mgt software
JF-Expert Member
- Nov 1, 2010
- 13,778
- 7,145
bado tumep muda roosevert wa marekani alibaatisha siku hizi watanzania ni wajanja sana ukitaka kuwaongoza inabidi utumie akili sanaNi kweli maana bado hadi leo UDART haifanyi kazi, bado wakwepa kodi wanapewa siku 14 za kulipa kodi
Bado hajatumbua jipu la Maliasili na Utalii.
Bado hajatumbua na kipanga upya safu ya Air Tanzania maana yake walipo leo wataendelea kula hela zeru bure bure
Bado barabara zinaharibika, barabara alizosimamia yeye zinakufa mapema mfano ni hii ya BRT