Zitto ni mwanasiasa alietimia na mtu mwenye upeo kuliko mtu yoyote katika kile chama alichokijenga wakamfitiniLabda Rais wa Kigoma Tanzania haiwezi kuongozwa na mpenda sifa Zitto by the way hivi chama chake kina wabunge wangapi labda tuanzie hapo.
AR U DREAMINGHaya ni maoni yangu,nasisitiza haya ni maoni yangu
Mbunge wa Kigoma Mjini ndg Zitto Kabwe kupitia chama cha ACT-Wazalendo,ndie anastahili kuvaa viatu vya JPM 2025.
Analysis zote nilizofanya zinaonyesha huyu kijana makini anafaa kabisa kuipeleka nchi kuwa taifa la uchumi wa kati duniani, tuache unafki huyu jamaa kafanya mengi yenye tija kwa taifa hili, hakuwahi kutanguliza maslahi ya chama siku zote ametanguliza maslahi ya taifa Tanzania.
Ndie mbunge pekee ambaye hachukui posho bungeni.
Kuna sababu nyingi zinazombeba na kumstahilisha kuwa rais ajaye baada ya JPM,pamoja na yote yaliyowahi kusemwa juu yake ila nimebaki kumuona kama kioo cha uongozi Tanzania.
Zitto Kabwe is my president in 2025
Hivi huyo ndugu ilikuwaje akawa naibu katibu mkuu wenu akiwa na sifa zote hizo ulizozitaja..Labda Rais wa Kigoma Tanzania haiwezi kuongozwa na mpenda sifa Zitto by the way hivi chama chake kina wabunge wangapi labda tuanzie hapo.
Hivi huyo ndugu ilikuwaje akawa naibu katibu mkuu wenu akiwa na sifa zote hizo ulizozitaja..
yaani Zitto unamlinganisha na Makonda? kwa lipi? kwa uelewa wa mambo? maajabu haya.Nyota yake ishachukuliwa na paul makonda,,,zito amefichwa sa hv hata cmsikiii aseeeeee!!!
Sawa ila ningependa kujua ilikuwaje akawa katibu mkuu wa chama kikubwa sana cha siasa cha CHADEMA akiwa na sifa zote hizo ulizozitaja...how did they manage to live with him kwa muda wote huo mpaka alipoondoka ndipo tukaanza kuambiwa hayo uliyoyaandika...Mimi mtanzania sifungwi na siasa za vyama.
Sawa ila ningependa kujua ilikuwaje akawa katibu mkuu wa chama kikubwa sana cha siasa cha chadema akiwa na sifa zote hizo ulizozitaja...how did they manage to live with him kwa muda wote huo mpaka alipoondoka ndipo tukaanza kuambiwa hayo uliyoyaandika...
Kwahiyo ilikua inafahamika hivyo muda wote huo alipokua pale mpaka akaondoka?CDM ni chama kichanga hata katibu mkuu wake Dr Slaa alipoondolewa nafasi ya kugombea uRais alikodiwa ukumbi,air time na sasa yuko Canada anakula bata kwa ufadhili wa chama fulani.Sasa hapo makosa ni ya CHADEMA au mpunga unaozasambazwa na chama fulani.Hili la naibu katibu mkuu dogo tangu siku nyingi alikuwa akitumika na chama fulani na shirika fulani la hifadhi ya jamii.