Leak
JF-Expert Member
- Feb 22, 2012
- 52,847
- 43,335
HiVi Zitto kabwe huu aliofanya si zaidi ya uzalilishaji na ukandamizaji wa haki za binadamu!
Hivi si dalili za Zitto kama kiongozi kuchanganyikiwa?
---
Kiongozi wa kikundi cha Mapigo Tisa cha Kijiji cha Kalinzi Wilaya ya Kigoma, Khalid Isaa (kushoto) akimwongoza kiongozi wa chama cha ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe na aliyekuwa kupita juu ya daraja 'daraja mtu' kama ishara ya kumpitisha kwenye mazingira magumu hadi kufikia mafanikio.
Zitto pamoja na viongozi kadhaa wa chama hicho wapo katika Kijiji cha Kalinzi kilichoko jimbo la Kigoma Kaskazini ikiwa ni mwendelezo wa ziara yake ya kichama kwenyw majimbo nane ya uchaguzi Mkoa wa Kigoma.