Zitto Kabwe umefikia hatua ya kujidhalilisha? Hakika umeanza kuchanganyikiwa

1000005316.jpg
 
tatizo ni uislamu, hata kipindi cha awamu ya watoto wenye ulemevu wa ngozi albino waliuliwa sana na kuchukuliwa viungo, serikali ya wakati huo haikufanya chochote kuwalinda, kuna nchi za ulaya (christian) zilikuwa tayari kujitolea kuja kuwachukuwa kuwapa hifadhi.

uislamu wa tanzania aidha haueleweki na waumini wake au wenyewe ni tatizo kwenye mafundisho, hata nape yuko hivyo hivyo.

hakuna mtu christian anayeweza kufanya unyanyasaji na ushenzi kama huo …
nape nauye naye alishafanyaga kituko kama hiki. hv nape ni muslim?
 
tatizo ni uislamu, hata kipindi cha awamu ya watoto wenye ulemevu wa ngozi albino waliuliwa sana na kuchukuliwa viungo, serikali ya wakati huo haikufanya chochote kuwalinda, kuna nchi za ulaya (christian) zilikuwa tayari kujitolea kuja kuwachukuwa kuwapa hifadhi.

uislamu wa tanzania aidha haueleweki na waumini wake au wenyewe ni tatizo kwenye mafundisho, hata nape yuko hivyo hivyo.

hakuna mtu christian anayeweza kufanya unyanyasaji na ushenzi kama huo …
Hivi Nape anasali wapi?
 
HiVi Zitto kabwe huu aliofanya si zaidi ya uzalilishaji na ukandamizaji wa haki za binadamu!

Hivi si dalili za Zitto kama kiongozi kuchanganyikiwa?
---

Kiongozi wa kikundi cha Mapigo Tisa cha Kijiji cha Kalinzi Wilaya ya Kigoma, Khalid Isaa (kushoto) akimwongoza kiongozi wa chama cha ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe na aliyekuwa kupita juu ya daraja 'daraja mtu' kama ishara ya kumpitisha kwenye mazingira magumu hadi kufikia mafanikio.

Zitto pamoja na viongozi kadhaa wa chama hicho wapo katika Kijiji cha Kalinzi kilichoko jimbo la Kigoma Kaskazini ikiwa ni mwendelezo wa ziara yake ya kichama kwenyw majimbo nane ya uchaguzi Mkoa wa Kigoma.

View attachment 2829927View attachment 2829928
Kama huko nyumbani kwake tu hajiamini na anahangaika kukanyaga watu kwa msaada wa waganga, itakuwaje mikoa mingine?!
 
tatizo ni uislamu, hata kipindi cha awamu ya watoto wenye ulemevu wa ngozi albino waliuliwa sana na kuchukuliwa viungo, serikali ya wakati huo haikufanya chochote kuwalinda, kuna nchi za ulaya (christian) zilikuwa tayari kujitolea kuja kuwachukuwa kuwapa hifadhi.

uislamu wa tanzania aidha haueleweki na waumini wake au wenyewe ni tatizo kwenye mafundisho, hata nape yuko hivyo hivyo.

hakuna mtu christian anayeweza kufanya unyanyasaji na ushenzi kama huo …

..mlaumu Zitto bila kumuunganisha na dini yake.

..hivyo alivyofanya sio sahihi, na utapelekea kuharibu mjadala mzima.
 
haya niambie awamu ipi watoto wenye ulemevu wa ngozi waliuliwa na kuchukuliwa viungo ? na ulishawahi kuwasikia watu kama akina zito wakiwatetea watoto waliouliwa au kukatwa mikono?
 
Kiongozi wa kikundi cha Mapigo Tisa cha Kijiji cha Kalinzi Wilaya ya Kigoma, Khalid Isaa (kushoto) akimwongoza kiongozi wa chama cha ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe na aliyekuwa kupita juu ya daraja 'daraja mtu' kama ishara ya kumpitisha kwenye mazingira magumu hadi kufikia mafanikio.

Na hawa ndiyo mamajusi wake 👇

1701456638823.png
 
Back
Top Bottom