Tindo
JF-Expert Member
- Sep 28, 2011
- 62,657
- 110,004
Vyama vya siasa mtuache wananchi tupumue jamani. Tutakufa njaa, mikutano, mikutano, mikutano. Hivi mnajisikiaje kuona wanachama wenu masikini eti kisa muda mwingi mmetubana kwenye mikutano yenu Ile hali hamtoi daily bread?
Nani anayelazimishwa kwenda kwenye mkutano!!?