chitambikwa
JF-Expert Member
- Nov 8, 2010
- 3,941
- 901
Zitto naona sasa umekuwa na kuzijua siasa za Tanzania
hivi ule uswahiba wa Zitto na Rostam bado una exist?
kwa kauli hii ya mh. Zitto kumbe hata wao CDM wanajua kwamba hawawezi kupata jimbo la Arumeru! na mwisho wa siku hata hiyo kata ya kirumba tunairudisha kundini.
Kwani amesharudisha Hummer?
kweli mfumuko wa bei ni tatizo kubwa Tanzania..Zitto aliyasema hayo kipindi akizindua kampeni za mgombea udiwani katika uchaguzi mdogo wa udiwani kata ya Kirumba kwenye viwanja vya Magomeni-Kirumba saa 11:15 jioni ya tarehe 11.03.2012.
Aliwaambia wananchi na watanzania kuwa mtu ataepigia kura CCM.
(1) Atakuwa amekubaliana na
mfumuko wa bei.
(2) Atakuwa amekubaliana na ufisadi unaofanywa na serikali ya CCM.
(3) Atakuwa amekubaliana na ugumu wa maisha.
(4) Atakuwa amekubaliana Uongozi mbovu wa serikali ya CCM na Gamba lao Wasilivue.
(5) atakuwa amekubaliana na sera pamoja na mipango mibovu ya CCM.
(6) atakuwa amekubaliana na maovu yote yanayofanywa na watawala na ukandamizwaji wa demokrasia unaofanywa na viongozi wa jeshi la polisi.
(7) atakuwa amekubaliana na upandanji wa bei za bidhaa kama vile sukari, mafuta,umeme, mabati,siment na nk.
Akawaambia kuwa uchumi wa Tanzania unakuwa lakini watanzania wanabaki kuwa maskini wa kutupa, akaenda mbali na kusema maendeleo hayawezi kuletwa na chama kile kile na viongozi walewale hivyo ni mda wa kufanya mabadiliko kupitia masanduku ya kula, kuikataa CCM na ulagai wake.
Alisisitiza kuwa CCM wameishiwa sera na Chama kilicho na sera madhubuti na makini ni Kuipa kura nyingi CHADEMA. katika chaguzi zote sasa si mda kucheza niwakufanya kazi ccm wameshindwa kwani wana miaka 50 lakini maendeleo hayaendani umri huo.
kweli mfumuko wa bei ni tatizo kubwa Tanzania..
BLACKBERRY ILIYOKUWA INAUZWA LAKI 5 MPAKA 6 SASA INAUZWA 5.5M
i did not undertand you
Mkuu Kaseko mbona hiyo kauli "Ni bora tukakosa mbunge Arumeru kuliko kukosa udiwani" sijaiona mahali Zitto aliposema hivyo ?.
kweli mfumuko wa bei ni tatizo kubwa Tanzania..
BLACKBERRY ILIYOKUWA INAUZWA LAKI 5 MPAKA 6 SASA INAUZWA 5.5M
mambo ya kukurupuka haya na kutuletea habari juu juu nayakataa sana mbona ujaonyesha sehemu aliposema hayo maneno na alikuwa anataka kutuambia nini hasa watz
Kaseko ni gamba
kwa kauli hii ya mh. Zitto kumbe hata wao CDM wanajua kwamba hawawezi kupata jimbo la Arumeru! na mwisho wa siku hata hiyo kata ya kirumba tunairudisha kundini.