MSEZA MKULU
JF-Expert Member
- Jul 22, 2011
- 3,763
- 5,605
Uko sahihi kuhusu ushindi wa Magufuli 2015 ni mtu asiyefikiri ndiye ataamini hakushinda. Ile ilikuwa nadhani ni gia ya wakina LWS kukubali kushindwa kwa kutafuta huruma za wananchi ambacho kisiasa wako sawa pia ila kiuhalisia hata wao wanajua hawakushinda. Hakuna haja ya kupoteza Muda katika hiloMagufuli alishinda uraisi 2015, hilo utake usitake ndio ukweli huo, ushahidi? Idadi ya wabunge wa ccm bungeni, au nao utasema waliiba, fungu la kukosa, hata , mrema, mbowe, slaa na marekani nao wanasema elected president hakushinda, so hiyo trend ni ya kijinga tu na inazidi kupuuzwa.