seem to not 'like' him any bit.

Back to your point, Kigamboni project is really a living failure.. That I concur with you.. But hey, being an opponent should not blind you to see even 'em colorful blessings'.

I want you to live with this sir, "The World has bigger eyes, it has seen Magufuli and everyone now sings his name everywhere".

Thank you!
Can you remind us at least 5 projects that he has achieved with five star rating in his 20 years of service?
 
Ni watu wachache sana katika nchi hii ndio hawaoni na ku-appreciate jitihada za Mh. Magufuli... Watu wanaweweseka kwa kazi zake... Wengine utasikia anatekeleza ilani yetu... Hahaha Sasa kama ni ilani yenu why mna doubt kila anachotenda???

This country is full of unafiki na Uzandiki ambao utafutwa na rais mwenye haiba ya magufuli tu....

Huwa najiuliza hivi magufuli kwani anashindwa kutekeleza ahadi zake na kuacha kuangalia nyuma madudu ya serikali ya mzee wa msoga??? Ukiangalia hiyo sijui escrow, richmond, Tra, Epa na kila aina ya ufisad ni mambo yaliyotokea kwnye serikali zilizopita na hakuna sheria yoyote inayombana eti afanye review wakat ana utitil wa ahadi alizotuahidi...

Ninaposema nchi hii inawananchi waandamizi wachache wenye shombo la unafiki namaanisha.. Leo magufuli angeamua kufumbia macho kila kitu kilichotokea kwenye serikali zilizopita tungesikia watu wanatokwa na mapovu humu Jf... Mzee wa watu anajikwakwamua inatokea mizimu watu isiyokuwa na chembe ya huruma ma kupiga bla bla....
 
Magufuli is overrated.....mimi nikiangalia tu quality ya barabara alizojenga...huwa nashindwa kuamini
atafanya chochote cha ukweli ....ukiacha ziara za kushtukiza na matamko...

Waulize watu wa kigamboni wanavyoteseka na kivuko
utaelewa why Magufuli hana clue kuhusu quality
jamani magufuli hajengi yeye barabara,pia tusiseme bila kurafiti kujua bills of specification ya ujenzi wa hizo barabara zinasemaje maana serikali huchagua viwango vya chini vya ujenzi wa barabara kulingana na kipato chake
 
Nilifikiri kipindi hiki ambako watu wengi wanamsifia ndio kipindi sahihi wa sisi ambao
hatuko impressed kuongea maoni yetu?

Trust me watu wakianza kumponda wengi hutaona nikishiriki...ukisoma my signature utaelewa

Mimi i want him to prove us 'the doubters ' wrong....
afanye mazuri kupita mategemeo....tukose cha kusema...
but so far....naona so many mistakes hadi zingine inabidi tunyamaze..ili mnao furahia
muendelee kufurahia tusiharibu furaha yenu...

African leaders ni very dangerous wakisifiwa kila mara kuliko wakiwa criticized...

I concur. Mie namfisu tu kumpa moyo zaidi kwa vile kwa kweli ana nia njema na ni mabadiliko kufananisha na wa 4......hata ingawaje kwangu hafikii kiwango. Niliwahi kutoa ushauri hapa mara tu ya kuchaguliwa awe na top-notch advisers tena walioishi nje na kufanya kazi za kueleweka muda mrefu (Watanzania wengi hawajui viwango, ila labda katika magari tu!).
 
this guy always speaks ill of anything,something,all together. Never optimistic about anything. I should also warn you than am not overly praising magufuli neither undermine his performance so far but time will tell us in few.
I think it's more appealing to tell us what specifically the guy has performed perfectly over the years. That would be a more persuasive way of not overrating someone.
 
I concur. Mie namfisu tu kumpa moyo zaidi kwa vile kwa kweli ana nia njema na ni mabadiliko kufananisha na wa 4......hata ingawaje kwangu hafikii kiwango. Niliwahi kutoa ushauri hapa mara tu ya kuchaguliwa awe na top-notch advisers tena walioishi nje na kufanya kazi za kueleweka muda mrefu (Watanzania wengi hawajui viwango, ila labda katika magari tu!).
Kujua nini hajui na nani wa kumsaidia ndio mtihani wake mkuu
hadi uajiri washauri best unatakiwa uwe na uwezo wa kuwaona na kuwatambua
sio kila mtu anaeitwa dokta au professa basi ni mtaalam wa kuaminika
watu washamsahau profesa Kapuya
 
Ivi hujuma Tanzania itaisha lini? au mpaka Yesu atakaporudi au? Kweli Tanzania ni shamba la bibi kama watu wanaendelea kupiga pesa. Fukuzafukuza na kamatakamata haina maana ni kutu lughai watanzania na ulaghai ni dhambi kubwa na mbaya muno.
 
Magu angekuwa muungwana angesema ukweli nini kilitokea hadi wakanunua meli mbvovu na yeye akaenda kuizindua badala ya waziri mwenye dhamana ya usafirishaji. He knows nothing about quality.
 
Kaka barabara zilijengwa kwa kusimamiwa na Magufuli ziko vizuri ukitaka jua nenda tazama barabara za Kenya hususani Nairobi - Kampala Road ni hatari... nenda barabara za uganda. Kinachoharibu barabara zetu ni malori yanayo zidisha uzito huku wakifanya utadanganyifu na watu wa mizani.

Hao watu wa Mizani wako chini ya Wizara gani?
Ilikua inaongozwa na nani?
 
Back
Top Bottom